Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,060
Hiki kiinglish cha wapi mkuu. Ungeandika tu kwa kiswahiliThat is also a politics

Tusubiri 2015 ndio tutajua wananchi wa Arusha walikuwa wanahitaji niniMkuu kwani wewe binafsi ulitalajia afanye nini zaidi ya alichokifanya?je unajua watu wa Arusha wanatarajia nini kutoka kwa mbunge wao?je mahitaji ya Jimbo la Arusha mjini ni sawa na yale majimbo ya Nyangw'ale na Igunga?ni vyema kufanya utafiti yakinifu kabla ya kutoa lawama!
We unafikiri awareness ya watu wa Arusha utalinganisha na watu wa Pwani.Kawatoa uoga? Mbona alivyojipeleka mahabusu kila mtu aliingia mitini? Unakumbuka skendo ya Mbowe kuwakimbia polisi?
Kama hii ndio unaiona ni achievement, basi upo completely wrong.
Ningemuona kafanya cha maana kama angewapa wananchi uelewa wa haki zao dhidi ya polisi.
Wananchi wa Arusha wangekuwa na mwamko na uelewa yasingewapata yanayotokea sasaWe unafikiri awareness ya watu wa Arusha utalinganisha na watu wa Pwani.
Nimesadiki Mkuu, nimemuona Rejao kashukia huu uzi kama mwewe ashukiavyo kifaranga!
Jirani yangu Ngongo bado anaoga.
Hao wa Lindi wenye mwamko wananini watu wakipangiwa kazi kule wanapakimbia. Maendeleo yana stage zake hayaji bila mgongano na misuguano kwenye jamii angalia nchi zilizoendelea karibu zote zilipitia misukosuko mbalimbali, na ukiona sehemu au mkoa hauna misukosuko jua hakuna maendeleo.Wananchi wa Arusha wangekuwa na mwamko na uelewa yasingewapata yanayotokea sasa
precisely!
Misukosuko inabidi iwepo lakini iwe ya kimaendeleo. Misukosuko inayotakiwa ni ya kiuchumi na partly kijamii na siyo kisiasa. Nchi nyingi zenye misukosuko ya kisiasa uchumi wake umedidimia. Reference za hii zipo nyingi sana na unaziona kila siku.Hao wa Lindi wenye mwamko wananini watu wakipangiwa kazi kule wanapakimbia. Maendeleo yana stage zake hayaji bila mgongano na misuguano kwenye jamii angalia nchi zilizoendelea karibu zote zilipitia misukosuko mbalimbali, na ukiona sehemu au mkoa hauna misukosuko jua hakuna maendeleo.
Vigezo vingine vya kizuzu ndivyo vilivyotufikisha hapa hadi tukampata kiongozi tuliye naye ndani ya taifa letu hivi sasa....Sijui watanzania tuna tatizo la kugeuza priorities upside-down au ni nini hasa ! Sijui ubora wa mbunge unajikita katika logic zipi hasa,labda kama tunaangalia quantity ya matukio.
Anyways tunafuata vigezo vile vile wanavyotumia hata wasomi wa hovyo(wasomi wanao-compromise taaluma zao ili kujikomba kwa mkuu wa nchi hata kumpatia udaktari wa falsafa) katika mazingira tatanishi.Naona dalili ya great thinkers kutumia vigezo kama vile vilivyotumika kumpa JK uongozi wa juu 2005 hadi kufikia 80%,naona tunatumia vigezo vile vile vilivyotupatia akina maji marefu bungeni ....pengine vigezo vilivyotupatia akina Lusinde.Tuna safari ndefu

That is also a politics

Ben Unaonyesha una chuki ya dhahiri kwa mbunge wa chadema Godbless Lema.Nimekuwa nikisita kuchangia mada zako lakini kwa hii nitachangia.Ben usidhani wewe ndio uko right kwa kila kitu wala usidhani kwamba wewe ndio mwenye haki ya kudifferentiate great thinkers.Hivi unadhani kwa nini alipigiwa kura na zaidi ya watu elf 5 kwenye mjengwa blog kama mbunge bora kijana? kwa taarifa yako vijana wengi wanamuona Lema kama role model wao
Mkuu Ben.
Kama Lema ni mwanasiasa bora wa mwaka 2011 hakuna haja ya kushangaa kwanini Tanzania ni masikini wa kutupwa pamoja na kuwa na utajiri mkubwa wa Madini,Ardhi kubwa,Mito mikubwa,mabwawa na maziwa kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji,malihasili mbuga za wanyama na nk.
Tunampataje kiongozi bora ?.
[1] Maandamano yasiyo na maana ?.
[2] Kususa dhamana ?.
[3] Kuombea maiti ifufuke ?.
[4] Kupigiwa kura na mashabiki kwenye blog ambayo mtu mmoja anaweza kupiga kura mara 100,000,000 ?.
Mitanzania mijitu ya ajabu kweli ndiyo maana mlidanganywa na maaskofu Kikwete chaguo la Mungu mkaingia kichwa kichwa mkamchagua kwa 80% ?.
Watu mnafikiri mkisoma Political sciences au political studies na PA ndio kujua siasa hapana, politics is more than that, politics is about making agreements between people kama watu wanakukubali na kukufuata hiyo ndiyo siasa.Vigezo vingine vya kizuzu ndivyo vilivyotufikisha hapa hadi tukampata kiongozi tuliye naye ndani ya taifa letu hivi sasa....Sijui watanzania tuna tatizo la kugeuza priorities upside-down au ni nini hasa ! Sijui ubora wa mbunge unajikita katika logic zipi hasa,labda kama tunaangalia quantity ya matukio.
Anyways tunafuata vigezo vile vile wanavyotumia hata wasomi wa hovyo(wasomi wanao-compromise taaluma zao ili kujikomba kwa mkuu wa nchi hata kumpatia udaktari wa falsafa) katika mazingira tatanishi.Naona dalili ya great thinkers kutumia vigezo kama vile vilivyotumika kumpa JK uongozi wa juu 2005 hadi kufikia 80%,naona tunatumia vigezo vile vile vilivyotupatia akina maji marefu bungeni ....pengine vigezo vilivyotupatia akina Lusinde.Tuna safari ndefu
Kwa hiyo kumuhukumu sasa hivi ni kukurupuka!Wananchi wa Arusha wangekuwa na mwamko na uelewa yasingewapata yanayotokea sasa
labda ungetusaidia mtazamo wako wewe ni vigezo vipi vyenye mantiki ya kumpata Mbunge bora..usiishie tu kutusi mtu aliyekubalika na watu kumuita Mbunge Zuzu..labda kama kuna husda ndani yake!
Sasa ungetusaidia kuorodhesha hivyo vigezo siyo kulalamika tu. Wewe unajua kabisa CCM wamecheza rafu kunyakua Umeya wa Arusha, sasa unataka LEMA atumie njia gani zaidi ya Possession wakati CCM wameshaonyesha nia ya kutokubali kurudiwa Uchaguzi? Tatizo lako BEN una wivu kwa sababu LEMA kambwaga rafiki yako ZITTO.
Ben Unaonyesha una chuki ya dhahiri kwa mbunge wa chadema Godbless Lema.Nimekuwa nikisita kuchangia mada zako lakini kwa hii nitachangia.Ben usidhani wewe ndio uko right kwa kila kitu wala usidhani kwamba wewe ndio mwenye haki ya kudifferentiate great thinkers.Hivi unadhani kwa nini alipigiwa kura na zaidi ya watu elf 5 kwenye mjengwa blog kama mbunge bora kijana? kwa taarifa yako vijana wengi wanamuona Lema kama role model wao
Toka BEN alivyochujwa na Kamati Kuu ya CDM kwenye kugombea Uenyekiti wa BAVICHA amekuwa na kinyongo sana. Na style yake ya kukomenti humu jamvini ni kama ile ile ya Zitto ya kupingana wazi wazi maazimio yaliyofikiwa na vikao halali vya chama tena na yeye akiwa Mjumbe!