Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Lema ni tingatinga ! Arusha imepata mwakilishi anayetetea kilio cha wananchi.hongera kamanda lema we salute u broda.
Mpaka akumbuke tena? Vipi na kuhusu kufufua wafu kafanikiwa?
Hii ni ahadi ya kikwete...Kwa hiyo tusubiri atajenga hizo Machinga Compelex mbili pamoja na barabara za juu?
Hivi mbona Lema ana washabiki wengi hivyo humu lakini simwoni?
Ama anatumia id gani?
Kuna yule ndugu alikuwa na avatar ya mtoto wa kichina china, nimesahau jina...
Labda angekuwa anajuwa somting about nothing
Ni ukweli usiopingika kuwa Godbless Lema amekuwa ni mwanasiasa mwenye kuibua mijadala mingi hapa nchini, ndani na nje ya bunge. Kwa uchache utaungana nami kukumbuka hotuba ya waziri kivuli wa mambo ya ndani aliyoitoa bungeni ilivyovuta hisia za watanzania wengi. Bila kusahau tamko lake lililopinga mwafaka uliofikiwa kati ya madiwani wa CCM na Chadema Arusha na kupelekea madiwani hao kufukuzwa Chadema.
Ni hivi majuzi tu ametoa waraka wake kuhusu kufukuzwa Kafulila unavyojadiliwa hadi leo hii. Ukiachilia mbali misukosuko yake na harakati za kuwasaidia wananchi wa jimbo lake la Arusha mjini hadi kupelekea kuwekwa rumande kwa wiki mbili, vile vile tumejulishwa Lema amepata tuzo yamwanasiasa bora na jasiri kijana kutoka blog moja nchini na kuwashinda wanasiasa wengine machachari waliotamba mwaka jana kina Zitto, January na Mnyika anayeibukia kwa sasa. Kwa vigezo hivi sina budi kabisa kusema GL amekuwa mwanasiasa bora wa Mwaka huu tunaomaliza wa 2011, nafikiri utakubaliana nami.
Nape anavyokutumeni mizuka wake mnafikiri wote wanafanyaga hivyo.Lema hawezi kujenga hoja kwenye Forums kama hizi sio mzuri kwenye kuandika anaogopa kumwaga upupu..
Kashindwa kuiga kutoka kwa Mnyika au Dr Slaa, wanakuja jamvini..
Lema na Sugu hawezi kujiunga JF hata siku mmoja, wanatuma tu watu wao kina Crashwise, Feedback, LAT.
Wakuu Lema kafanya vizuri mwaka huu sikatahi, lakini vipi na huyu mtu Mtaalamu wa sheria TUNDU LISSU?
Nape anavyokutumeni mizuka wake mnafikiri wote wanafanyaga hivyo.
Wewe ulivyokuwa mtumwa wa Lema, ikitokea Lema akarushiwa bomu wa kwanza kufa utakuwa wewe kwa jinsi ulivyokuwa na mahaba na Lema upo tayari kulalia bomu ili Lema apone
Huu uandishi wa hivi umeusomea wapi? Wa shule za kata kuwagundua ni rahisi sana. Hebu panga hizo sentensi zako vizuri ili tujue unachotaka kutueleza.Wewe nape ngongo rejeo ndiyo mnamahaba na LEMA mkiona jina la LEMA mnawashwa na masaburi yenu hamlali mbaka muandike ujinga wenu kuhusu Lema ndiyo mtajisikia raha na masaburi yenu yanatulia kuwashwa ila nitamwomba Lema siku moja awatulize hayo masaburi yenu wewe nape ngongo rejeo ndiyo mtamuheshimu sisi wananchi wa arusha ni wanaume kazi kwenu nyie AKINA DEVIDI KAMERUNI MNAOTAKA SISI NA LEMA TUWASHULIKIE MASABURI YENU
Mbona ni shughuli za kawaida za kibinadamu!kwani wewe hutokufa?kama utakufa,je atakayeongoza mazishi yako atakuwa amefanya vizuri au vibaya?kama kila mtu akikwepa kuzika wafu,je wafu watazikwa na nani?kwa hiyo ukilaza wake upo kwenye kuzika wafu au kwenye maeneo mengine,tujuze mkuu!Hahahaha ritz..umenikumbusha ukilaza wa huyu mheshimiwa. Hivi kwanini huwa anapenda sana kuongoza mazishi? Nimeshamuna kwenye kamati nyingi sana za mazishi. Halafu lazima kwenye kila msiba atoe waraka!!!
shule za kata zilianzishwa na serikali ipi?ya chama gani?kila siku tunapoongelea udhaifu wa CCM wewe umekuwa mstari wa mbele kupinga ukweli huu,nadhani leo umejisahau na kukubali ukweli!Huu uandishi wa hivi umeusomea wapi? Wa shule za kata kuwagundua ni rahisi sana. Hebu panga hizo sentensi zako vizuri ili tujue unachotaka kutueleza.
JK anampenda sana Zitto, you can tell by his look!lol
Kwa mazingira kama haya, ambapo Zitto anapuyanga na JK na Salma unadhani atamfikia LEMA?!
Huyo Lema keshatoa tamko kuhusu kuendelea kwa Kafulila kuwa Mbunge?
Wewe nape ngongo rejeo ndiyo mnamahaba na LEMA mkiona jina la LEMA mnawashwa na masaburi yenu hamlali mbaka muandike ujinga wenu kuhusu Lema ndiyo mtajisikia raha na masaburi yenu yanatulia kuwashwa ila nitamwomba Lema siku moja awatulize hayo masaburi yenu wewe nape ngongo rejeo ndiyo mtamuheshimu sisi wananchi wa arusha ni wanaume kazi kwenu nyie AKINA DEVIDI KAMERUNI MNAOTAKA SISI NA LEMA TUWASHULIKIE MASABURI YENU
Misukosuko inabidi iwepo lakini iwe ya kimaendeleo. Misukosuko inayotakiwa ni ya kiuchumi na partly kijamii na siyo kisiasa. Nchi nyingi zenye misukosuko ya kisiasa uchumi wake umedidimia. Reference za hii zipo nyingi sana na unaziona kila siku.
Mikoa kama ya Lindi ina geographical disadvantage, lakini ukiangalia kwa mikoa ya TZ, mikoa ya kusin kwa sasa ndiyo inaonyesha positive growth kiuchumi, wakati mikoa ya Kaskazini kama Arusha na kwasababu ya upuuzi wa Lema uchumi wake unekuwa ukididimia.
Tumbiri,
Kumbuka hapa tunaiongelea Arusha mjini. Naomba nitajie tu njia/ barabara gani ambayo inamilikiwa na manispaa ya arusha mjini ni ya L:ami. Nitajie kwa majina na sio kufanya assumption.
Kwani mimi ninavyojua na ndivyo ilivyo manispaa hiyo haina hata barabara moja ya lami inayomilikiwa nayo zote unazoziona zinamilikiwa na Tanroad.
nasubiri jibu lako hapo na hiyo list