Lema atabiri machafuko tena Arusha

Mh. Lema kubali maendeleo yaje kwa faida ya wengi; hizo guest house za Kaloleni zina tija kidogo sana kwa uchumi wa jiji letu la Arusha

mkuu, maendeleo ni nini?. Kuwahamisha watu 24000 elfu bila mpangilio ili ujengwe mji mpya ni maendeleo? Acha uvivu kasome kuhusu contract law na pareto efficiency ili uone umuhimu wa kushirikisha pande zote katika circumstance kama hizo. Huo mji mpya wataihi akina nani? Siyo suala la kupinga maendeleo, ni namna 2 yanavyokuja. Halafu ni kwa nini zabuni za miradi mikubwa kama hiyo zisitoe kipaumbele kwa kampuni za kitz hata kama itakuwa ni kwa kuunganisha kampuni nyingi? Kutoa zabuni kwa wageni kunafanya pesa ze2 ziende nje na hivyo kupunguza umuhimu wa multiplier effect katika eneo husika.
 
mkuu huyu mwekezaji anatoka nchi gani?ni kwa nini haya mambo yafanyike kwa siri na yanatuhusu sana sisi?hilo ni tatizo

Atakuwa mwarabu huyo kamanda! Yaleyale ya ndege ya kivita kuingia nchini na kisha kuondoka na wanyama. Safari ya dubai nayo inaleta mwekezaji bila makubaliano na wananchi. Hawa waarabu sijui wamelaaniwa na nani? Utu wao umekalia nchani kabisa mwa ******** yao, wakioenda tu ****** wakiinama umepotea
 
Alafu wana JF hiki anachokipinga Mh Lema ndicho kinafanyika majimbo karibia yote hapa Tanzania, huu ni muda muafaka wa wabunge wote kuamka na kupinga ukiukwaji wa haki za wananchi kwa kigezo cha uwekezaji. Leo namehamini kwa nini vijana wengi wanamkubali kamanda Lema, Because they very strong man. Viva kamanda.
Mkuu, hapo kwenye rangi nyekundu ulitaka kusema nini?
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Ni vyema kabla ya kuchangia hoja ukajiridhisha kujua unachopinga au kuunga mkono.

Ninaijua Kaloleni,nina marafiki ndugu na jamaa wanaishi kwenye hizo nyumba za Kaloleni.Mheshimiwa Mbunge Lema katoa sababu za kuupinga mradi ambazo kama ni kweli wa kwanza kulaumiwa ni yeye mwenyewe na chama chake kwa kutoweka maslahi ya wapiga kura na wananchi kwa ujumla wake.CDM ilikuwa na nguvu kubwa kwenye baraza la madiwani huu mradi usingepita kama wasingefukuza madiwani watano na kutoa nafasi kubwa madiwani wa CCM kutoa maamuzi makubwa kwakuwa idadi yao ni kubwa.Ikumbukwe pia CDM walikuwa mabingwa wa kususa vikao vya baraza hapo hapo ni mabingwa wa kuvuta posho again Mheshimiwa Lema alitakiwa ajue athari za kususia vikao.

CDM ilishinda udiwani kata ya Kaloleni suala la nyumba za Kaloleni ambazo kuna kipindi zilimilikiwa na NHC na baadaye kurejeshwa Manispaa linajulikana muda mrefu upo umoja wa wakaazi wa hizo nyumba unaowashirikisha wakaazi wa Kaloleni,Kilombero na Fire Mwenyekiti wake ni Bwana Ole Kashiro na Katibu Mzee Shemdolwa.Mheshimiwa diwani wa CDM Charles "Rasta" alishinda kwa ahadi ya kuwasaidia wakaazi wa hizo nyumba kuuziwa kama walivyouziwa wenzao wa Ngarenaro pia watumishi wa serekali nao pia waliuziwa nyumba maeneo ya Sanawari na Uzunguni.Bahati mbaya ugomvi wa CDM ukamuondoa katika nafasi yake ya udiwani.Mpaka sasa Kaloleni haina diwani kwa maneno rahisi wananchi wa Kaloleni wamenyimwa haki yao ya kuwakilishwa na CDM.Niseme kweli sijui kama huo mradi umegubikwa na ufisadi au ni mbinu za wanasiasa kuchafuana.

Mheshimiwa Lema kama anazo hoja za msingi ni vyema akaziwakilisha kunakohusika eg TAKUKURU au Mahakamani.Ningependa kusikia mbunge wangu akitumia njia sahihi kupinga huo mradi ingawa ni lazima pia ajue nyumba husika hazikidhi viwango vya kisheria kuwapo eneo la Kaloleni.Ukitaka kujenga nyumba eneo la kaloleni ni lazima ujenge ghorofa tatu na kuendelea sasa sijui kama wakaazi wa hizo nyumba wanauwezo wa kujenga ghorofa tatu ?.
Unavyo mchukia mheshimiwa Lema huwezi hata siku moja kuunga mkono hoja zake. Kwa wenye akil bila chuki wanaelewa mheshimiwa Lema anapinga nin, wewe baki na chuki zako.
 
Gwalihenzi.

Soma tena bandiko langu ondoa kengeza muzee labda utanielewa.

Unavyo mchukia mheshimiwa Lema huwezi hata siku moja kuunga mkono hoja zake. Kwa wenye akil bila chuki wanaelewa mheshimiwa Lema anapinga nin, wewe baki na chuki zako.
 
Hv hawa sirikali mbona wanakua wapumbavu kiasi hicho,mbona kuna mapori mengi kwa nini wasiende hapo kuanzisha miji hiyo ya kisasa? Kwani hawajui zamani hapo posta dar lilikua pori? Sasa wakoloni wasingeanzisha mji hapo pangekua hivyo? Sirikali yetu inaangalia plan ya mwaka m1 tu,wafocus after 15yrs na sio mwaka m1 au miezi 6.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Ni vyema kabla ya kuchangia hoja ukajiridhisha kujua unachopinga au kuunga mkono.

Ninaijua Kaloleni,nina marafiki ndugu na jamaa wanaishi kwenye hizo nyumba za Kaloleni.Mheshimiwa Mbunge Lema katoa sababu za kuupinga mradi ambazo kama ni kweli wa kwanza kulaumiwa ni yeye mwenyewe na chama chake kwa kutoweka maslahi ya wapiga kura na wananchi kwa ujumla wake.CDM ilikuwa na nguvu kubwa kwenye baraza la madiwani huu mradi usingepita kama wasingefukuza madiwani watano na kutoa nafasi kubwa madiwani wa CCM kutoa maamuzi makubwa kwakuwa idadi yao ni kubwa.Ikumbukwe pia CDM walikuwa mabingwa wa kususa vikao vya baraza hapo hapo ni mabingwa wa kuvuta posho again Mheshimiwa Lema alitakiwa ajue athari za kususia vikao.

CDM ilishinda udiwani kata ya Kaloleni suala la nyumba za Kaloleni ambazo kuna kipindi zilimilikiwa na NHC na baadaye kurejeshwa Manispaa linajulikana muda mrefu upo umoja wa wakaazi wa hizo nyumba unaowashirikisha wakaazi wa Kaloleni,Kilombero na Fire Mwenyekiti wake ni Bwana Ole Kashiro na Katibu Mzee Shemdolwa.Mheshimiwa diwani wa CDM Charles "Rasta" alishinda kwa ahadi ya kuwasaidia wakaazi wa hizo nyumba kuuziwa kama walivyouziwa wenzao wa Ngarenaro pia watumishi wa serekali nao pia waliuziwa nyumba maeneo ya Sanawari na Uzunguni.Bahati mbaya ugomvi wa CDM ukamuondoa katika nafasi yake ya udiwani.Mpaka sasa Kaloleni haina diwani kwa maneno rahisi wananchi wa Kaloleni wamenyimwa haki yao ya kuwakilishwa na CDM.Niseme kweli sijui kama huo mradi umegubikwa na ufisadi au ni mbinu za wanasiasa kuchafuana.

Mheshimiwa Lema kama anazo hoja za msingi ni vyema akaziwakilisha kunakohusika eg TAKUKURU au Mahakamani.Ningependa kusikia mbunge wangu akitumia njia sahihi kupinga huo mradi ingawa ni lazima pia ajue nyumba husika hazikidhi viwango vya kisheria kuwapo eneo la Kaloleni. Ukitaka kujenga nyumba eneo la kaloleni ni lazima ujenge ghorofa tatu na kuendelea sasa sijui kama wakaazi wa hizo nyumba wanauwezo wa kujenga ghorofa tatu ?.

My brother Ngongo, sijakuelewa unaposema unaposema mtu akitaka kujenga nyumba Kaloleni ni lazima ajenge ghorofa tatu (3). Hivi vitu ndio inabidi wananchi tuvipinge kwa nguvu zote, maana yake nini? Mwenye nacho ndio anastahili kuishi kaloleni, tutatengeneza taifa la matabaka!!
Hapo Kaloleni kuna wananchi wameishi hapo zaidi ya miaka kumi (10), ishirini (20), selathini (30), kama hawana uwezo wa kujenga ghorofa tatu (3) kama ulivyosema hapo juu, maana yake wahame ilo eneo?
Hii nchi ni ya kwetu sote, kila mwananchi ana haki ya kuishi popote.
 
Bila kujali faida au hasara: Swali moja kuu: KWANINI WASIPEWE ENEO JIPYA WAFANYE HUO MRADI< NA WATAKE KALOLENI TU? Sehemu zote duniani zina maeneo ya Kihistoria, na Kaloleni ni Mji mpya baada ya uhuru wa Tanganyika, so ni lazima ubaki kama ulivyo kwa Historia ya baadaye. Waende wakajenge Ngaramtoni au Maji ya Chai kwenye nafasi tele. Huu uhuni wa kubomoa nyumba za watu na kujifanya wanafanya maendeleo ukome! Hata Mumbai ulijengwa baada ya Bombay, yashindikana nini kwa Arusha kuanzisha mji mpya kule Kisongo au Goma Estates?

Hapo kwenye nyekundu ndugu yangu unazungumzia kitu kile kile na wala Mumbai na Bombay si miji miwili tofauti, Mumbai ni kwa Lugha ya India na Bombay ni tafsiri ghafi (corrupt name) ya waingereza kwa jina Mumbai. Kama hoja yako ya Kaloleni uliijenga kuonyesha kwamba Mumbai ilijengwa nje ya Bombay badala ya kuibomoa Bombay basi umepotoka na inabidi ujipange upya.

Kwenye hoja hii ya Kaloleni kwanza nimpongeze Lema kwa aliyoyasema lakini hapo hapo nimlaumu yeye binafsi kwa kutokujua kwamba kwenye siasa hakuna nguvu (one men Show) ya mtu mmoja. Maamuzi ya kisiasa yanaongozwa na kura na anayeshinda ndiye MSHINDI hata kama hakubaliki na upande mwingine au hana "uwezo" wa kuwa "kiongozi" kwa kukidhi matarajio ya wengi.

Madiwani wa CHADEMA waliofukuzwa "nasikia" walihoji kwa nini wao waendelee kutomtambua Meya wakati wabunge wa CHADEMA hawakumtambua Rais lakini wanaingia Bungeni na Posho wanachukua, kwa nini wao wasiingie kwenye vikao kama wabunge wao? Lema alisimamia kwamba jamaa ni wasaliti na ni lazima wafukuzwe chamani, Leo hii yuko mpweke na anatumia nguvu nyingi sana kujihalalisha kwenye jamii ile ile iliyomchagua kuwa mbunge wao.

Kuna mambo mawili Lema yuko sahihi kabisa. La kwanza kuhusu ushirikishwaji wa wananchi na la Pili ni kuhusu ni kwa nini Kaloleni na si Goma Estates au Kisongo kama wengi wanavyopendekeza. Kama kuna tatizo ambalo ni kubwa na linaleta sintofahamu kwenye Halmashauri nyingi ni hili la ugawaji maeneo ambayo yana watu tayari kwa ajili ya uendelezaji wa miji.

Halmashauri ina wajibu wa kupanga miji yake (Town Planning) lakini kwa sababu wanazozijua wenyewe miji haipangwi badala yake sehemu kubwa ya miji yetu ni Squaters. Kwa mujibu wa Wizara ya Ardhi ni asilimia moja tu ya nchi yetu ndiyo imepimwa na kurasimishwa, kwa maana nyingine Halmashauri inakuwa na nguvu (Upper hand) ya kidhalimu ya kupora ardhi za wanyonge kwa kisingizio lcha "hili eneo halijapimwa" bila ya mtu yeyote kuonyesha kujali.

Mambo yanayoendelea Arusha ni mgogoro wa Ardhi na utatuzi wake ni kwenda Mahakamani kwani hakuna sababu ya kupoteza tena maisha ya watu wengine. Ardhi yote ya Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu na sheria mbalimbali za Ardhi iko chini ya Udhamini wa Rais na sisi wengine wote ni wapangaji (tenants) na hapo ndipo vilipo viburi vya watendaji mbalimbali wa Halimashauri wa Arusha wakiwemo.

Wana kaloleni na wengineo wanaweza porwa ardhi yao na njia sahihi si kulalamika au kuandamana lakini ni kuchukua hatua za kupinga na kujiunga pamoja dhidi udhalimu unaokusudiwa kufanywa kwao, Lema awe ni alama (symbol) tu ya upingaji wenyewe na msaada "kwenye tuta" lakini wana Kaloleni ndiyo wawe wahusika wakubwa.

Watendaji wa Halmashauri zetu wamerithi tabia za watendaji wa zama za ukoloni ambao waliona ushirikishwaji wa wananchi ni jambo lililokuwa linahesabika kama ni kuwadekeza "natives", Na hapo ndipo wengine tunapopigana mfumo mzima wa kuendesha serikali za mitaa ufumuliwe na kujengwa upya ili watendaji wa Halmashauri waajiriwe na Halmashauri husika na waingie mkataba na madiwani wa Halimashauri kwa masharti ya kuitumikia jamii husika kwa malengo tarajiwa.

Leo hii Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha kaajiriwa na TAMISEMI inayoongozwa na Mkuchika ambaye ni sehemu ya Mgogoro wa Arusha unafikiri kuna nafasi ya Lema kusikilizwa naye? Mbunge ni diwani tu kwenye Halmashauri na cheo chake cha Ubunge huishia dodoma kwenye vikao vyao vya kupandisha posho.

DONT QUOTE ME WRONG!!
 
Mkuu Kigarama.
Nimekusoma kwa makini bandiko lako umeeleza vizuri maneno yako ni ya ujenzi
 
Kingarama.

Maneno mazito sana

Mwenye kuelewa ataelewa asiyetaka kuelewa atazidi kuzama kwenye tope la ushabiki.

bila shaka nyie ndo wale wanasoma mistari miwili na kurukia kutoa comment, laiti ungekuwa umesoma thread nzima usingekuja na maamuzi kama haya
 
Miradi mingi na mikataba mingi inayofanyika Tanzania, inakuwa imepakwa sana rangi mwanzoni, kuwahadaa wananchi na viongozi lakini baadae inakuja kugundulika kuwa ilikuwa imejaa michezo michafu. Nampongeza sana Lema kwa kuanza kuutolea macho mradi huu, kwani naamini hawa wanaohusika nao watakuwa makini sasa. Ile dhana kuwa tufanye tu, miananchi yenyewe imelala hapa itakuwa ngumu sana.

Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi ya mbunge. umetumia maneno makali sana kama "machafuko" n.k, lakini ndiyo njia sahihi ya kuwashtua wote wenye mapenzi ya kifisadi...
 
MJI PYA ARUSHA UTOKANE NA WANA-ARUSHA WENYEWE BILA KUPUUZWA WALA KULAZIMISHIWA MRADI KWA MTAZAMO WA MWEKEZAJI WA NJE

Siku zote mradi bora huibuliwa na wananchi wenyewe, hushirikishwa maoni yao katika hatua zote na kuendeshwa kwa misingi yenye kuzingatia uwazi zaidi ndipo uungwaji mkono kwao unapopatikana.

Mhe Lema ni sharti asikilizwe kwa makini sana katika hili; mradi huu wa ujenzi wa mji mpya wa kibiashara ni yenye neema tupu kwa taifa lakini hakuna ubishi kwamba umaridhawa wa jambo lenyewe ni sharti kwanza uangaliwe ni kwa jinsi gani inavyowapendeza wana-Arusha (hasa wa Kaloleni) badala ya kulitazama toka kwa mtazamo wa jinsi gani mradi wenyewe unavyompendeza mwekezaji huyo tena wa nje.

Wana-Arusha wapewe ubia katika ujenzi huo wa mji mpya katika makazi yao.
 
Mimi na wewe tukishirikishwa tuna akiba yoyote ya kuwekeza kwenye huo mradi? Ni kweli Mh. Lema anaposema wananchi hawajashirikishwa anazungumzia wale wafuasi ambao huwa wanaandamana naye au kuna kundi la wafanyabiashara wachache (wale wenye hardwares) anawazungumzia kwa mgongo wa walalahoi? .......changanya na za kwako

kwani hao sio watu?
 
MJI PYA ARUSHA UTOKANE NA WANA-ARUSHA WENYEWE BILA KUPUUZWA WALA KULAZIMISHIWA MRADI KWA MTAZAMO WA MWEKEZAJI WA NJE

Siku zote mradi bora huibuliwa na wananchi wenyewe, hushirikishwa maoni yao katika hatua zote na kuendeshwa kwa misingi yenye kuzingatia uwazi zaidi ndipo uungwaji mkono kwao unapopatikana.

Mhe Lema ni sharti asikilizwe kwa makini sana katika hili; mradi huu wa ujenzi wa mji mpya wa kibiashara ni yenye neema tupu kwa taifa lakini hakuna ubishi kwamba umaridhawa wa jambo lenyewe ni sharti kwanza uangaliwe ni kwa jinsi gani inavyowapendeza wana-Arusha (hasa wa Kaloleni) badala ya kulitazama toka kwa mtazamo wa jinsi gani mradi wenyewe unavyompendeza mwekezaji huyo tena wa nje.

Wana-Arusha wapewe ubia katika ujenzi huo wa mji mpya katika makazi yao.

hakika wana Arusha walimchagua shujaa
 
Miradi mingi na mikataba mingi inayofanyika Tanzania, inakuwa imepakwa sana rangi mwanzoni, kuwahadaa wananchi na viongozi lakini baadae inakuja kugundulika kuwa ilikuwa imejaa michezo michafu. Nampongeza sana Lema kwa kuanza kuutolea macho mradi huu, kwani naamini hawa wanaohusika nao watakuwa makini sasa. Ile dhana kuwa tufanye tu, miananchi yenyewe imelala hapa itakuwa ngumu sana.

Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi ya mbunge. umetumia maneno makali sana kama "machafuko" n.k, lakini ndiyo njia sahihi ya kuwashtua wote wenye mapenzi ya kifisadi...

na hakika ukifanya utafiti utagundua ndio maana Lema anaungwa mkono na maelfu ya Watanzania
 
[/FONT][/SIZE]
My brother Ngongo, sijakuelewa unaposema unaposema mtu akitaka kujenga nyumba Kaloleni ni lazima ajenge ghorofa tatu (3). Hivi vitu ndio inabidi wananchi tuvipinge kwa nguvu zote, maana yake nini? Mwenye nacho ndio anastahili kuishi kaloleni, tutatengeneza taifa la matabaka!!
Hapo Kaloleni kuna wananchi wameishi hapo zaidi ya miaka kumi (10), ishirini (20), selathini (30), kama hawana uwezo wa kujenga ghorofa tatu (3) kama ulivyosema hapo juu, maana yake wahame ilo eneo?
Hii nchi ni ya kwetu sote, kila mwananchi ana haki ya kuishi popote.

mkuu maneno mazito haya
 
Halmashauri imemsubiri Lema aingie kwenye baraza la madiwani kwa zaidi ya mwaka sasa. Angekuwa anahudhuria vikao angeweza kuzungumzia hoja hii mahali panapostahili na siyo kwenye magazeti.
 
mkuu, maendeleo ni nini?. Kuwahamisha watu 24000 elfu bila mpangilio ili ujengwe mji mpya ni maendeleo? Acha uvivu kasome kuhusu contract law na pareto efficiency ili uone umuhimu wa kushirikisha pande zote katika circumstance kama hizo. Huo mji mpya wataihi akina nani? Siyo suala la kupinga maendeleo, ni namna 2 yanavyokuja. Halafu ni kwa nini zabuni za miradi mikubwa kama hiyo zisitoe kipaumbele kwa kampuni za kitz hata kama itakuwa ni kwa kuunganisha kampuni nyingi? Kutoa zabuni kwa wageni kunafanya pesa ze2 ziende nje na hivyo kupunguza umuhimu wa multiplier effect katika eneo husika.

Mungu ampe maisha marefu Lema atupiganie wanyonge wa Tanzania
 
Halmashauri imemsubiri Lema aingie kwenye baraza la madiwani kwa zaidi ya mwaka sasa. Angekuwa anahudhuria vikao angeweza kuzungumzia hoja hii mahali panapostahili na siyo kwenye magazeti.

halmashauri ya jiji la Arusha hamna Meya
 
Back
Top Bottom