Ofa hizo za bieri na nyama choma. Sasa cjui inakuwaje mama kitambi na baba naye kiambi
solution
LOL!!, hio kali Mzee. Sababu ni kiti moto na Serengeti za ofaaaa!!!!!
shukrani bro ngoja na mimi nianze hili zoezi maana naona kama kinaninyemelea kwa kasi
gat u..am still working mine out...however its a result of third baby and streneous and hefty diet..but i admit..i hate mine with passion and contempt it deserve but my man is so loving still..
Ngoja nikusaidie...Dena Amsi....lmao
Mdudu na Bia hakuna kingine hapa!:embarrassed:
hivi nyinyi mnaoongelea hizo ofa huwa mnatoa? Au kutaka kuzalilishana tu. Vitambi vyetu ni vya bia tunazonunua wenyewe bana ofa bongo?
hivi nyinyi mnaoongelea hizo ofa huwa mnatoa? au kutaka kuzalilishana tu. Vitambi vyetu ni vya bia tunazonunua wenyewe bana ofa bongo?
wapashe hao,wamezidi kutudhalilisha as if we cant afford to buy anything.
Naona umefyumuu:A S-alert1:
Sio swala la kufyumu mnamaudhi sana nyie eti ofa?? Mnajua kutoa ofa nyie siku hizi??? Kimbweka tena wewe???
Dena,,ofa ya mwanaume!hivi hao wanawake ina maana wao hawajiwezi jamani???mbona najua cku hizi kuna wanaume wanatafuta wanawake wakuwatunza!
Sio swala la kufyumu mnamaudhi sana nyie eti ofa?? Mnajua kutoa ofa nyie siku hizi??? Kimbweka tena wewe???
Ndo maana nasema mmefyumuuu teh teh poleni
Ofa ziko pale pale hatutaacha kuwapa whether tuko ulaya ama bongo
Mwendo mdundo tu kutoa ofa
Cha msingi mfanye mazoezi:A S-alert1:
hongera :a s-alert1: