Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

Hata kama nimesha mshika, unadhani ntamwacha??
Ili aliyekuwa anacheat naye ahamie??

Lol, nafanya nginja nginja tu, ntaondoka, sijui nini
Lakini sinyanyui hata mguu kutoka chumbani
which he does!

Yaani ukiona hujamfumania mmeo, jua mmeo ni mjanja. Wanaume karibu wote tunacheat. Cha msingi usimfuatilie usije kufa kwa presha bure!
 
ww tena na uo uzi mara pili hii unasema watu tukaperuzi uko duh!
haya bishanga me wish you best of luck ktk kucheat kwako, ila za mwizi arobaini utafumwa tu siku moja!
tatizo mkiona mtu ametulia hakufuatilii et unadhan hajakugundua, mwenzio anakusoma tu anaona unahangaika bure na kujichosha wakati kwake ni mtakuja ivyo utarejea tu.
sasa uko ndo kuolewa ati!mwanamke uvumilivu.
 
wanawake weng na wanaume n wachache hvyo akiwa wako peke yako unazan wanawake wote watatosheka? Na kizure kula na wenzako.
 
Kama wewe mwanaume usham cheat wife, akaja akagundua labda mchana wake kakubamba unatoka nyumba ya wageni na kidosho, akakupotezea na wewe umeshamuona kakubamba alitaka kupata ukweli lakini yeye wife akaondoka zake bila kukwambia lolote.

Jioni unarudi nyumbani kutoka kazini hakuulizi kitu, unakuta msosi upo mezani, maji ya kuoga yapo ready . Kitanda kimetandikwa kama kila siku, matunda yako unayopenda siku zote yameandaliwa, fresh juice yako ya kabla hujalala ipo, amekupokea amekuvua tai na nguo zako kama kawaida yake na akakuvua viatu vyako kama siku zote akakambia maji ya kuoga yapo tayari, anaenda kukuogesha kama siku zote. Akapiga "lingerie" kama siku zote na chumba kimeandaliwa vizuri kwa harufu nzuri nzuri .....Hivi utajisikiaje hapo?

Hii itaniuma sana sana sana!!!! kuliko hata akianza kuleta makasheshe.

yote afanye kwa raha zake mradi chumbani asitake kupima oil,maana........
 
nan anataka kucheat hana wa kucheat nae? Golden Mpoleeee kaagiza anaetaka nimpe no yake ya cm. Ila awe na gari zuri zaid ya GXmia.
 
Lizy ua right, nadhani magari tuyaache nyumbani maana tumeshuhudia ajari nyingi sana zinatokea na watu wanakufa sasa kwa nini hatujifunzi na hizo? kitu imekaa vibaya hiyo dada, anayetenda kosa mara nyingi ni yule anayejua madhara ya lile kosa, risk makers are the ones who wins. Ila inabidi ukiweza badilika, badilika. You never knows inawezekana lizy hapo message ulikuwa unampelekea mumeo lakini na wewe una kijumba pembeni unakula taratibuuu. . . . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom