Leo nataka wababa . . .

nimeamka wima

kusini mashariki kulikuwa na pepo za msimu.
Magharibi mwa pua kuna mvua za rasharasha na chafya za hapa na pale.

Maeneo mengine yalikuwa shwari kabisa.

Kwa ujumla mie mzima.
Haki sawa iko wapi hapa? Sie siku 1 tu, wao 364!!!

Umeamkaje kongosho!
 
nimeamka wima

kusini mashariki kulikuwa na pepo za msimu.
Magharibi mwa pua kuna mvua za rasharasha na chafya za hapa na pale.

Maeneo mengine yalikuwa shwari kabisa.

Kwa ujumla mie mzima.
Tehe!

Ubarikiwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom