Saaaafi sana Mbunge! Ndio Maana nilishawahi kusema Tanzania Hakuna Mbunge Kama Godbless Lema...,Ambaye ameamua kuweka mbele maslahi ya wananchi kwanza na pia kuuliza kwanini wawekezaji Tanzania hawajahusishwa? kwani Tanzania hakuna wawekezaji ...,huyu anaweza kuwa raisi ajaye Tanzania
Mambo ya Rostam hayo aliachana na ubunge ili aweze kuwatengeneza kinyumenyume. Kidumu chama cha mapinduzi