Wewe isitoshe ni mchawi,unapenda vipi matatizo??? CHADEMA siyo rebels, hawapo msituni wamo mjini humu humu, hawana silaha silaha mnazo ninyi CCM na CUF wakezenu! Serikali inaitambua kambi rasmi ya upinzani hebu sema kiongozi wake ni nani? wewe unatoka wapi, ni kweli kuuawa kwa Ghadafi siyo kitu kizuri indeed, lakini ku-suppress wananchi its not good either! Si CUF waliokaribia kupigwa marufuku kwa Udini? but wamebadilika! wewe umeishiwa, huna la kuzungumza, unashinda kwa waganga wa kienyeji kutafuta uchawi sasa unategemea uwe hata na haki ya kupiga kura wewe? Be honest with your self, nakushauri ujiue kwa namna ingine yoyote before 2015, only the truth will rise! kungojea ati kupewa bakshishi hata dogo January haimpendezi, kafanya kazi ngumu kupata ubunge! NTC walikataliwa na kupingwa na rais aliyekuwa madarakani na hata kwa vita! sasa CDM nani kaikataa, mbona mnaishiwa vibaya ninyi, tunasema CCM iondoke kwa sababu imeshindwa kufanya kazi na kuondoa kero kwa wananchi, hatujasema mfe! kama unataka kufa well thats your destiny, lakini ukibahatika kuwepo, utaonafaida, hakuna kuogopana unaweza kazi unafanya kazi mnatuchelewesha mno kwenye maendeleo! Nakuomba usijibu hii ujumbe kwa sababu naamini uelewa wako ni mnute! Rebels wanakaa porini! Opposition parties wanakaa humuhumu mjini!Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.
CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!
Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!
Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!
Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015