Acha uongo wewe Molemo Chadema wamealikwa wamekataa kuhudhuria.
Hata CCM wamekataa, ila wana haki. Tumechoka na maneno maneno bla, bla... Sasa hivi tunahitaji vitendo. Chadema wanajijenga vijijini, CCM wasingekuwa na la kuongea kwa sababu ndio wanaingia mikataba na wezi kwa kofia ya kuwekeza. Nadhani wako busy kuvunja mikataba isiyo na manufaa kwa taifa. Vinginevyo hawatakuwa na cha kutueleza 2015!