Life experiences

Hata huniulizi nilikuwa wapi, hunipi salamu, hunipi pole, huni . . . . . khaaaaa! Jamani!:disapointed::yield:

Mbona we hujaniuliza kwanini nilitaka kulia nikaahirisha?Alafu eti ukaboreka!Mtu mwenyewe hukuaga alafu unataka nikupokee kwa shangwe?
 
leo asubuhi nilipokuwa naangalia filamu ya family disaster part 2 ya vicent Kigosi, jamani ELIMU KWANZA
 
Mbona we hujaniuliza kwanini nilitaka kulia nikaahirisha?Alafu eti ukaboreka!Mtu mwenyewe hukuaga alafu unataka nikupokee kwa shangwe?

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today)​

Sasa mama watoto, tatizo linatatuliwa kwa kuongeza tatizo lingine??
 
Embu anza kujieleza ulikua wapi na ukifanya nini maana nilipatwa na wasiwasi mpaka nikaumwa.Jana karibu nilie nikijua ndo sitakuona tena ila nikabadilisha mawazo kumlilia asiejali!
 
Duh! Mwaka 2009 nilipoondokewa na Baba, nililia kidogo tu, nilikuwa ninajizimua kuwapa moyo ndugu zangu. Lakini kilio kikuu ni zaidi ni 2010 pale yalipotangazwa matokeo ya uchaguzi na kusikia kuwa CCM itaendelea kuiburuza Tanzania. Nilivunjika moyo na kuililia Tanzania na Watanzania
 
duh! Kweli unatupenda watz wenzio.
 
Ni January 21 this year, nilipoona jeneza lenye mwili wa mchumba wangu linashushwa kaburini. AAh, sitaki kukumbuka, napita tuu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom