Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
waziri mkuu anaposema uongo....naomba mwongozo
Umenikumbusha hili!
Lilimuumbua waziri mkuu,spika na serikali nzima!LEMA NI NOOOOOOOOOMA!
waziri mkuu anaposema uongo....naomba mwongozo
Mkuu Ngongo..
Habari za sikukuu? Vipi mradi wa Machinga Compelex na Barabara za juu alizosema Lema wakati wa Kampeni zimefikia wapi?
LEMA ameshakaa madarakani muda gani?
JF imekuwa kisiwa cha wapambe wa Lema. Kila siku watu wanaanzisha thread zinazomhusu wakati kiuhalisia hamna alichikifanya zaidi ya kuifanya Arusha kuwa uwanja wa vita.
Kwa hali hii tutanunuliwa suti hadi nguo za ndani unashangilia kufadhiliwa na kujengewa na wachina.Feedback.
Arusha hakuna barabara ya lami sana sana tunatarajia mradi wa kuboresha miundombinu ya Jiji itaanza mwakani pita pale Arusha Sec uwanja wa mpira kuna kampuni ya kichina imeshaanza kuleta vifaa.Ikumbukwe mradi huu unafadhiliwa na WB chini ya mpango wa maboresho ya Jiji la Arusha bila kusahau madiwani wa CDM hawashiriki vikao vya baraza la madiwani hivyo sifa zinaweza kuchukuliwa na kile chama cha magamba ahaaa aa.
Kweli Lema kiboko unakumbuka hii....
Wewe huishi Arusha huwa unatuzuga tu.Feedback.
Arusha hakuna barabara ya lami
Kwa hali hii tutanunuliwa suti hadi nguo za ndani unashangilia kufadhiliwa na kujengewa na wachina.
Ndiyo maana nikasema hivi kwa ajili ya kufupisha mjadala, tufanye Manispaa ya Arusha haina Lami hata Moja kama unavyodai. Sasa na wewe utueleze hukumu yako dhidi ya Lema kutokana na Manispaa ya Arusha kutokuwa na Lami.
Ahsante Ngongo,
Ni vizuri uwajulishe kuwa manispaa hiyo haina hata barabara moja ya Lami. Zote wanazoziona zinamilikiwa na Tanroad. Na wajuze wajue kuwa kuna barabara za manispaa/ halmashauri na barabara za Tanroad.
feedback.
Sasa wewe unatarajia nini kama mbunge anakesha mochuary akiomba maiti ifufuke ?.kama haitoshi tunaambiwa eti ndiyo mwanasiasa bora wa mwaka 2011 bora wangesema mwanasiasa mtata wa mwaka 2011 ningeelewa.
Bado tunasubiri akimaliza harakati labda atakumbuka.
Mkuu Barubaru, ni manispaa chache sana hapa TZ zina ubavu wa kujenga barabara za lami. Hata Dar yenyewe zipo chache sana na ziko sub-standard. Labda utujuze huko kwenu mmefanyaje kuweza kutandika mkeka wa lami kila mahali
hapo kwenye Red Lema ameyafanya hayo!..? Je kuwaambia watu waandamane na kijipeleka jela ... kuingilia siasa za NCCR ... ndiyo defn. yako ya mobilization ..?!
bado me bado am sticking on my point mwakilishi mzuri ni yule ambaye maendeleo jimboni mwake angalau yanaoneka .. hata kama hatumuoni kwenye TV & Magazeti, Maandamo & vurugu na mapolisi kila siku . lakini anaonekana jimboni kwake..
Luteni,
Je unajuwa ni kuwa jimbo lake la Arusha mjini halina hata Kilometer moja ya Lami.
Je Lema ameshaweka lami japo hata Km Moja tokea aingie madarakani? Je maendeleo gani aliyowaletea wapiga kura wake? mpaka awe mwanasiasa bora?
Hahahaha ritz..umenikumbusha ukilaza wa huyu mheshimiwa. Hivi kwanini huwa anapenda sana kuongoza mazishi? Nimeshamuna kwenye kamati nyingi sana za mazishi. Halafu lazima kwenye kila msiba atoe waraka!!!Mpaka akumbuke tena? Vipi na kuhusu kufufua wafu kafanikiwa?
Tumbiri.
Naomba ujue siku zote wananchi hawataki malumbano bali wanataka maendeleo. Na Mbunge ndio mwenye dhima kubwa sana katika kuchochea maendeleo ya jimbo lake akishirikiana na wananchi wake. Kwani ni yeye anawawakilisha wapiga kura wake ndani ya chombo kikuu cha kutunga sheria na kupatisha bajeti ya nchi.
sasa tuweke wazi je amewasaidia nini wananchi wake?