Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

Lema kifaa na anafaa kuwa mwanasiasa bora2011 mpaka sasa hakuna atakaeweza kuvunja records kukata dhamana kwa ajili ya watu wake. bravo Lema kwa kutouwa mnafiki ka Zitto
 
Feedback.

Sasa wewe unatarajia nini kama mbunge anakesha mochuary akiomba maiti ifufuke? Kama haitoshi tunaambiwa eti ndiyo mwanasiasa bora wa mwaka 2011 bora wangesema mwanasiasa mtata wa mwaka 2011 ningeelewa.

Mna uhakika kwamba alikesha Mochuary au mmezolewa akili na Propaganda za Gazeti la Hoja?
 
Hahahaha ritz..umenikumbusha ukilaza wa huyu mheshimiwa. Hivi kwanini huwa anapenda sana kuongoza mazishi? Nimeshamuna kwenye kamati nyingi sana za mazishi. Halafu lazima kwenye kila msiba atoe waraka!!!

Sasa ulitaka asiende kwenye Mazishi! Huyu Mwanamke vipi Jamani!

 
Hivi mbona Lema ana washabiki wengi hivyo humu lakini simwoni?

Na hii ni dalili kwamba the Man anapendwa sana! We ulishaona Rostam au JK ana washabiki kiasi hiki! Heri yake EL washabiki wake humu JF ni Rejao, Rtz na Ngongo!
 
Pamoja na kwamba kuna baadhi yetu wanatofautiana na lema bila sababu yoyote ya maana isipokuwa unazi wao wa UGAMBA,bado wanaleta changamoto nzuri kwa utendaji wa Lema.Ningekuwa mheshimiwa lema ningetumia post hizi kama somo kuu la kupata nini maadui zangu wanaona sijafanya ili niweze kufanya na wasipate cha kusema.Nikishindwa niwaeleze wananchi wangu kupitia mikutano yangu tatizo ni nini na pia jitihada zangu nimezifikisha wapi.
Ningependa sana Mheshimiwa Lema aingie humu na kuchukua yale yote yanayosemwa na wale wanaomchukia kama changamoto ya kutatua matatizo yanayowakabili watu wa Arusha.Inanisikitisha sana kama Halmashauri ya manispaa ya Arusha haina barabara ya lami.Ningependa kujua mheshimiwa Lemma na madiwani wote wa Arusha bila kujali itikadi zao za kisiasawanalichuliaje hili suala.Ninawaomba waheshimiwa wote wa Arusha bila kujali itikadi zao wahakikishe kuwa wanaisongesha Arusha yetu mbele na si kuirudisha nyuma.
Tunahitaji mji bora wenye miundombinu inayoeleweka
Tunahitaji mji uliopangika vyema
Tunahitaji kuwa na maeneo mazuri kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo wa mjini hapo na tunahitaji siasa iwekwe pembeni wakati wa utekelezaji wa kazi za maendeleo.
 
Lema hawezi kujenga hoja kwenye Forums kama hizi sio mzuri kwenye kuandika anaogopa kumwaga upupu..

Kashindwa kuiga kutoka kwa Mnyika au Dr Slaa, wanakuja jamvini.

Ona sasa umejisahau ulichotumwa kuja kufanya humu JF umeanza kuwasifia Mnyika na Slaa. Shauri yako NAPE atakufukuza kazi!
 
Wewe nape ngongo rejeo ndiyo mnamahaba na LEMA mkiona jina la LEMA mnawashwa na masaburi yenu hamlali mbaka muandike ujinga wenu kuhusu Lema ndiyo mtajisikia raha na masaburi yenu yanatulia kuwashwa ila nitamwomba Lema siku moja awatulize hayo masaburi yenu wewe nape ngongo rejeo ndiyo mtamuheshimu sisi wananchi wa arusha ni wanaume kazi kwenu nyie AKINA DEVIDI KAMERUNI MNAOTAKA SISI NA LEMA TUWASHULIKIE MASABURI YENU

Mgafilika,
Tunashukuru sana kwa hii mesage. Rejao, Rtz na Ngogo waje UNGA LTD Arusha tuwasaburi!

 
Wa shule za kata kuwagundua ni rahisi sana. Hebu panga hizo sentensi zako vizuri ili tujue unachotaka kutueleza.

Tena umeanza kuponda shule zenu mnazojenga wenyewe! Kumbuka umetumwa kuja kuiponda CDM na viongozi wake siyo kuponda kazi ambazo ni matokeo ya kazi ya Mikono ya CCM! Haki ya nani NAPE anakufukuza kazi! Lakini uzuri nilikutaadharisha mapema kwamba kazi unayoifanya ni ngumu na ambayo unaweza ukajisahau ukajua unaifanya kumbe unaifanya viceversa! Pole sana!

 
Ona sasa umejisahau ulichotumwa kuja kufanya humu JF umeanza kuwasifia Mnyika na Slaa. Shauri yako NAPE atakufukuza kazi!

Wewe ni Futuhi wa JF endelea kutuburudisha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Unahitaji elimu ya chekechea kugundua hili.......sidhani kuna mtu anayeweza kupinga utendaji wa Lema kwasasa,amekuwa ni kati ya wabunge wa CDM wanaosimamia haki bila uoga.
 
Bila ubishi huu jamaa ukitaja jina lake tu hata Kikwete nywele zinamsisimka.
 
Unahitaji elimu ya chekechea kugundua hili.......sidhani kuna mtu anayeweza kupinga utendaji wa Lema kwasasa,amekuwa ni kati ya wabunge wa CDM wanaosimamia haki bila uoga.

Hivi wewe kazi yako humu JF ni kuwapaka mafuta kwa mgongo chupa wabunge wa Chadema!
 
Kanuni za uandishi ukichanganya herufu kubwa na ndogo ni kufanya fujo!

Kwa hiyo wewe unataka kuniambia jina la mbunge wangu niandike kwa herufi ndogo kama ya nape wewe unajua kanuni ya uandishi embu niweke japo kanuni moja nielewe kwasababu jina la LEMA mkiliona mnawashwa
 

tena umeanza kuponda shule zenu mnazojenga wenyewe! Kumbuka umetumwa kuja kuiponda cdm na viongozi wake siyo kuponda kazi ambazo ni matokeo ya kazi ya mikono ya ccm! Haki ya nani nape anakufukuza kazi! Lakini uzuri nilikutaadharisha mapema kwamba kazi unayoifanya ni ngumu na ambayo unaweza ukajisahau ukajua unaifanya kumbe unaifanya viceversa! Pole sana!


asante kwa huu ujumbe wako
 
Huu uandishi wa hivi umeusomea wapi? Wa shule za kata kuwagundua ni rahisi sana. Hebu panga hizo sentensi zako vizuri ili tujue unachotaka kutueleza.

Kumbe mnajua shule za kata siyo bora haina kiwango lakini kwenye ilani yenu ipo kujenga shule za kata napia wabunge wenu kila siku waisifia kwamba ccm imejenga shule za kata nyingi kumbe haina ubora nape anapita nakusifu shule za kata nikazi ya ilani ya ccm ndiyo maana mnataka elimu ya msingi iwe darasa la sita badala ya la saba ilimjenge shule zakata nyingi kibaraka wa nape wewe fanya kazi ya nape kwa umakini siyo kuiponda kazi ya nape mnazidi kumuharibia mnakaa kuiponda ilani yenu ya ccm fanyeni kazi ya mkiona posti inayo husu chadema na LEMA inatakiwa msile wala kulala mnakaa kujibu wakati wanaume tunakula na kulala maana hatuja ajiriwa kama nyie na nape vibaraka wakubwa nyie
 
Mhe Godbless Lema ni Mwanasiasa bora kwa vile ni mkweli na asiyekurupuka katika kutoa hoja zake!
 
Kumbe mnajua shule za kata siyo bora haina kiwango lakini kwenye ilani yenu ipo kujenga shule za kata napia wabunge wenu kila siku waisifia kwamba ccm imejenga shule za kata nyingi kumbe haina ubora nape anapita nakusifu shule za kata nikazi ya ilani ya ccm ndiyo maana mnataka elimu ya msingi iwe darasa la sita badala ya la saba ilimjenge shule zakata nyingi kibaraka wa nape wewe fanya kazi ya nape kwa umakini siyo kuiponda kazi ya nape mnazidi kumuharibia mnakaa kuiponda ilani yenu ya ccm fanyeni kazi ya mkiona posti inayo husu chadema na LEMA inatakiwa msile wala kulala mnakaa kujibu wakati wanaume tunakula na kulala maana hatuja ajiriwa kama nyie na nape vibaraka wakubwa nyie
Lema ndiye amekufundisha kuandika hivi? Nenda shule ukajifunze kutumia nukta, koma na herufi kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom