Lema mwanasiasa Bora wa Mwaka 2011

Mkuu kwani wewe binafsi ulitalajia afanye nini zaidi ya alichokifanya?je unajua watu wa Arusha wanatarajia nini kutoka kwa mbunge wao?je mahitaji ya Jimbo la Arusha mjini ni sawa na yale majimbo ya Nyangw'ale na Igunga?ni vyema kufanya utafiti yakinifu kabla ya kutoa lawama!
Tusubiri 2015 ndio tutajua wananchi wa Arusha walikuwa wanahitaji nini
 
Kawatoa uoga? Mbona alivyojipeleka mahabusu kila mtu aliingia mitini? Unakumbuka skendo ya Mbowe kuwakimbia polisi?
Kama hii ndio unaiona ni achievement, basi upo completely wrong.

Ningemuona kafanya cha maana kama angewapa wananchi uelewa wa haki zao dhidi ya polisi.
We unafikiri awareness ya watu wa Arusha utalinganisha na watu wa Pwani.
 
Wananchi wa Arusha wangekuwa na mwamko na uelewa yasingewapata yanayotokea sasa
Hao wa Lindi wenye mwamko wananini watu wakipangiwa kazi kule wanapakimbia. Maendeleo yana stage zake hayaji bila mgongano na misuguano kwenye jamii angalia nchi zilizoendelea karibu zote zilipitia misukosuko mbalimbali, na ukiona sehemu au mkoa hauna misukosuko jua hakuna maendeleo.
 
Misukosuko inabidi iwepo lakini iwe ya kimaendeleo. Misukosuko inayotakiwa ni ya kiuchumi na partly kijamii na siyo kisiasa. Nchi nyingi zenye misukosuko ya kisiasa uchumi wake umedidimia. Reference za hii zipo nyingi sana na unaziona kila siku.

Mikoa kama ya Lindi ina geographical disadvantage, lakini ukiangalia kwa mikoa ya TZ, mikoa ya kusin kwa sasa ndiyo inaonyesha positive growth kiuchumi, wakati mikoa ya Kaskazini kama Arusha na kwasababu ya upuuzi wa Lema uchumi wake unekuwa ukididimia.
 
Vigezo vingine vya kizuzu ndivyo vilivyotufikisha hapa hadi tukampata kiongozi tuliye naye ndani ya taifa letu hivi sasa....Sijui watanzania tuna tatizo la kugeuza priorities upside-down au ni nini hasa ! Sijui ubora wa mbunge unajikita katika logic zipi hasa,labda kama tunaangalia quantity ya matukio.

Anyways tunafuata vigezo vile vile wanavyotumia hata wasomi wa hovyo(wasomi wanao-compromise taaluma zao ili kujikomba kwa mkuu wa nchi hata kumpatia udaktari wa falsafa) katika mazingira tatanishi.Naona dalili ya great thinkers kutumia vigezo kama vile vilivyotumika kumpa JK uongozi wa juu 2005 hadi kufikia 80%,naona tunatumia vigezo vile vile vilivyotupatia akina maji marefu bungeni ....pengine vigezo vilivyotupatia akina Lusinde.Tuna safari ndefu
 
Sasa ungetusaidia kuorodhesha hivyo vigezo siyo kulalamika tu. Wewe unajua kabisa CCM wamecheza rafu kunyakua Umeya wa Arusha, sasa unataka LEMA atumie njia gani zaidi ya Possession wakati CCM wameshaonyesha nia ya kutokubali kurudiwa Uchaguzi? Tatizo lako BEN una wivu kwa sababu LEMA kambwaga rafiki yako ZITTO.
 
labda ungetusaidia mtazamo wako wewe ni vigezo vipi vyenye mantiki ya kumpata Mbunge bora..usiishie tu kutusi mtu aliyekubalika na watu kumuita Mbunge Zuzu..labda kama kuna husda ndani yake!
 
Ben Unaonyesha una chuki ya dhahiri kwa mbunge wa chadema Godbless Lema.Nimekuwa nikisita kuchangia mada zako lakini kwa hii nitachangia.Ben usidhani wewe ndio uko right kwa kila kitu wala usidhani kwamba wewe ndio mwenye haki ya kudifferentiate great thinkers.Hivi unadhani kwa nini alipigiwa kura na zaidi ya watu elf 5 kwenye mjengwa blog kama mbunge bora kijana? kwa taarifa yako vijana wengi wanamuona Lema kama role model wao
 
Mkuu Ben.

Kama Lema ni mwanasiasa bora wa mwaka 2011 hakuna haja ya kushangaa kwanini Tanzania ni masikini wa kutupwa pamoja na kuwa na utajiri mkubwa wa Madini,Ardhi kubwa,Mito mikubwa,mabwawa na maziwa kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji,malihasili mbuga za wanyama na nk.

Tunampataje kiongozi bora ?.

[1] Maandamano yasiyo na maana ?.

[2] Kususa dhamana ?.

[3] Kuombea maiti ifufuke ?.

[4] Kupigiwa kura na mashabiki kwenye blog ambayo mtu mmoja anaweza kupiga kura mara 100,000,000 ?.

Mitanzania mijitu ya ajabu kweli ndiyo maana mlidanganywa na maaskofu Kikwete chaguo la Mungu mkaingia kichwa kichwa mkamchagua kwa 80% ?.

Toka BEN alivyochujwa na Kamati Kuu ya CDM kwenye kugombea Uenyekiti wa BAVICHA amekuwa na kinyongo sana. Na style yake ya kukomenti humu jamvini ni kama ile ile ya Zitto ya kupingana wazi wazi maazimio yaliyofikiwa na vikao halali vya chama tena na yeye akiwa Mjumbe!
 
Sasa wewe unataka kuchanganya Mambo. The way unavyo deliver hii mesage ni as if GODBLESS JONATHAN LEMA ameshakuwa kiongozi wa serikali mfano Rais, Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara n.k na bado Tanzania imeendelea kuwa Nchi Maskini ya kutupa licha ya raslimali ulizozitaja hapo juu. Tunaomba msipindishe hoja!

Vigezo vingine vya kizuzu ndivyo vilivyotufikisha hapa hadi tukampata kiongozi tuliye naye ndani ya taifa letu hivi sasa....Sijui watanzania tuna tatizo la kugeuza priorities upside-down au ni nini hasa ! Sijui ubora wa mbunge unajikita katika logic zipi hasa,labda kama tunaangalia quantity ya matukio.

Anyways tunafuata vigezo vile vile wanavyotumia hata wasomi wa hovyo(wasomi wanao-compromise taaluma zao ili kujikomba kwa mkuu wa nchi hata kumpatia udaktari wa falsafa) katika mazingira tatanishi.Naona dalili ya great thinkers kutumia vigezo kama vile vilivyotumika kumpa JK uongozi wa juu 2005 hadi kufikia 80%,naona tunatumia vigezo vile vile vilivyotupatia akina maji marefu bungeni ....pengine vigezo vilivyotupatia akina Lusinde.Tuna safari ndefu
Watu mnafikiri mkisoma Political sciences au political studies na PA ndio kujua siasa hapana, politics is more than that, politics is about making agreements between people kama watu wanakukubali na kukufuata hiyo ndiyo siasa.

Siasa hazifanani kila mtu ana mbinu zake in short hazina formula siasa zako unavyotaka ziwe haziwezi kufanana na za Lema, wewe ni radical politician na role model wako mkuu unamtaja Julius Malema wa ANC aliyetimuliwa juzi kwa ukorofi, hizo ni siasa zako haziwezi lingana na za Shein au Seif ama Kikwete unayemuona kafeli.

Hitler alikuwa dikteta lakini alikuwa na wafuasi wake, Bush ameongoza wamarekani kwenda Iraq wakati dunia nzima ilimpinga hizo ni siasa zake wewe unaweza kuona alifeli kisiasa lakini wengine wanamona hero. Lema mnamona kuwa ni mtu wa vurugu kama Bush alivyoonekana mtu wa vurugu ni siasa alizochagua yeye na still ana wafuasi wengi tu. Kama wewe unaziona siasa zake hazifai nenda on ground upambane naye aidha kwa kugombea si kuleta theories za vitabuni ambazo mtu yeyote anaweza kuzisoma.
 
labda ungetusaidia mtazamo wako wewe ni vigezo vipi vyenye mantiki ya kumpata Mbunge bora..usiishie tu kutusi mtu aliyekubalika na watu kumuita Mbunge Zuzu..labda kama kuna husda ndani yake!

Mkuu unaweza kuthibitisha ni wapi nilikomuita zuzu?

Sasa ungetusaidia kuorodhesha hivyo vigezo siyo kulalamika tu. Wewe unajua kabisa CCM wamecheza rafu kunyakua Umeya wa Arusha, sasa unataka LEMA atumie njia gani zaidi ya Possession wakati CCM wameshaonyesha nia ya kutokubali kurudiwa Uchaguzi? Tatizo lako BEN una wivu kwa sababu LEMA kambwaga rafiki yako ZITTO.

Hata kama angekuwa nani majibu yangu na mtazamo wangu uko hivi hivi......!
Ben Unaonyesha una chuki ya dhahiri kwa mbunge wa chadema Godbless Lema.Nimekuwa nikisita kuchangia mada zako lakini kwa hii nitachangia.Ben usidhani wewe ndio uko right kwa kila kitu wala usidhani kwamba wewe ndio mwenye haki ya kudifferentiate great thinkers.Hivi unadhani kwa nini alipigiwa kura na zaidi ya watu elf 5 kwenye mjengwa blog kama mbunge bora kijana? kwa taarifa yako vijana wengi wanamuona Lema kama role model wao

Kura zaidi 5000...je unajua mtu au watu wanaweza kujipigia kura? my point is,wabunge wachape kazi.Tuache kushabikia vitu vya ovyo.Kama kuna mbunge maarufu/bora..basi awe bora au maarufu kuliko maradhi,ujinga na umaskini wa watanzania.Ajenge hoja za kutukwamua kutoka hapo na ionekane.Naongelea kwa wabunge wote wa bunge la jamhuri ya Muungano.....Akina mnyika,January,Zitto na wengineo waendelee kujenga hoja na kuwapigania wapiga kura wao na watanzania kwa ujumla

Toka BEN alivyochujwa na Kamati Kuu ya CDM kwenye kugombea Uenyekiti wa BAVICHA amekuwa na kinyongo sana. Na style yake ya kukomenti humu jamvini ni kama ile ile ya Zitto ya kupingana wazi wazi maazimio yaliyofikiwa na vikao halali vya chama tena na yeye akiwa Mjumbe!

Maamuzi halali ya vikao?....sasa kwa mantiki hii ujumbe wako huu unanihusu nini?kuna maazimio au makubaliano gani?do you mean sina haki ya kutoa maoni yangu? Unapaswa kufahamu kwamba mimi sishabikii mtu,na huwa siungi mtu mkono..huwa nasapoti kile anachofanya mtu na anachokisimamia

NB: Wakuu wote hapo juu mmenichekesha sana kwa jinsi mlivyonichukulia leo.Nimecheka sana kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom