Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,434
Hata sikumbuki mara ya mwisho!Ila jana nilikua naelekea kulia nikajikaza kike!
Kwa nini umejikaza
ilikuwa kwa raha/uchungu
Hata sikumbuki mara ya mwisho!Ila jana nilikua naelekea kulia nikajikaza kike!
Kwa nini umejikaza
ilikuwa kwa raha/uchungu
Ingekua kwa raha ningemalizia my dear!Niliona sababu yenyewe haistahili tumachozi twangu!
:bored::bored:
Ulitaka nimalizie?
Hata huniulizi nilikuwa wapi, hunipi salamu, hunipi pole, huni . . . . . khaaaaa! Jamani!:disapointed::yield:
Mbona we hujaniuliza kwanini nilitaka kulia nikaahirisha?Alafu eti ukaboreka!Mtu mwenyewe hukuaga alafu unataka nikupokee kwa shangwe?
leo asubuhi nilipokuwa naangalia filamu ya family disaster part 2 ya vicent Kigosi, jamani ELIMU KWANZA
The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:
CPU (Today)
Sasa mama watoto, tatizo linatatuliwa kwa kuongeza tatizo lingine??
Mara yako ya mwisho kulia ilikuwa lini na ulilia kwa sababu gani?too confidential,listen to your heart and say something.
2006. nilipofiwa na mama.
Jumatano iliyopita
Kumpoteza rafiki yangu..(ameaga dunia)
Mh, mi nadhani ni 2008. Alifariki mtoto wa kakaangu. Nilijikaza lkn wapi!
2006. nilipofiwa na mama.
Duh! Mwaka 2009 nilipoondokewa na Baba, nililia kidogo tu, nilikuwa ninajizimua kuwapa moyo ndugu zangu. Lakini kilio kikuu ni zaidi ni 2010 pale yalipotangazwa matokeo ya uchaguzi na kusikia kuwa CCM itaendelea kuiburuza Tanzania. Nilivunjika moyo na kuililia Tanzania na Watanzania