Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

A very good thread with a logic answers and tactical explanations ever seen here.Am conviced to compare Lizzy's thinking capacity with that of mine.Kuna watu wanajua bwana,nyie acheni tu..
 
unajua nn,sometyms mtu unacheat kutokana na mahusiano yako kuwa na mizengwe..aman hkn,ugomv kla kukcha,yan kero bn tabu....huku upande wa pl mtu anakujal kwa kika hal kwann uccheat!
 
Ukiona watu wanajifanya hawajui ndoa ni nini ujuwe hao wanaishi, kula na kulala kwenye zinaa, na pengine wamesha zaa watoto wengi nje ya ndoa. Mara nyingi huwa hawajui hata baba yao ni nani.

Watu kama hao huwa haweelewi wala hawaujui umuhimu na utamu wa ndoa. Ni wazinifu.

Ndoa si kuvaa gauni jeupe au la kijani, ndoa ni "contract" ya kukubaliana na kutambulikana kisheria, kidini na kijamii kuwa fulani ni mke na mume walioridhiwa na wazee na jamii zao na kuwa wameyakubali majukumu kutokana na "agreement" zao.

Nje ya hapo ni zinaa, inayopelekea watoto wa mitaani kuwa wengi, magonjwa ya zinaa kuzidi, watoto kuwa na mababa zaidi ya mmoja na wengi kufikia hata kutokujuwa baba zao ni nani, na wengi hufikia kuzaa na kutelekeza watoto kwenye vituo vya kulelea yatima. Inasadikika kuwa mayatima wengi si mayatima kweli bali ni watoto wa nje ya ndoa, waliozaliwa kwenye zinaa.

Zinaa ni haramu kwa dini zote na hata kwa jamii ni haramu. Kwa hiyo haiwezekani "cheating" ikafanyika kwenye zinaa, zinaa yenyewe ni "cheating" kwa mola wako na kwa jamii yako. Sasa cheating itoke ndani ya cheating? wapiii?
 
kitu kimoja so funny kuhusu darasa la cheating.....

wengi walio kwenye ndoa hasa za mda mrefu watakwambia cheating is inevitable na fair game ingawa inauma..

while weengi wanaokwambia cheating is unforgivable ni wale ambao hawako katika ndoa......

now go figure that.....

Suala la kucheat ni gumu sana.......

Wengi wetu tunakubali kwamba ni baya sana....Ila kwenye matendo je??

But there are some who are speaking from experience and have actually done it, i.e. dumped their partners once they found out about their infidelities.

Siyo rahisi kiasi hicho,...especially kama cheater ni male.....Wanawake wengi huwa wanapofumaniwa hawapewi second chance...

Hata hivyo, wanaume wengi wanajipa siyo tu second chance bali hata 10th tena kabla ya kuanza kucheat!!

Nilishasema huko nyuma....CHEATING IS VERY GENDER SENSITIVE.....Tunatakiwa kuyakumbuka haya mambo, vinginevyo tunakuwa tunajiongelesha tu!!

lizzy waswahili husema kua uyaone ......nafikiri umeelewa mkubwa mwenzangu!

Kweli kabisa Chauro.....ndani ya siku 100 za ndoa.. majority huwa hawaweza kuhisi kuwa kuna siku watafanyiwa kitu kama cheating..

After 100 x 10 days, mtazamo unaanza kubadilika taratibu, na baada ya 100 x 100 days....siyo mtazamo tu baila kila kitu kinakuwa tofauti kabisa!!

Babu DC!!
 
A very good thread with a logic answers and tactical explanations ever seen here.Am conviced to compare Lizzy's thinking capacity with that of mine.Kuna watu wanajua bwana,nyie acheni tu..
Hahahaha. . .
Haya bana. . .we should work together then.
 
unajua nn,sometyms mtu unacheat kutokana na mahusiano yako kuwa na mizengwe..aman hkn,ugomv kla kukcha,yan kero bn tabu....huku upande wa pl mtu anakujal kwa kika hal kwann uccheat!
Kwani mtu akitoka kucheat na kurudi kwenye mahusiano yale yale mizengwe inakua imepungua? Kama kero zimezidi kiasi kwamba mhusika anaona hawezi kuvumilia kwanini asiende huko kusiko na mizengwe?
 
kitu kimoja so funny kuhusu darasa la cheating.....

wengi walio kwenye ndoa hasa za mda mrefu watakwambia cheating is inevitable na fair game ingawa inauma..

while weengi wanaokwambia cheating is unforgivable ni wale ambao hawako katika ndoa......

now go figure that.....
Bishanga niko kwenye ndoa n am bize cheating.
 
Ukiona watu wanajifanya hawajui ndoa ni nini ujuwe hao wanaishi, kula na kulala kwenye zinaa, na pengine wamesha zaa watoto wengi nje ya ndoa. Mara nyingi huwa hawajui hata baba yao ni nani.

Watu kama hao huwa haweelewi wala hawaujui umuhimu na utamu wa ndoa. Ni wazinifu.

Ndoa si kuvaa gauni jeupe au la kijani, ndoa ni "contract" ya kukubaliana na kutambulikana kisheria, kidini na kijamii kuwa fulani ni mke na mume walioridhiwa na wazee na jamii zao na kuwa wameyakubali majukumu kutokana na "agreement" zao.

Nje ya hapo ni zinaa, inayopelekea watoto wa mitaani kuwa wengi, magonjwa ya zinaa kuzidi, watoto kuwa na mababa zaidi ya mmoja na wengi kufikia hata kutokujuwa baba zao ni nani, na wengi hufikia kuzaa na kutelekeza watoto kwenye vituo vya kulelea yatima. Inasadikika kuwa mayatima wengi si mayatima kweli bali ni watoto wa nje ya ndoa, waliozaliwa kwenye zinaa.

Zinaa ni haramu kwa dini zote na hata kwa jamii ni haramu. Kwa hiyo haiwezekani "cheating" ikafanyika kwenye zinaa, zinaa yenyewe ni "cheating" kwa mola wako na kwa jamii yako. Sasa cheating itoke ndani ya cheating? wapiii?
FF nakupenda lakini sa ingine unaongeaga sana bila kutoa pweint,sasa ndo nini kukandia mpango wa pembeni bana?
Wengine that's what makes our marriages tick,kwani weye (unlike..........L.......) hujawahi ku cheat? Just be sincere please.
 
Hhhmmm. . .
Haya bana! !!
 
siungi mkono hoja hapa babu!
well ok, unapenda kutenda tu au hata ukitendewa poa?? i mean wt if ukagundua bibi pia anacheat uko, utareact vp??
refer back kwenye uzi wa The Boss....'ukitaka kuwa na nyumba ndogo....the guide'....based on those well researched principals utakamatwa vipi?
 
FF nakupenda lakini sa ingine unaongeaga sana bila kutoa pweint,sasa ndo nini kukandia mpango wa pembeni bana?
Wengine that's what makes our marriages tick,kwani weye (unlike..........L.......) hujawahi ku cheat? Just be sincere please.

Nashkuru Mungu. Never in my life. Huyu mmoja ingekuwa inawezekana ningemkata chini nikabaki na kipande chake cha juu, tu.
 
Kama wewe mwanaume usham cheat wife, akaja akagundua labda mchana wake kakubamba unatoka nyumba ya wageni na kidosho, akakupotezea na wewe umeshamuona kakubamba alitaka kupata ukweli lakini yeye wife akaondoka zake bila kukwambia lolote.

Jioni unarudi nyumbani kutoka kazini hakuulizi kitu, unakuta msosi upo mezani, maji ya kuoga yapo ready . Kitanda kimetandikwa kama kila siku, matunda yako unayopenda siku zote yameandaliwa, fresh juice yako ya kabla hujalala ipo, amekupokea amekuvua tai na nguo zako kama kawaida yake na akakuvua viatu vyako kama siku zote akakambia maji ya kuoga yapo tayari, anaenda kukuogesha kama siku zote. Akapiga "lingerie" kama siku zote na chumba kimeandaliwa vizuri kwa harufu nzuri nzuri .....Hivi utajisikiaje hapo?

Hii itaniuma sana sana sana!!!! kuliko hata akianza kuleta makasheshe.
 
Nashkuru Mungu. Never in my life. Huyu mmoja ingekuwa inawezekana ningemkata chini nikabaki na kipande chake cha juu, tu.

FF,

Sasa baba nanihii akitaka kuongeza mke wa pili wa kukusaidia majukumu inakuwaje hapo? anakwambia kwamba anaogopa kutenda dhambi bora amchukue jumla.
 
siungi mkono hoja hapa babu!
well ok, unapenda kutenda tu au hata ukitendewa poa?? i mean wt if ukagundua bibi pia anacheat uko, utareact vp??
So long sijawahi kumhisi au kumfumania haimaanishi kuwa huwa hacheat....... At least kama anacheat basi anacheat responsibly kama ambavyo mie nafanya.....

Cheating is inevitable, ODM concludes...!
 
refer back kwenye uzi wa The Boss....'ukitaka kuwa na nyumba ndogo....the guide'....based on those well researched principals utakamatwa vipi?
ww tena na uo uzi mara pili hii unasema watu tukaperuzi uko duh!
haya bishanga me wish you best of luck ktk kucheat kwako, ila za mwizi arobaini utafumwa tu siku moja!
tatizo mkiona mtu ametulia hakufuatilii et unadhan hajakugundua, mwenzio anakusoma tu anaona unahangaika bure na kujichosha wakati kwake ni mtakuja ivyo utarejea tu.
 
So long sijawahi kumhisi au kumfumania haimaanishi kuwa huwa hacheat....... At least kama anacheat basi anacheat responsibly kama ambavyo mie nafanya.....

Cheating is inevitable, ODM concludes...!
he he he babu no comment aisee!
 
Mmmh, really?
Anyway, i will not shoot if a spouse cheats responsibly
So long sijawahi kumhisi au kumfumania haimaanishi kuwa huwa hacheat....... At least kama anacheat basi anacheat responsibly kama ambavyo mie nafanya.....

Cheating is inevitable, ODM concludes...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom