Life experiences

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Mara yako ya mwisho kulia ilikuwa lini na ulilia kwa sababu gani?too confidential,listen to your heart and say something.
 
mara ya mwisho kulia ni march '09 ciku deci ilipotangazwa na waziri wa coin (mm) kuwa gvt sector ya vigogo.
 
ha ha hahaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kweli susy,..
Afu ijumaa ijayo 15/04/2011 kuna overnight (mkesha) pale diamond jubilee ni praise and worship ya AFLEWO,Africa let us worship,....
Ni balaaaaa
 
Mh, mi nadhani ni 2008. Alifariki mtoto wa kakaangu. Nilijikaza lkn wapi!
 
Kweli susy,..
Afu ijumaa ijayo 15/04/2011 kuna overnight (mkesha) pale diamond jubilee ni praise and worship ya AFLEWO,Africa let us worship,....
Ni balaaaaa

ni kweli????????? nataka kuja!!!
 
Hata sikumbuki mara ya mwisho!Ila jana nilikua naelekea kulia nikajikaza kike!
 
Mimi nililia juzi siku ya karume day niliposikiliza shuhuda ya mdada aliyepona ukimwi baada ya kuombewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom