Lema apewa chopa kujenga Chadema

Hivi Lema ana mvuto gani mkuu labda ungeniambia John Mnyika, Zitto Kabwe.
nyie muendelee tu kusema hana mvuto mtastukia uchaguzi unafika huku mnalialia bila kujiandaa.
 
kama kweli chadema kinataka kuchukua nchi 2015 ni muhimu kukieneza chama sehemu za vijijni maana huku kwetu kalambo chama kipo lakini hakina mashiko katika mashina kwa sisiemu bado wanawarubuni wananhi na wabunge wake wanapochaguliwa wanaenda kulala hadi kipindi kingine cha uchaguzi ndio wanaonekana. Kama kwleli wanataka mageuzi ni vema waanze vijijini kwanza kwa kuwawezesha makada hata kwa vifaa kama pikipiki badala ya kutembea na helkopta ambayo najua wanaweza kufika maeneo mengi lakini wafikirie wananchi hawataki helkopta wanataka elimu ya uraia.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
huna cha kutushauri magamba pori wewe.... hatuhitaji msaada wowote kutoka kwa
magamba wala wanachama wake kwani wote ni wanafiki na mafisadi. tunamtambua
mwana cccmmm mmoja tu ambaye si mnafiki....ni mkweli daima (sbodo), the rest ni
vilusinde tu
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.


Chama Cha mapinduzi kimesha mpa prom na hivi sasa kila mtu atapenda kumuona kuwa ananafanaje huyu mtu aliyevuliwa ubunge kwa kushatakiwa na watu walioshudia na kufanya watu walioshuhudia kushinda kesi na aliye tukanwa bila kufika mahakamani na kuthibitisha kuwa alitukanwa. Wao hatawaongea Habari za mahakama ila wataongelea zaidi ukombozi kwa mtanzania anaye nyonywa na watu tuliowapa ridhaa ya kulinda maliasili wanatafuna kadili wanavyo weza huku huduma mhimu zikiwa hazipo hiyo ndiyo itakayo kuwa shule zaidi kwa watanzania.

Ujenzi wa chama ni gharama ili uweze kuwafikia walengwa siyo useme nimejenga chama hujaenda lakini pesa imetumika hapo siyo sawa lakini naamini CDM hawana muda huo wa kupoteza wameshajikita kuwa ni chama cha siasa kinachotakiwa kila siku kifanye kazi ya kujitangaza zaidi.
CDM Nawapenda kwa mikakati tu.
 
Sasa ni wakati wa CDM kuingia ndani vijijini.
Pia mnatakiwa kuchangisha tena pesa kwa ajili ya hii kazi ya mh. Lema.
Ila mkumbuke kufika vijijini ndo itakuwa chachu ya ushindi 2015.
 
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.


Rejao, hujambo lakini? Naona hapo kwenye red umekosea au ndo hujui English? Mii nadhani kwa kumpa ubunge walimu-underdose. naona leo umeamka vizuri
 
Tunashuhudia upotevu wa MABILIONI ya pesa za wananchi kwa kumtengenezea LEMA ajira!
Hii ni hatari sana kwa taifa.
Kama katemwa ubunge apumzike mbona wengine hatuna job na tunasurvive?
 
mi navyojua kuwa kwass CHADEMA imekuwa na mvuto kwa wananchi wa Tanzania ivyo basi kutumia chopa siyo vibaya ila nilikuwa naomba tupite mikoa yote tuchangishe ili tuweze jenga ofisi zilizo bora mpaka vijijin ambazo ccm walisema walijenga wao wakati tulijenga wananchi watanzania na omba sana kama kweli watanzani tunaunga mkono chama cha chadema tuhamasike kujenga chama kwanza ili tupate nguvu zaidi.
 
ccm hawakuelewa wanamuongezea huyu jamaa umaarufu sasa hili pigo lake watajutia maisha yao yoteee. nchi nzima ishamjua lema wamemlainishia njia yake ya kuzambaza injili ya CdmTanzania..kazi ipo magamba leteni nyingine tuwazike.
piiiiipoooooooooooooooooziiiiiiiiii
Lema mwenyewe akiitamkaga hyo salamu utaipendaaaaaaaaaaaaaa
Gooooooooooooooo Broda ts tym we turn pages finish chapters and exchange the books
 
Mbowe tuambie kwanini umepata mawazo ya kukijenga chama mara baada ya LEMA kubwagwa ubunge; hizo pesa zitokazo kwa Waziri Mkuu yule rafiki yenu; zingetumiwa kwa kuimarisha ofisi zenu mikoani kwa




kuanzia kuliko kumlipa posho ya
kukosa UBUNGE Lema; BUSARA
ITUMIKE

Mafilil your Very law, acha kulialia mmeyataka wenywe!
 
Chura kapigwa teke..hawato mkamatia mbali, bali hawamkamati kabisa..Yaani kila wanacho fanya magamba kinaijenga CDM..Natamani wazidishe matukio sababu mpaka 2015 CDM hawato kuwa na haja ya kupiga kampeni bali kupita na kuwasalimia wananchi kwa kuwapungia mikono pasipo kusema chochote sababu magamba wanajimaliza wenyeweeee.....
 
Rejao, hujambo lakini? Naona hapo kwenye red umekosea au ndo hujui English? Mii nadhani kwa kumpa ubunge walimu-underdose. naona leo umeamka vizuri
Bora tu abaki kwenye biashara zake, hiyo kazi anayoenda kuifanya ni ya kujichoresha tu!! Kila akienda sehemu watu watataka kwenda kumshangaa mbunge aliyefukuzwa ubunge na siyo kusikiliza anawaambia nini!!
 
Tunashuhudia upotevu wa MABILIONI ya pesa za wananchi kwa kumtengenezea LEMA ajira!
Hii ni hatari sana kwa taifa.
Kama katemwa ubunge apumzike mbona wengine hatuna job na tunasurvive?

Hiyo hapo kwenye red, inanikumbusha zile pesa zilizotumika kumpeleka Arumeru Mashariki kwenye kampeni yule jamaa aliyeporomosha matusi jukwaani.
Namkumbuka saana yule jamaa jukwaani akisema ".... tutatukana.................... kudadadeki......."
 
Back
Top Bottom