DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
magamba ya kiazi at work..hamkujua maana msingemvua ubunge.
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!
Serikali haifanyi kazi za kanisa. Ulitaka mahakama imuonee huruma kwa kuvunja sheria?magamba ya kiazi at work..hamkujua maana msingemvua ubunge.
Kwa lema hapo chadema ni nimewapenda.LEMA ANAMVUTO WA KIPEKEE.
Pamoja sana Makamanda. Nimejiunga na CDM baada ya kuona magamba hawana muelekeo.
...hawachelewi kuidungua.
Umeingia choo cha kike; CDM siri zao anazo Mheshimiwa Lusinde!!! Ama wewe ni mfuasi wa Waziri Mkuu wa Uingereza??
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Tulio changa tuko kimya ila wewe kizabizabina inakuuma. Tuko tayari kuongeza nyingine kama M4C itaitishwa. Joka la kutisha na lenye roho mbaya kama CCM ukipata chance ya kulipiga kichwani usiiachie, Lema gonga hili joka kichwani hadi life.Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Huko ni kupeana ulaji tu. Lema hana mvuto wa kuwapata wanachama na wafuasi Rufiji, Kilwa, Mkuranga, Bagamoyo, Kilindi, Pangani, Vuga na Pemba. KAMANDA ZOMBE ana siri nzito za LEMA
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Serikali haifanyi kazi za kanisa. Ulitaka mahakama imuonee huruma kwa kuvunja sheria?
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.