Lema atabiri machafuko tena Arusha

Ubaya wa kigamboni mbunge wao ni kutoka magamba kwahiyo hawana mpambanaji hapo kwani 10% ataipokea mapema sana na kuwapa kisogo wananchi wake

hakika nimeamini sasa ni kwanini Mbunge Lema alipata ushindi mkubwa wa kura kutoka kwa watanzania katika kura za mtandaoni.
 
Kwanini huo mradi usipelekwe Kisongo au mbali na mjini?? ili kuongeza maendeleo pembezoni..

Kaloleni why?
 
Brother Lema your right, your right, your right, your so right kamanda. we gona fight, we gona fight, fight 4 our right mpaka kieleweke. pamoja daima
 
Tatizo letu tumekuwa wagumu kuelewa na wepesi kusahau.Usituletee habari za maskini na bahati tatu ambazo zote alishindwa kuzitumia ipasavyo kwa ajili ya njaa ya siku mmoja.Inasadikika maskini mmoja alitembelewa na mgeni toka mashariki ya mbali,mgeni yule akafika kwenye nyumba ya huyo maskini akiwa hoi ametaabika kwa njaa,maskini yule alimuonea sana huruma kwa jinsi alivyodhoofika akamkarimu kwa kumchinjia jogoo na kupikia wali.Mgeni yule alifarijika sana kwa ukarimu ule alioonyeshwa na mwenyeji wake akasema"sitaondoka hivi hivi bila kuwapa zawadi,ambayo itawasaidia katika maisha yenu,na zawadi yenyewe ni bahati tatu,zitumieni vizuri zitawasaidieni sana katika maisha yenu"mgeni yule akaaga akaondoka.Kwa kuwa maskini na mke wake walikuwa na njaa wakaitumia bahati ya kwanza kuombea chakula kizuri.Wakati wanakula mara ghafla mwanamke akamwambia mumewe mbona una kula kwa kudonoa kama kuku?nitakuombea uwe na kichwa kama cha jogoo,ghafla mwanaume akawa na kichwa cha jogoo na bahati ya pili ikawa imepotea.Mwanamke kuona vile alisikitika sana akalia na kuomba bahati ya tatu hali ya mumewe ilirudi kama awali,na kweli hali ilirudi kama awali ila wakawa wamepoteza bahati zote tatu kwa njaa ya siku moja.

Imenibidi kutoa kisa hiki kwa watanganyika wenzangu tuwe makini na njaa zetu za siku moja kwaajili tu kushibisha matumbo bila kujali maslahi ya watu wetu na kuepuka ukimbizi ndani ya nchi yetu kwa watu kukosa makazi ya kuishi.mgeni amefarijiwa lakini ameondoka amewaacha wenyeji wake na umaskini wao tena uliokithiri.Big up sana mh. G Lema kuonyesha unajali na si miongoni mwao waliogubikwa na fikra mgando.Wana wa Apollo msikubali ni lazima pachimbike ili uozo wa fikra na njaa ya siku mmoja isije ikasababisha mkabaki na vichwa vya kuku
 
asante mkuu kwa maneno mazito sana
 
Nimewahi kusema tuna tatizo Tanzania, our leaders they are not looking at big picture!!! hilo suala ya kushirikisha wananchi is not about mbunge au mkurugenzi ni jambo la kisheria.... tuache kujadili upupu humu ndani.... sheria inasema lazima tathmini ifanywe na fair compensation ifanyike so what are we discussing here!!! yasipofanyika haya sheria lazima itachukua mkondo wake... sio suala la Lema vs Mkurugenzi.. amkeni waTanzania.

Any serious investor will opt for CSR. wakati wa mabavu umeisha kaka.
 
Gurtu,
Nadhani ufahamu chochote unacholeta wewe ni upambe kwa Lema tu.

Huo mradi utaleta manufaa makubwa kwa wana Arusha, watajenga Shule, Hospitali, Maduka makubwa, Maengesho ya magari, hayo sio maendeleo?
Makampuni makubwa kama GGM na Barik wameshindwa kuleta maendeleo Geita, Kahama na kwingineko itakuwa hao WEZI na WANYONYAJI wa kiarabu?
Ukweli ni kuwa uwekezaji unaofanyika Tz kwa asilimia kubwa ni haramu kupitia kuhonga viongozi wetu.
Dawa ni moja tu kuwachukia na kuwadharau ili wajione choo ili watambue rushwa inachukiza kuliko kubaki maskini. Tatizo letu ndo kwanza tunawakumbatia na hata kualikwa misikitini na makanisani.
 
Back
Top Bottom