Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

Hana lolote fisadi tu huyo,watu wana shyda za kutosha na wengine ndo washakata tamaa na maisha ,we unaesema ivo ushalishwa na magamba kitita ubwatuke hapa.mabadiliko ni lazima 2015.
 
Chadema is an officially recognized institution and will vanquish JK through polls not demonstrations. We won't have to wait until matters exacerbate like in Libya but rather (will) keep on using political platform to clearly adddress CCM points of weakness to the voters. Igunga has spoken and the movement ripples out the whole country which in the end will witness a peaceful overthrow of CCM regime.
Kuna Mwita25 wangapi humu jf?
 
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bor uzee ni uzee tu hata ukikataa kuitwa mzee hutabadili kitu.hakuna dawa ya kuiponya ccm lazima ichape lapa.
 
Sioni chakuchangia huyu kilaza anapima kinacha maji ili aone watuwanavyo react humu jamvini nikumpuuza tu.
 
Daktari wako wa ubongo kasoma thread yako. Kaghundua bado hujapona.
 
Unajidanganya kama unadhani bila haki kunaweza kuwa na Amani. Gaddafi amelipia dhuluma na ukatili wake kwa Walibya. Kama yatakayowapata magamba.

Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015
 
Je chini ya utawala wa ccm tz inaamani? Nadhan dhana ya neno "amani" haujui, huipendi tz kwan usingetetea up**zi unaofanywa na serikal zaidi ungekosoa ili wajirekebishe na hayo MAGAMBA yaendelee kutawala bila ya kuwa na hofu juu ya wazee wa Magwanda!
 
Everybody dunian anajua tz ni kisiwa cha amani! Misingi na identity ya taifa letu ni amani yetu iliyotukuka! Cdm wanataka kubomoa mising yetu ya amani
Je chini ya utawala wa ccm tz inaamani? Nadhan dhana ya neno "amani" haujui, huipendi tz kwan usingetetea up**zi unaofanywa na serikal zaidi ungekosoa ili wajirekebishe na hayo MAGAMBA yaendelee kutawala bila ya kuwa na hofu juu ya wazee wa Magwanda!
 
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Pumbavuuuuuuu!!!!!!!!!!!
 
Ni ngumu sana kuitofautisha chaga development na wauaji wa gadafi...kama ilivokuwa ngumu ngamia kupenya kwny tundu la sindano....ni genge ambalo si la kuaminiwa..
 
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Kauli mbiu ya mama yako ni nini?
 
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon, El 4 2015

Naona umeanza kumpigia kampeni Edward Lowassa, aka Mzee wa Richmond. Hivi anakulipa bei gani kuandika upuuzi kama huu?
 
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015
Naipendatz nafikiri una matatizo mengi sana. Kwanza hata maana ya amani huielewi huwezi kusema hapa kuna amani wakati wamama na watoto wanakufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya na njaa, vijana wanachinjana kwa kuiba shs 500 wapate angalua sahani ya wali mkavu kwa mama ntilie.

Hiyo si amani bwana naipendatz hiyo ni vita, we hujaona watu wakivishwa tairi na kuchomwa wakiiba ndizi sokoni? hiyo ni amani?

Ati watamchinja jk wetu we jk wa kwako? angekuwa wako si ungekuwa kama Ridhwani? na umasikini ungekuwa ndoto kwako? Kwa kweli wewe ni mzee masikini anayekaribi kufa na ndio maana unaona acha ujifie na umasikini wako ndani ya sisiem.

Waache vijana wenye uchungu na nchi yao waiweke sisiem pembeni. Wewe baki na jk, na nape wako.
 
Back
Top Bottom