Leo nataka wababa . . .

lita 2 na robo will do, i wish you the best kuna nyoka huko porini
Ok wateja kumi wa mwanzo watapata offer ya hafu price.
Acheni nilog out sasa jero langu lishaisha hapa cafe.
mbaki salama na msitongozane bila condom.
Asanteni.
 
hivi mkemia ndo anapima DNA?
Nahisi nimebambikiziwa mme
Na mie nimembakiza mtu mke

nataka niwapime DNA, nijue yupi wangu

Dr ndodi ni jirani yake mzizimkavu bana. Mimi nakaa jirani na mkemia mkuu wa serikali
 
tuwe tunapigiana simu na nyie mwe..mimi nilikuwa hukoo kwenye baikoko kumbe nyie mnapiga stoei huku.si fresh
[video=youtube_share;7yU7KcGoaQ4]http://youtu.be/7yU7KcGoaQ4[/video]
 
leo wapo wapi?najua jana ni continental...
vip yule mdada mwembamba leo alikuwepo?
karibu hujachelewa...wakubwa ndio tunataka kuondoka kuna after part ya wawili wawili...
 
kesho ntakupigia
kumbe nawe mpenzi wa mastori

afu kuna mtu namsaka simuoni.

tuwe tunapigiana simu na nyie mwe..mimi nilikuwa hukoo kwenye baikoko kumbe nyie mnapiga stoei huku.si fresh
[video=youtube_share;7yU7KcGoaQ4]http://youtu.be/7yU7KcGoaQ4[/video]
 
Ok wateja kumi wa mwanzo watapata offer ya hafu price.
Acheni nilog out sasa jero langu lishaisha hapa cafe.
mbaki salama na msitongozane bila condom.
Asanteni.

TECHNO nazo hazikai na charge...nite!
 
leo wapo wapi?najua jana ni continental...
vip yule mdada mwembamba leo alikuwepo?
karibu hujachelewa...wakubwa ndio tunataka kuondoka kuna after part ya wawili wawili...
yule wa kanga moko ndembendembe njoo an milioni? dahh ngoje na mimi nipige ramli huenda nikapendwa sasa
 
Asante sana, pale mwisho wanasayansi tulipomaliza uvumbuzi tuliambiwa tutume salam. Nilituma kwako. Walifurahi sana wanasayansi wenzangu kuskia jina lako
Lol, itakuwa wamelifananisha na mzizi wa dawa gani?

Salam nilizipata na nilizijibu pia!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom