Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

NAOMBA CLICK HIZI LINK TAFADHALI NAJITAHIDI KU UPLOAD KADIRI NTAKAVYOWEZA ILA USHAURI MNGESUBIRI BAADAE MAANA WEBSITE YA LOAN BOARD IKO CHINI MAANA WATUMIAJI WAMEZIDI KIPIMO KWA SASA..

Nimejitahidi kuupload link karibia zote kama utakuwa na PC itakuwa vyema sana najua watu mnatumia simu itawasumbua hii kuscroll
nafikiri hii ni njia bora kuliko kupitia website ya loan board kwa sasa maana watumiaji ni wengi sana mpaka watakapopungua..

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-asilimia-za-kila-mwombaji-2.html#post4658296

HII LINK NDIO INA 1: 2012/13 Loans Allocations List 1-A (AK -DU)

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/325873-hatimae-bodi-ya-mikopo-yaweka-majina-na-asilimia-za-kila-mwombaji-2.html#post4658399

HIZI NDIZO LINK ANGALIA NAONA WAMEWEKA KWA VYUO KWA HIYO CHEKI CHUO CHAKO ULIKUWA ADMITTED CLICK LINK ANGALIA
1: 2012/13 Loans Allocations List 1-A (AK -DU)

6: 2012/13 Loans Allocations List 4-A (SU - TU)

7: 2012/13 Loans Allocations List 4-B (TU -UDOM)

8: 2012/13 Loans Allocations List 5-A (UDOM -UDOM)

9: 2012/13 Loans Allocations List 5-B (UDOM -UDSM)

9: 2012/13 Loans Allocations List 6 (UDSM -ZU)

kama utaweza naomba pakuo la du-ifm!ombi
 
Kwa wale mlio Facebook ingieni page inayo itwa Tz COMPUSVIBE Blog kisha unawatajia Full name na chuo then wanakupa madude.
 
acha kumdisi jamaa hzo ni link za kwel eb tumia computer muone me nimejiona thnks broo.... Umenifanya leo nilale aisee.
poleni sana mnaotumia simu mwanzoni niliweka kwa mfumo wa page lakini naona moderator wameona hii njia ya linki hapo ju ni rahisi kwa kila mtu kuacess ila kama unatumia computer ikuwa ni rahisi sana nimesave page zote ila ni mambo mengi mno ningeweza kumsaidia kila mtu ..
 
wadau nimepata m3 na laki nne hvi afu naenda kupiga B of arts wth eductn udism sasa cjui itkua ni kama asilimia ngapi hv msaada tafadhali
 
Haya twende lazi Ada 1.5Mil Meals & Accommodation 2Mil ukijumlisha inakua 3.5Mil then 4.5Mil - 3.5Mil =1Mil sasa hiyo 1Mil ndo ya nini tena?? au kuna litu sijaweka??
kuna vitu kama FACULTY REQUIREMENT / VITENDEA KAZI KWA KOZI ZA ENGINEERING NA ARU KUNA HIZI PESA HELA YA FIELD /PRACTICAL TRAINING KWA WALE WENYE FIELD KUANZIA MWAKA WA KWANZA

MARA NYINGI MCHANGUO WA HUO MKOPO HUWA UNAZINGATIA VITU HIVI
1. TUITON FEES AS PER MEANS TEST /( ASILIMIA YA ADA 100%,90%.. nk)
2.meals and accommodation hii iko flat rate kwa wote haina percent ( sijui ndio sh ngapi siku hizi..)
3. books and stationary allowance
4.practical training/teaching practice/ndio field hii na hii as per your means test yaani kutokana na grade yako ya mkopo
5.hela ya project/research hii wanapewa final year (3rd,4th year)
6.faculty requirement kuna kozi kama za engineering na science zinahitaji vitendea kazi kam drawing board ,calculator nk so mahesabu yanaenda kwa kuzingatia baadhi ya hivi vigezo au vyote..
KUMBUKA HIYO PESA NI LUMP SUM/ YAANI YA JUMLA NA MWAKA HUU SIJAONA HATA ILE COLUMN YA GRADE AMBAYO INGERAHISISHA SANA WATU KUELEWA
 
Back
Top Bottom