Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

we buswelu DMX ana wimbo gani mpya au 7bu anatoka marekan?kuwa mtetez wa hak za wa2 wanaotafuta sio kuendelea kuwaunga mkono hawa makupe(clouds entertainment)
 
Nilitamani sana kwenda vinega ila mambo ya opportunity cost tu. wkend ina mambo mengi sana
 
ukitaka kujua leo vinega ni noma angalia sasa hivi break point hapa kinyama palivyo jaa. watu wanasubili mida ifike waingie kati. mi nipo huku juu ghorofani mzalendo pub nasubili mida.karibuni. mia
kaka ss tupo mikoani hebu tujuze watu?wamejaa kimtindoa au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom