Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

which he does!

Yaani ukiona hujamfumania mmeo, jua mmeo ni mjanja. Wanaume karibu wote tunacheat. Cha msingi usimfuatilie usije kufa kwa presha bure!

Huu mwaka naona umeanza vizuri ukiachilia mbali mgomo wa Ma-Dokta...!
 
Kwani mtu akitoka kucheat na kurudi kwenye mahusiano yale yale mizengwe inakua imepungua? Kama kero zimezidi kiasi kwamba mhusika anaona hawezi kuvumilia kwanini asiende huko kusiko na mizengwe?

unapunguza strec lol....akiona uhangaik nae mwenyewe ananyooka
kwa neno jngn naeza sema n dawa
 
FF,

Sasa baba nanihii akitaka kuongeza mke wa pili wa kukusaidia majukumu inakuwaje hapo? anakwambia kwamba anaogopa kutenda dhambi bora amchukue jumla.

Roho itaniuma sana lakini ni haki yake, nnajuwa kuwa mimi pekee, kwa jinsi alivyojaaliwa, simuwezi. NI bora mara elfu aongeze mke kuliko zinaa. Sharing is caring, cheating is fooling.
 
So,alizini au?

yes ILA After being asked by the wife,tena for a kid!we waenda tafuta mtoto huko?tena ambaye Mungu alimpeleka mbali later on..em jaribu kumuacha mkeo afike 90yrz then bila mtoto ndo akuombe upate mtoto na hg..ni hivi,kama unacheat,dont use God kujustify what you are doin,sema ni um** basi..kama we mwanaume kweli,chukua peleka nyumbani kwa mkeo..why hide?.ati cheating responsibly!.jiamini bas.
 
Ndugu zangu,
Cheating si nzuri kwetu sote. Tumuombe Mungu tubadilike, tuchukie na kuacha kabisa cheating. Hakika huo mpango wa Mungu. Nawaachia ujumbe huu:-
"Live lives worthy of God, who calls you into His kingdom and glory."

"What do people think of God when they watch us in our marriages?" We don’t have a choice whether our marriages will be an open book or not because no matter how much we try to hide who we are behind closed doors — someone, somewhere, will eventually read your marriage book.
The truth is you may never know who has been reading your marriage book. You can be sure your children are — every day. It could also be the neighbors, people you work with, or even complete strangers.
 
Lizzy,uko so right!.it is selfishness most times..kama tungeweza kuwafikiri a wale walio karibu na mioyo yetu then cheating isingekuwapo. I have a friend ambaye babaake aliamua kumchukua housegal na ana watoto nae(bila familia kujua)for almost 10years,.when my friend found out(hakuna siri duniani that lasts forever)uhusiano wake na baba yake uliishia hapo,kama mtoto,utakua na mawazo ya mamako,how she feels,days that ulimsikia akilia secretly in her room etc!..some men are ready to trade their families for a mere pleasure. Mwingine ni a man,yeye pia kaletewa HIV hapo hapo kwake!.he killed himself..now,as they say kwenye campaign za HIV,change begins with you!.utajiona mjanja sana doing ol those fishy staffz ila KAMA your partner is faithful to u in ol ways na kumlipa ndo wamlipa hvyo then you will have to pay for it,and the price inakua kubwa!na tukumbuke,kumuua mtu sio kwa kuchukua kisu na kumchoma,we are silently killing those close to us by our acts.tumheshimu Mungu na pia tujue,he who knows not and knows not that he knows not,is a fool..and making people feel bad about themselves to make us feel good makes us uglier than they are!(pale unamsukumia mwenzako lawama while unajua ni makosa yako mwenyewe,cheating)
 
Aiseee. . . inasikitisha kweli Tracy.

Mimi kuna ndugu yangu alimletea mke mtoto na ngoma juu. Mama wa watu alikua analia wakati mume anarudi amelewa na mshahara hauonekani, anajitahidi kuwepo kwaajili ya mume na bado akaletewa zawadi ambayo hakuomba wala hakuhitaji. Binadamu sie. . . .tuna mambo kweli.
 
wewe na Lizzy nawagwaya siku hizi mu wakali ka pilipili,vinginevyo ningekwambia kitu.

Hahahaha lol si ukali bana ..
Tunasema tu vilivyo.. we si ulisha Kataa
Kuwa valentine wangu . Si dhani kama
Unalakuniambia .... TA
 
Cheating ni tabia ya mtu, haihusiani na unapata nini au unapewa nini na mwenzi wako. unaweza kumpa pepo ya dunia lakini akaenda kwa hsegal au hseboy asokua na lolote. hivyo tutofautishe tabia na mali.

Hii kitu ni kweli kabisa watu wanacheat bila kujali ni madhara gani yatatokea. Mimi binafsi nilishampiga mwanamke nusura kumuua coz alinicheat katika mazingira ya ajabu. Nilimpa kila kitu yaani mapenzi nilimjali 100% lakini akaishia kunicheat eti shetani alimpitia.
 
[h=3][/h]

Below is what the rapper said during a radio interview to promote his upcoming reality show - Marrying The Game
Cheating should be legalized. It would make it easier for women. The truth is every mancheats. Fat men, skinny men, basketball player, guy who can’t play, nerds, smart guy, it doesn’t matter. A woman is better off assuming exactly what I said. You’ll be better off that way.​
Then he adds
But I would never understand if a woman cheats. You know the balance. It would be over with. That’s how it goes. The Game said on a radio show some days back.​
And he's engaged to be married. Awwwww, how sad!
 
Inategemea unazungumzia wapi,kwa wenzetu waliojiona wameendelea kwa kila kitu cheating wala sio tatizo ni makubaliano ya wawili tu,na ndio maana tunashuhudia Swingers na Open relations.Lakini kwa huku kwetu Maswa bado sana na hata hiyo cheating ikiruhusiwa huyo msharati nitakaye mkamata na Nyanzala wangu lazima nizae naye kwanza kisha ndio nikamalizane na Nyanzala nyumbani...
 
yes wadau, habari zenu!
kama title inavyosema, hivi itakuwaje kama suala hili la watu kucheat ktk mahusiano yao likawa legalized? hivi tutapona kweli na magonjwa haya? na maumivu katika mapenzi si yatakuwa kwa sana? ebu wakuu tupeane insight kidogo hii kitu ikiwa hivyo itakuwaje? au mnaonaje je iapply tz kwetu hapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom