Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

Mi najua kuwa cheating ni tatizo sana,but nini difinishen yake?Kutoka nje ya ndoa,ndoa ni nini?Kwenye maandiko matakatifu(biblia)watu walikua hawaoi kama leo,kwa maana ya kwenda kwenye nyumba za ibada,ulikua unatoa mahari unachukua mke!Huu utaratibu wa leo sijui umetoka wapi!Pia mi nafikiri cheating ziko nyingi,tafsiri yangu ni kuwa,cheating ni kumpatia mtu mwingine haki inayomstahili mwandani wako tu,ikiwa ni pamoja na sms,kupiga simu,ngono n.k.Zingatia hapa,HAKI INAYOMHUSU MWANDANI WAKO TU,maana wale wavivu wa kufikiri watashangaa kusikia sms,sijui sms unayomtumia mkeo/mumeo ni sawa na ile ya mama yako?
 
Nje ya ndoa ni dhambi tu, hakuna cha maelewano. Ikiwa mnaweza kuvuliana chupi kabla hamjaoana nini kiwashinde kumvulia chupi mwingine? Hiyo ni zinaa, sasa ufanye cheating ipi kwenye zinaa?

Unaitafsirije ndoa?
 
lizzy waswahili husema kua uyaone ......nafikiri umeelewa mkubwa mwenzangu!
 
Mi najua kuwa cheating ni tatizo sana,but nini difinishen yake?Kutoka nje ya ndoa,ndoa ni nini?Kwenye maandiko matakatifu(biblia)watu walikua hawaoi kama leo,kwa maana ya kwenda kwenye nyumba za ibada,ulikua unatoa mahari unachukua mke!Huu utaratibu wa leo sijui umetoka wapi!Pia mi nafikiri cheating ziko nyingi,tafsiri yangu ni kuwa,cheating ni kumpatia mtu mwingine haki inayomstahili mwandani wako tu,ikiwa ni pamoja na sms,kupiga simu,ngono n.k.Zingatia hapa,HAKI INAYOMHUSU MWANDANI WAKO TU,maana wale wavivu wa kufikiri watashangaa kusikia sms,sijui sms unayomtumia mkeo/mumeo ni sawa na ile ya mama yako?

Eiyer tafsiri ya ndoa imezoeleka kua ni kile kitendo cha mmoja kuvaa gauni linalong'aang'aa ama kumeremeta na mwingine kuvaa suti au kanzu na kurudia maneno yanayotolewa na kiongozi wa dini. Na kwasababu hii ndio iliyozoeleka wengi wanadhani ili kuwa na ndoa lazima hatua hizo zifuatwe. . .wakati, wakati huo huo kuna watu wasioamini hata hizo dini, mahakama inaweza ikafungisha ndoa na pia wazee kwa wale wanaofuata mila zaidi.

Binafsi naamini kila mtu ana haki ya kutafsiri mahusiano yake vile anavyotaka alimradi iwe inaeleweka hivyo kwa pande zote mbili.

Tukirudi kwenye swala la 'haki za mwandani' tuko pamoja kwamba kumpa mwingine haki hizo, no matter how small inafaa kutafsiriwa kama kucheat. Ndio maana mimi hua nashangaa wale wanaodai wana ndoa/wapenzi wao ila kutwa kucha kuflirt kwenye mitandao,simu, mitaani na makazini huku wakidai ni utani tu. Kwanini huo utani asiendekeze na mwenzake? Sijui kama wanajibu. . . ila kwa maoni yangu sio sahihi kufanya hivyo.
 
Nice thread, kweli ni upumbafu sana kucheat najua ni upumbafu lakini kunawengine wanawake huwezi kuwapita sa tumlaumu nani.
 
Nimekubaliana na wewe Lizzy!Mi siamini mtazamo wa ndoa kuwa lazima waende kwenye nyumba flan na nguo flan,mi najua ndoa inakamilika pale unapokubali kutoka moyoni kuwa flan ni mwandani wako!
 
Namsaidia. . . NDIO!!!
Kama huwezi kuwa na mtu mmoja tafuta ambao hawajali mkiwa na mahusiano yanayoruhusu kuwa na watu wengine badala ya nyie wawili tu.

baby Lizzy,nimeapa sigombani na wee tena (inauma sana),sasa katika hili naomba tutofautiane,pliiiiiiiiizzzzzz!!!
 
baby Lizzy,nimeapa sigombani na wee tena (inauma sana),sasa katika hili naomba tutofautiane,pliiiiiiiiizzzzzz!!!

Hivi mimi na wewe tumewahi kugombana?

Nwy kutofautiana kupo, ila bado mimi naona ni upumbavu. Kama huwezi kutulia na mtu mmoja jiweke huru kama wanavyofanywa kuku wa kienyeji. . .unazunguka popote bila tatizo.
 
siku zote mla ndizi huwa anasahu,anayekumbuka ni mwokota maganda! Hatujawahi kugombana?????
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom