Lipumba, Mbatia na Cheyo ndani ya dakika 45 za ITV

Naona Mbatia alijipanga sana leo kwenye kipindi kataja sifa kuu nne za kiongozi safi sana!!! Utupe Mrejesho Nyuma Mtavyokaa na TCD pamoja na Rais

Tatizo la mbatia ni kuchukua Idea nzuri aliyonayo na kuifanya ngumu sana kumeza halafu kuwalazimisha watu kuimeza.Huwa anatumia nguvu nyingi kueleza mambo mazuri vibaya zaidi.Otherwise anavyo vitu vizuri.
 
ccm na chadema walialikwa lakini hawakutokea..kwanini? au ndio hao wanaotajwa na nyerere kua ni wa kuogopwa kama ukoma?
 
ccm na chadema walialikwa lakini hawakutokea..kwanini? au ndio hao wanaotajwa na nyerere kua ni wa kuogopwa kama ukoma?

Ukoma haugopwi na watu wote?Achilia mbali Yesu aliwafuata wakoma km wafuasi wake leo wafanyavyo.Ila kwa ujumla niuogonjwa wa masikini wasio na lishe bora ndio hudhurika .

By the way Ukwimwi/VVU CCM na kansa CUF ni hatari zaidi.
 
Back
Top Bottom