Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

Jidundufila

Member
Nov 2, 2010
86
11
Habari zenu watanzania wa kweli. Jana nimewasikiliza vinega kupitia FNL kusema ukweli wamenigusa sana nusura nitoe chozi jinsi wasanii wa bongo wanavyodhulumiwa. Mi mwenzenu leo mapemaaa naenda kuwaunga mkono hawa ndugu ni kweli wanalenga kumwinua mtanzania nakusihi usikose twende ustawi wa jamii ndugu.
 
Tuko pamoja JIDUNDUFILA wamenyonywa sana kwa muda Muda mrefu, Sugu ameingia pale kuwakomboa... kama unakumbuka kuna wasanii kibao walitupwa nje Eti kwasababu walikuwa hawafuati masharti ya Wanyonyaji (CLOUDS FM) kifo chao ni leo... kama umeisikiliza hii Radio sasahivi wameanza kupiga nyimbo za wanamuziki wote waliowatama na wanawataka kwenye onyesho leo, its one step ahead, together we need to support them. Kinachonisikitisha ni maafisa masoko wetu kukataa kudhamini onyesho la wazawa na kukubali kudhamini onyesho la watu wa nje!
 
SOME of us,physical presence is not possible,but tutakuwa nanyi in prayers,that this historical day ends in success-lets hope its the beginning whereby Tanzanian artists can stand tall and get their rights. Tunaomba mtaokuwepo mtupe updates
 
Tusichelewe kwenda kuaga sura ya mwisho.
393544_296972670324288_100000346712374_1001259_1843524273_n.jpg
 
Kiukweli ukombozi umepatikana utake usitake cos clous imewachimbua kina afande sele,GWM,Gangwe mob,solid ground family,Jmo walikuwa hawasikiki but tangu wiki inayoisha wameanza kuckika huu ni ukombozi tosha,big up vinega,jana anahojiwa afande sele anakili wanatakiwa wasamehe na anakili wananyonywa ktk ukombozi huwa na watu wachache hao kina sele ni wasaliti ila kuna kitu watajifunza,suport kwa vinega
 
Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p. Wote hawa walipotezewa na mafisadi wa mziki.
 
Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p..............Hawa wana nyimbo gani mpya? au wanaenda kuimba yale matusi kwa kushirikiana na mkuu wa sugu? Mtu kama Soggy ataimba nini sasa zaidi ya ule wimbo wake wa soggy mhaya sijui?> watu wanataka radha...zaby b alikosa ubunifu ndio maana soki likamtoa lenyewe sio clouds.. Nguvu nyingi sana...watu wanaenda kushangaa nini pale sasa wakti wadada wanamziki kama hao sijui kama bado wana pumzi ya kukimbizana na vijana wa sasa...
 
unaongea nini ww buswela upupu mtupu au umenunuliwa na basha wako ruge ruge anaweza knunua mijitu km nyie but awez kukunua haki ya mtu ndo maana leo arobain yake imefika vinega leo wanawafunika vbya hao mashoga
 
unaongea nini ww buswela upupu mtupu au umenunuliwa na basha wako ruge ruge anaweza knunua mijitu km nyie but awez kukunua haki ya mtu ndo maana leo arobain yake imefika vinega leo wanawafunika vbya hao mashoga

Frustration zitakumaliza kijana...watch ur language....jibu kwa hoja...
 
Hakika watu kama akina Afande sele nina mashaka na uwezo wao wa kufikiri lakin daima Mapinduzi huletwa na wachache. VINEGA ndo dawa ya Wafu Fm mpaka kitaeleweka tu.
 
Nawatakia kila la kheri watanzania wenye kuipenda nchi yao na wenye kuwatakia mema na mafanikio wasanii wetu,ukiona tunashindwa kustareheshwa na watanzania wenzetu basi ujue tu watumwa wa fikra na hata starehe.
 
ma loosers tu,to remain in show biz unatakiwa kuwa creative....kitu ambacho akina zay b hawana.hapo mnatafuta mchawi ruge kwa makosa yenu wenyewe,well ngoja tuone mtafanya nini baada ya hii concert kama mtaibuka na single mpya au mtapotea kama mlivyopotezwa na wenzenu....sugu anawatumia tu kujipromote..............sio msaidizi wenu wala nini,ngoja nione atawasaidiaje baada ya hii concert na kuzindua kitabu chake.....
 
ma loosers tu,to remain in show biz unatakiwa kuwa creative....kitu ambacho akina zay b hawana.hapo mnatafuta mchawi ruge kwa makosa yenu wenyewe,well ngoja tuone mtafanya nini baada ya hii concert kama mtaibuka na single mpya au mtapotea kama mlivyopotezwa na wenzenu....sugu anawatumia tu kujipromote..............sio msaidizi wenu wala nini,ngoja nione atawasaidiaje baada ya hii concert na kuzindua kitabu chake.....

kuna watu mna vichwa vizito sana..we mwanamke,hizi harakati sio za kugombania kuwekewa nyimbo topten au airtime..hapa watu wanapigania mapinduzi ya soko la muziki..na hii show ni ya kuwaamsha wasanii na jamii kwa ujumla kwamba INAWEZEKANA..subiri utaona impact yake.
 
ukitaka kujua leo vinega ni noma angalia sasa hivi break point hapa kinyama palivyo jaa. watu wanasubili mida ifike waingie kati. mi nipo huku juu ghorofani mzalendo pub nasubili mida.karibuni. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom