Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Gat u..am still working mine out...however its a result of third baby and streneous and hefty diet..but I admit..I hate mine with passion and contempt it deserve but my man is so loving still..
 
solution

best-abdominal-exercises.gif

shukrani bro ngoja na mimi nianze hili zoezi maana naona kama kinaninyemelea kwa kasi
 
LOL!!, hio kali Mzee. Sababu ni kiti moto na Serengeti za ofaaaa!!!!!

hivi nyinyi mnaoongelea hizo ofa huwa mnatoa? au kutaka kuzalilishana tu. Vitambi vyetu ni vya bia tunazonunua wenyewe bana ofa bongo?
 
gat u..am still working mine out...however its a result of third baby and streneous and hefty diet..but i admit..i hate mine with passion and contempt it deserve but my man is so loving still..

pole sana nsiande,jitahidi sana diet. Mimi ckuhangaika na mazoezi but huwa natenga muda wa kuwa kwenye special diet. Kitambi kwisha despite of having two kids.
 
hivi nyinyi mnaoongelea hizo ofa huwa mnatoa? Au kutaka kuzalilishana tu. Vitambi vyetu ni vya bia tunazonunua wenyewe bana ofa bongo?

wapashe hao,wamezidi kutudhalilisha as if we cant afford to buy anything.
 
pole sana nsiande,jitahidi sana diet. Mimi ckuhangaika na mazoezi but huwa natenga muda wa kuwa kwenye special diet. Kitambi kwisha despite of having two kids.

Hongera :A S-alert1:
 
hivi nyinyi mnaoongelea hizo ofa huwa mnatoa? au kutaka kuzalilishana tu. Vitambi vyetu ni vya bia tunazonunua wenyewe bana ofa bongo?

Kuna mwanume anatoa ofa bongo siku hiziiii???? Hebu acheni kutudhalilisha bwana!!! Maty hawa watu wanatuchakachua sana sijui wakoje
 
Sio swala la kufyumu mnamaudhi sana nyie eti ofa?? Mnajua kutoa ofa nyie siku hizi??? Kimbweka tena wewe???

Dena,,ofa ya mwanaume!hivi hao wanawake ina maana wao hawajiwezi jamani???mbona najua cku hizi kuna wanaume wanatafuta wanawake wakuwatunza!
 
Dena,,ofa ya mwanaume!hivi hao wanawake ina maana wao hawajiwezi jamani???mbona najua cku hizi kuna wanaume wanatafuta wanawake wakuwatunza!

Tena kibao akikuona unazo ndo mbio na mapenzi ya kufa mtu kumbe kafata mkwanja tena ukute anakunywa tusker bariidi umekwisha
 
Sio swala la kufyumu mnamaudhi sana nyie eti ofa?? Mnajua kutoa ofa nyie siku hizi??? Kimbweka tena wewe???

Ndo maana nasema mmefyumuuu teh teh poleni
Ofa ziko pale pale hatutaacha kuwapa whether tuko ulaya ama bongo
Mwendo mdundo tu kutoa ofa
Cha msingi mfanye mazoezi:A S-alert1:

:focus:
 
Ndo maana nasema mmefyumuuu teh teh poleni
Ofa ziko pale pale hatutaacha kuwapa whether tuko ulaya ama bongo
Mwendo mdundo tu kutoa ofa
Cha msingi mfanye mazoezi:A S-alert1:

Kimbweka nikija nataka unipe ofa haki ya mungu nitakudai na ole wako uninyime
 
Back
Top Bottom