Leo asubuhi kulitokea mabishano home

Hahahaahha! Wewe ndugu yangu uko nyuma sana! Yaani hujajua tu kwamba Planett Ndio huyo mumeo Baba J?? Hii ni ID yake ya pili ambayo hajakwambia na ndio anatambaa na mabinti wa JF kupitia ID hiyo. Shtuka dada hahahahaahahahah
Eeeeeeh !!
 
Mimi mpaka Leo wadada wa kazi ambao wameondoka tunasalimiana na things are ok. Ila huyo maza mjengo alivyokuwa ana mdomo juu yao duh wanawake wana roho mbaya sana hawa hahahahahaah
Wasiwasi wako tu .KUNA wadada wabaya KUNA wadada wazuri pia KUNA wamama wabaya KUNA wamama wema.Si suala la kitu gani kinafanyika na wapi
 
Watu tuna tofautiana, unaweza ona nguo n nzuri na inastahili kuwa kwa ajili ya mtoko kwa upande wako, lkn me nikaona ya kaawaida sana na nikaifanya ya kwenda nayo shamba kulimia na kupalilia migomba.

Tunatofautiana mapendezi, zngatia sana hilo. Ukilijua hilo halitakupa shida, na itakupa kuelewa kuwa ww ukionacho cha thaman sana s lazma na me nkione cha thamani.

Na pia utoapo kitu kwa muhitaji, ustake kumpangia na matumizi ya kukitumia. Kisa sna chakula udhani ukinipa pesa n lazma nikanunue chakula, unaweza nipa pesa nikaenda dukani kununua nguo. Na usione nakudharua kwa kutenda hivyo, tunatofautiana mapendezi.

S vyema kumpangia mtu namna ya kutumia au kufanya kisa tu n ww ndye uliyempatia, ukifanya hivyo n kama unamnyanyasa. Tena mtu mzma wa miaka 18 loh!, fanya hivyo kwa watoto kwamba hii n nguo ya kanisani hupaswi kushiandia. Lkn mtu mzma muache afanye analoona sahihi kwake.
Point taken.
Ila Mimi Nina moyo flan flagile Kuepuka hayo sitampa Tena nguo yangu ya thamani Basi.Mana ntaonekana namnyanyasa
 
Nilichogundua Roho ya umaskini,inaandama watu wengi sana huku nchi za Afrika.

Kuna mama mmoja ni mama wa makamo ana watoto 5 wote wamefanikiwa na wanamaisha yao,walibahatika kusomeshwa.
Wako vizuri kielimu na maisha wanajitegemea.
Wamezaa watoto, huyu Mama sasa anaitwa Bibi,Mumewe yupo taasisi ya Dini.

Huyu Mama loo ni kama aina ya huyu Dada,ana mdomo always she think is right.

Sasa pale kwa Mama dadaz hawakaagi hata mwezi au miezi lazima waondoke,
Wana jumba kubwa(Ghorofa 1)lkn usafi na kudeki lazima utumie matambala na sio mop..zipo lkn zimefungiwa store.

Chakula ni chai na mkate...
(Akiwa hayupo yeye)hakipikwi kitu ila hivyo chai mkate.

Garden kuna miwa,miembe, michungwa ,mipera etc

House boy usionekani umeokota embe lililodondoka au uvunje muwa ule,
Utasakamwa utasemwa na ikiwezekana utalipa(anakukata mshahara)

Ana uza mapapai nazi n.k
Anae mkabidhi kuuza mapapai ni lazima hela kamili ifikishwe kwake,usimwambie Papai lilioza utalipa au lah umuonyeshe (kama hukulitupa)

Kuvaa kwake mwenyewe ni nguo nguo tu ili mradi kavaa,
Looh yapo mengi yakusema lkn siwezi kuandika sana mi siwezagi aisee...

Ni watu waliofanikiwa na mumuwe ila wanaishi kimaskini sana(hasa Mama)

Ndicho nachoona kwa huyu Dada,kumpa Kijinguo tu binti ,mashart kedekede mpk umemuundia kamati ya ushauri Jamii forum kutaka mawazo yako yasipingwe.

Kama ana nguo chache mpe mshahara wake mshauri akanunue nguo nzuri za kutokea.

Umempa malonya lonya ya kushindia mpk yanamshinda kuvaa ispokuwa ile moja angalau inakalika mwilini,muache avae anayotaka, yale malonya kashindwa kuvaa,Jeee baghoshaa hiiiiiii nisemejeeeee

Na hapo unasema nimempa nguo za kushindia swali ni ngapi?
Isije ikawa vinguo viwili tu na vyote vibuga vimempwaya sana ,navyo hivyo unahesabu.

Kitu kingine, kutoa kitu unachokipenda hayo ndo madhara yake,
Utakifatilia mpaka mwisho wake(hiyo sasa ndo pure roho ya kimaskini)
Maskini akitoa sadaka akimsadia mtu,majirani au mtaa mzima watajua Flani kamsaidia kitu fulani.. atatangaza tu

Ndo huyu dada sasa.....ni shida.
Nasema uongo ndugu zangu?
Sikia my dear young.
Unaweza ukawa umejitahidi kuandika na huo mfano wa huyo Bibi yako wa huko Buza lkn is pointless.
Kwa hiyo ni kosa kumwambia mdada wa kazi nakupa hii ya kutokea na hizi za kushindia.Mbona hata sisi tulipewa nguo za kutokea akina Mama au ndugu na hatukuonyesha dharau Kama hizo.Eti nimeunda kamati una mawazo ya mbali Sana imetokea tu Uzi ukatembea Sana Basi.Acha makasiriko Babu.Halafu vipi umejiunga na kazi ya sensa au bado mwisho kesho
 
Mi nachofanya siku hizi ni kuziuza kwa wauza mitumba kwa Bei ndogo kabisa,, kuliko kumpa ndg akashindwa kukithamini heri hivyo tu
KUNA baadhi ya watu wanajifanya Kama hawajaelewa vile but ukweli binadamu yeyote akikuthamini na wewe mthamini na pia tunza kesho ili aendelee kukuthamini mfano ukigeuza kitu Cha thamani Cha mwenzio Kama takataka kesho hawezi kukupa Tena.Ipo ivyo.Inside life.
 
Tuheshimiane,sijamsifia mtu na hiyo nguo Mimi siijui,ninachosimamia ,umempa mtu kitu usimfamye mtumwa.Ukishampa kitu mtu haitakiwi kumpangia namna ya kutumia.Kama unaipenda Sana hiyo nguo ungebaki nayo mwenyewe uitendee unavyotaka.Kizuri kwako siyo kizuri kwangu,kila mtu ana mtazamo wake.Ukimsaidia mtu imeisha hiyooo siyo unataka awe mtumwa wako kisa umemsaidia.
Sasa nimeshaelewa Jambo moja.Wewe hujui mtu yeyote anapompa mtu kitu anakuwa na lengo mfano.Una jirani ukaona Ana njaa ukaenda kumpa chakula hapo hapo akakitupa je kwako utachukulia kwa kuwa ulimpa?tusijifanye watu wema Sana wkt sio kweli
 
Una gubu na unavyoendelea kumsema house girl ndio Mr anazidi kumuonea huruma kwa tabia zako na mwishowe ataanza kumpa pesa ajinunulie mwenyewe na binti atataka kurudisha fadhila na ndipo ndoa yako utaona Chungu!

Chakufanya wewe mpotezee na usiongee tena chochote kuhusu iyo nguo na anza kutafuta binti mwingine kimya kimya uyo kashaweka doa tayari!
 
Hiyo nguo kama ni unaiona ni nzuri ni kwako na mtazamo wako lakini kwa huyo dada anaiona ni nguo ya kawaida sana ndio maana anaishindia hovyo hivyo usilazimishe tuwe na mtizamo mmoja na kama nguo ulishagawa usimpangie mtu matumizi
 
Kakushikia bangoo sanaa.. Sema wamama mnazingua sana kuwapangia wadada wenu wa kazi maisha mpaka mnapitiliza saaaaa...
Hakuna point ni nguo ya kutokea hizi za kushindia hizi.Sawa sawa Basi.Kukitokea dharura ushindwe hata kuongozana Naye.Lazima kumguide.Sasa walimwengu wanapotosha
 
Aksante best.
Na Leo nimeelewa kwa Nini darasani mpo wote wengine wanafeli na wengine wanafaulu.
Mfano hili suala.Watu wanashindwa kutofautisha watoto unaoishi nao ndani na jinsi unavyotakiwa kuwa train.
Msichana wa kazi Mimi humchukulia Kama mwanagu wa kumzaa kwa maana hata mwanangu KUNA nguo hawezi tu akaishindia ovyo eti kwa sababu ni yake na nilinunua au nilimpa.Sasa Mimi kusema nilimpa Aina ya nguo ya kutokea na pia nikamuongezea na za kufanyia kazi.Tena SIO kwamba akiwa Nyumbani asivae hapana anaweza vaa Ila Ile asubuhi kuidekia kuilimia au wkt anamenya ndizi..kwa maana inaweza pata utonvu.Au point ya kusema hii nguo ya kutokea au uitunze vizuri NDO haijaeleweka naonekana namuonea
Achana nae!hawanaga shukrani ma HG Wenyewe!hawabebeki...wanaowatetea Hawajui vibweka vyao....
 
Achana nae!hawanaga shukrani ma HG Wenyewe!hawabebeki...wanaowatetea Hawajui vibweka vyao....
Na huenda Hawa wanaowatetea hawajawahi hata ajiri hao wadada wakajua tunachoongelea nimesoma comment Moja hapa inasema'huwa naamua tu kuwauzia wa mitumba kwa bei ndogo au kuziacha kabatini.Ni kweli kabisa Mimi sio mjinga nifungue Uzi tu eti nguo how??nimeongelea mtu kutothamini kitu unachopewa Cha thamani.Na Ukakichukulia kawaida tu.Ninyi mnaobisha hata thamani za kuwalipq na kuwarunza mahausigelo mnazisikia tu Radioni
 
Hiyo nguo kama ni unaiona ni nzuri ni kwako na mtazamo wako lakini kwa huyo dada anaiona ni nguo ya kawaida sana ndio maana anaishindia hovyo hivyo usilazimishe tuwe na mtizamo mmoja na kama nguo ulishagawa usimpangie mtu matumizi
Nyamaza
 
Back
Top Bottom