Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

nadhani una upungufu wa akili kichwani...huyo mmeru wenu alirithiwa na mmasai hawezi kua rais tanzania ya sayari ya dunia...labda aende mars..,hata akilala uchi kanisani

Makanisani huwa hatulali, bali tunasali au tunaendesha mikesha tu, hilo kanisa unalolisema litakuwa kanisa la shetani
 
Sishangai hiyo kauli yako kwani mtu yeyote anayefaidika na mfumo mbovu (ccm) na mwenye kuwa karibu na Mifisadi hawezi kuipenda Chadema na atafanya kila njia kuichafua, ila sisi wana wa nchi hii tunaiamini Chadema na ipo siku Uhuru wa kweli utapatikana chini ya makamanda wa ukweli Chadema
 
Chadema ni waasi kabisa...naomba itangazwe rasmi kua chadema ni janga la kitaifa kama malaria na ukimwi..mtuliepuke jamani..mwatanzania hamjazoea vita acheni kuwaendekeza wajinga wachache wenye uchu wa madaraka kwa propaganda za kutetea haki za watanzania na wengine vibaraka kama CUF na MTIKILA...fungueni macho yenu watanzania

Shule za kata hazina walimu na hizi ndiyo product zake .Tutaona mengi endeleeni kuwajengea bila walimu na vifaa vya kuwapa Elimu .Wanatoka darasani wanaacha akili wanabena cheti cha kupitia hapo .
 
Yani ningekuwa nakujua ningekutafutia zawadi nzuri nikakupa.

Mi sioni wanachokitaka chadema ila kuharibu amani ambayo twajivunia kwa sasa. Kama malengo yao ni maendeleo, basi wangeshirikiana na vyama vyengine ili kutimiza malengo yao.but kauli mbiu yao ni kuitoa ccm madarakani na si maendeleo wala vyenginevyo.

Kwanini hawaigi vyama vyengine? Mfano siku alipoapishwa kikwete pia alikuwepo lipumba ambae alikubali kushindwa. Na alipopewa fursa ya kutalk alipeleka ilani ya cuf na kumkabidhi kikwete ili kumpa yale walokusudia kuyafanya iwapo wangekuwa madarakani.sasa japo wameikosa fursa hiyo lakini mawazo yao wamempa kwa kuwa lengo lao ni kuleta maendeleo kwa watanzania. Lakini chadema, huko kufika ktk kuapishwa rais hawakufika.

Je inamaanisha nini? Asiekubali kushindwa ni mgomvi. Lakini twamuachia mungu awafanye atakavyo.
 
Libya kila sekta imekamilika. Afya bure,elimu bure, umeme bure n.k sasa walibya hawakuridhika mpaka wamempindua gaddaf. Je chadema wa tanzania si ndo utumbo mtupu?
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Na tukiwachekea CCM hii nchi itakuja kulipuka kama Rwanda. CCM inapandikiza chuki za kidini, ukabila na sasa imeshaanza kujenga makundi ya WATAWALA na WATAWALIWA (Nyerere =0, Ali Hassan Mwinyi = Hussein Mwinyi, Abeid Karume = Aman Karume, Mkapa = 0, Jakaya Kikwete = Ridhiwan Kikwete, Yusufu Makamba = January Makamba, David Msuya = Mathayo David Mathayo, Moses Nnauye = Nape Nnauye nk.

Tukiendelea kuwachekea hawa jamaa patachimbika siku moja kwani hatutakubaliwa utawala wa BMW yaani Baba Mama na Watoto kama ilivyokuwa kwa Gadaffi, Sadam et al.

CHADEMA songa mbele tuuangushe huu mhimili wa uovu uliojengwa na CCM. Hatutakubali kuona hali hii inaendelea hata kama ikibidi kudondosha tuna la damu nikiwa na kombati.
 
Afrika hajawah kutokea na hatokuja kutokea rais mzalendo and mwenye msimamo kama gadaf! Cdm wanaua watu wao wenyewe halaf wanasingizia ccm ili wapate popularity kwa wananchi and kuchonganisha! Cdm ni waroho wa vyeo na fedha

unachekesha sana, sasa mloo na mwenye tamaa ya madaraka hapa ni nani? CHAMa CHA MAUAJI, nyinyi ndo mnatualibia nchi, kaz ni kujilimbikizia mali tu kama familia ya gadafi... Mtaweweseka sana bt kaeni mkijua 2015 hamtoki.
 
Peoples power means democratic changing of regime failed, slogan shows that if we fail democratically we can use our hands to change the regime! Hawa cdm is very true ni kama Libya rebels, tukiwaendekeza watatuletea maafa, hawafai hata kidogo!

Na ukiwatazama deeply most of them wananjaa kali na watajaza kwanza matumbo yao kwanza kabla ya kujenga nchi! CCM bila mafisadi, JK,Nape na wavurugaji wengine inawezekana! CDM go go go na fujo zenu!
 
Mbona unawapandisha sana mkuu..hawana ubavu huo..

Pili NTC ni product ya western powers (nothing from inside it outside product for outside benefits)

Chadema hawawezi kukubali kuingiza nchi kwenye matatizo kwa kuwa vibaraka kama hao NTC..
 
Cdm ni waasi,muasi si lazima uwe maporini! Kuasi ni kujaribu kwenda kinyume na makubaliano ambayo jamii flan imejiwekea! Mke,mchungaji,padri,mwalimu,askari,chama cha siasa,raia et cetera wote wanaweza kuasi!! Cdm wanataka kuharibu utaratibu wetu tuliojipangia kwa kisingizio cha maisha bora!!
 
Hata kiongozi wao padri slaa alimwasi SIR GOD! Roho ya uasi inawafuatilia hawa jamaa
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
asamehewe huyoo,hajui anenalo,alichokiandika kina fanana na uwezo wake wa akili.Ndio walewale wa kuridhishwa kwa kofia na t-shirt,pamoja na shilingi elfu tano,wanasahau yote yanayowasiibu na yanayosababishwa na hao anaowafagilia.
 
Naomba uwe scientific ktk mada zako. Just tel What u hate in CDM and what u like in ur CCM. Can u tel HOW MANY people have been killed by CDM since Last year? ... compare with HOW MANY have been Killed by CCM GVT in the same period? Come to ur senses and see who is BRUTAL!!!
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015
Hilo nalo neno, tusipuuze maana wanafanana sana kwa kauli mbiu zao
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!!
.... tutashuhudia siku wanaingia ikulu .....!!
.. To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Nilikuwa sijui kama CHADEMA ni sawa na NTC na JK ni sawa na Gaddafi? Jeri umekiri mwenyewe kuwa iko siku Nguvu ya umma itaingia Ikulu. Ujinga wako ni kulilia umasikini huku ukiwa mtumwa na kukataa utajiri ukiwa mtu huru, ila CDM ilkishika dola, ujinga utakutoka automatically, haituhitaji tukupeleke shule ya kata.
 
Back
Top Bottom