Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

ccm is destinied to govern this country in the next one hundred years simply because the existing opposition political parties are just a group of disorganized activists

So why are you shouting and trembling when you hear about CDM? Just wait and see how you will be able to govern for the next 100 yrs. Shame upon your face! Get rid of your magamba before speaking to Great thinkers!
 
The fact that you cannot even spell "Rebels" vs 'Lebels' tells more than whatever you think or write down. Nafikiri Watanzania wa namna yako wenye mtindio wa ubongo wako wengi sana ndiyo maana maendeleo yanakuwa magumu kupatikana.

Huko Mara mauaji yanayotokea huko chini ya uangalizi wa CCM yameletwa na CDM? Hiyo ndiyo amani unayozungumzia? CDM wamemuua nani au wamechukua silaha lini wakaanza vita vya msituni?

You are SICK to your bowels!! Kama umetumwa ni bora uache kuliko kujidhalilisha namna hiyo! At least your name deserves some respect.. do not let yourself to be that cheap!
 
Huenda humu kuna watu wanalipwa na vyama ili watoe mawazo na hisia za vyama vyao bila kutumia akili zao. Je Tz haitaitambua Serikali mpya ya Libya?

Gadaffi alikuwa na mazuri yake kama binadamu, lakini historia inaonyesha alishiriki kwa kiasi kikubwa kutaka kuiangamiza Tz kupitia vita ya Idd Amini, au kwakuwa amekuwa akirusha makombo kidogo huku kwetu ndiyo maana anaonekana malaika? Suala si CHADEMA ni maisha ya watu, kama Igunga CHADEMA imeleta upinzani wa kweli na leo madaraja yanajengwa na CCM, hapa uasi uko wapi? hakuna dhambi mbaya kama kukata tamaa, propaganda za kipuuzi kama hizi hazitatusaidia

Mukama alisema kuna Makomandoo waliingizwa kuleta vurugu, kumbe uwongo, jamani hata kama mnalipwa tumieni akili kidogo, mtatuharibia nchi kwa propaganda zisizo na maana
 
Everywhere they are called lebels! Hata hao wazungu wanaowasapoti wanawaita lebels,unajua maana ya lebels mkuu? Wale ni waasi tu utake usitake, kama cdm wanavyojaribu kuvunja aman ndani ya tz! El 4 2015

You Napendatz,

I now call you Mchukiatz,this is a right name you deserve! First of all correct your English, is not lebels,it's REBELS.

Even CHADEMA you now call them rebels.But they are the ones who are fighting for the true DEMOCRACY of our country Tanzania. One day you gonna see this naked truth which CDM is trying to fight for. Nelson Mandela was called a rebel by the Boers there in South Africa! Today S.Africa is free under ANC which was led by Nelson Mandela, the rebel!
 
Ghadafi alikua miongoni mwa maraisi na madikteta wabaya barani Africa, wale aliowaita cockroach wamedhibitisha umwamba wao kwa kuliangusha kabati .

Huyu Ghadafi alimsapoti Idd Amin kwny vita ya Kagera na baadae kaja kinafiki na misaada ya kujenga Misikiti na taasisi za dini ya Kiislamu 2. Alipotoka kwani hajui watanzania 2na maadui Ujinga, Umaskini, Maradhi, Ufisadi na Sisimu ambavyo mwenye kila nia njema na TZ ashiriki kuvipinga hivyo
 
Nitamtetea gadafi popote nilipo lakini siyo huyu kinyago cha mpapule asiye na mwelekea hata kidogo
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Nadhani unahitaji kwenda darasani
Lakini si darasani tu

Unahitaji kujifunza
Lakini si kujifunza tu

Unahitaji kuelewa
Lakini si kuelewa tu

Unahitajika kutumia ufahamu
Japo huo wako una shaka

Nikwambie kitu?
Maisha ya mwanadamu yametawaliwa na matukio ya aina mabalimbali. Kazi za kujiletea maendeleo, mapambano ya kitabaka, mapambano ya kiitikadi na hata kidini. Lako wewe na wenzako wa aina yako mna tatizo la kutafsri kila kitu kwa mtazamo wa mapambano ya kiitikadi kati ya vyama pinzani vya kisiasa. Ujinga huo ndiyo unaotufanya tushindwe kufanya maamuzi sahihi na hata kupokea ushauri sahihi kwa wakati unaokubalika. Tunahitaji Tanzania tofauti na hii ninayiona mimi.

Tanzania ya leo ni chafu, tunao uwezo wa kuisafisha lakini hatuchukui hatua. Tunao uwezo wa kusema hapana kama wale jamaa wa Libya walivyofanya huku wakiungwa mkono na mtoto wa hayati Ghadafi. Tunaweza kupingana kwa mambo mengi tu, lakini Tanzania ya leo ni chafu.
 
Wengine hawajui "mass graves" ni nini ndio maana wanamwita Gadafi shujaa. NTC hawako na 'Black Africa' bali wao na Wazungu walio wasaidia kumshinda Ghadafi. Viongozi wa Kiafrika Gadafi aliwamaliza kwa kuwahonga hela za Walibya wakawa hawana msimamo. Ndio hali ambayo ameonyesha Membe Rais wa Tz 2015.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015
You are lost!ni wapi wapinzani wa serikali walipopewa majina mazuri? michael Satta wa Zambia aliitwa muasi na rupia banda- ebu cheki mapinduzi ya kuwaondoa magamba aliyoyafany within a short time;

Tatizo watz wengi wamezoea shida ndio maana hawapendi mabadiliko!wewe utakuwa ni fisadi fulani kama gadafi unaogopa kuwekwa wazi siku moja, just wait kila zama ina mwisho wake, maovu yako na watu wako yatawekwa hadharani- unafikiri Gadafi na ubabe wake aliwahi kufikiri kuwa angekufa kifo alichokufa? wait and see!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom