Lema apewa chopa kujenga Chadema

Chadema their so creative ndo maana future ya hii nchi tunaiona mikononi mwa chadema Mungu amtie nguvu kamanda Lema mission yake ikamilike kwa amani
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania
?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.



Ishu ni kuwa opportunity na kujibu mashambulizi ili kumtisha hadui.......hii itajenga chama pia so ni nzuri nazani.....ila sizani kama huu mpango hautaujumiwa!!!!!!!!!!!!!!!

 
we ritz kumbe hujui siasa za tanzania...lema zaidi ya mkapa...kama unabisha njoo apa chuo kikuu..na kesho tunamzomea mkapa
 
kwa hili Chadema nawapa big up! Huyu kijana Lema ni mwiba mkali sana kwa magamba, kwa jinsi alivyo futa ccm ktk ramani ya A-town atafanya hivo hivo kwa nchi nzima!
 
Siungi mkono Lema kuzunguka na Chopaa nchi mzima kwa kauli mbiu ya kujenga chama,ni matumiz mabaya ya pesa.,tunahitaji kutengeneza foundition ya kudumu ili tuweze kuchukua nchi na sio mambo ya Zima moto ya kutumia chopaa kwa siku moja kwenda kuhotubia wanakijiji kwa masaa mawili au moja na nusu na kisha kuondoka.Njia hii haiwezi kujenga chama kama tunavyofikiria.Tutengeneze basic foundition na sio kutafuta amasa ya cku moja na chopa.

Kwanini ufikirie kuwa anaenda kwa siku moja ss ww kuna sehemu ambazo hata magari hayafiki licha ya magari kuna ubaya gani akizunguka kwa mfano kutoka mbeya tu kyela akaweka kambi kwa siku 3 au nne then huyo rukwa ni usafiri rahisi ambayo anaweza kumaliza mkutano halafu akasafiri hadi njombe kwa masaa machache jaribuni kufikiria kabla ya kuandika. Usiwaze kuwa viongozi hawana akili ila ww ndio unazo kuliko wao. Nao wanaangalia na gharama pia na wao ndio walionzisha hii hari ya kuwaamsha watanganyika.
 
Kinachotofautisha CDM na CCM ni dhamira. CDM wana dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi na ndio maana kila wanachokifanya kinakubalika na wanaendelea kupanda chati kila kukicha. CCM kila mtu anafikiria tumbo lake, wameungana kwa kuwa dhamira yao ni moja ingawa mwisho wa siku kila mmoja anataka kuvutia kwake. Na hapo ndipo wanapopwaya, kila wanachokifanya kinaonekana bogus.
 
we ritz kumbe hujui siasa za tanzania...lema zaidi ya mkapa...kama unabisha njoo apa chuo kikuu..na kesho tunamzomea mkapa

Ni msiba kwa taifa hawa ndio wasomi wetu wa University of Dar es Salaam...anajipanga kuzomea sasa sijui kule shule za kata kuna hali gani, mtu kama wewe ukimaliza chuo ukipewa wizara si utaimaliza siku mbili tu.
 
Chadema inapelekea watu wa Usalama wa Taifa waanze kutafuna per diem za kumfuatilia Lema mikoani. Kwa usalama wa Taifa wa hivi ni bora nchi isiwe na kitengo cha usalama wa Taifa, ni usalama wa Taifa gani una-deal na kufuatilia maandamano ya vyama huku Twiga wakisafilishwa kwa ndege kwenda nchi za nje bila kufuata taratibu? labda mimi sifahamu nini maana ya usalama wa Taifa.
Mkuu wala usidhani ni wewe tu hufahamu, wananchi wengi hatufahamu lakini inaanza kueleweka kuwa tulio nao ni Usalama wa CCM!
 
Ni msiba kwa taifa hawa ndio wasomi wetu wa University of Dar es Salaam...anajipanga kuzomea sasa sijui kule shule za kata kuna hali gani, mtu kama wewe ukimaliza chuo ukipewa wizara si utaimaliza siku mbili tu.
Naam haya ndio mazao ya sera mbovu za CCM, halafu mashabiki mlio kubuhu wa sera hizo mnajifanya kushangaa, pumbavu zenu!
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.


Sawasawa greti sinka! Waswahili walisema; "Mdharau mwiba mguu huota tende". Tena wakalonga kuwa; "Mwenye shibe hamjui mwenye njaa". Kitu ambacho hawakukisema ni kama mwenye njaa hamjui mwenye shibe. Kalaga baho ...

Dawa ya mjinga ni kuumia!
 
Tunashuhudia upotevu wa MABILIONI ya pesa za wananchi kwa kumtengenezea LEMA ajira!
Hii ni hatari sana kwa taifa.
Kama katemwa ubunge apumzike mbona wengine hatuna job na tunasurvive?


Hii job unayofanya full-time hapa JF umejitolea? Subutu! Ndiyo maana una-survive. Mwache Leama naye ajipatie ajira, usiwe na roho mbaya.
 
Utaratibu wa kisheria ni kwamba kwa vile Lema ameappeal, anatakiwa kuweka injunction ya kutosimamishwa ubunge mpaka hapo appeal yake itakaposikilizwa na kuamuliwa upya na Court of Appeal. Hivyo Lema anatakiwa kuwa Bungeni haraka asiendelee kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom