Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

  1. Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
    Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
    Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

    Bia za bure kwa wingi za wanaume tofauti
  2. Faibroidiz
  3. Kulakula makuku ya maabara
  4. Kutokwenda msalani
  5. Kutofanya mazoezi
 
Nguli, hiyo dozi uliyowapa inatosha

Wa TZ mazoezi ni ANASA au uzungu. Tunapenda kutoka job na kukimbilia kilaji/bar wk end kukaa kaa tuu vijiweni. hata kusoma news paper tabu. Ujanja kula chips na mibaga........hatusomi hata tips za mazoezi/how to stay health.
 
  1. Bia za bure kwa wingi za wanaume tofauti
  2. Faibroidiz
  3. Kulakula makuku ya maabara
  4. Kutokwenda msalani
  5. Kutofanya mazoezi

naungana na wewe,,hapo kny makuku ungeiweka kama diet kwa ujumla,,,,duh!lkn hapo kny bia kwani lazma ziwe za bure jamaniiii?to much for us now
 
Kila kitu wanawake tu!Nyie mshafanya mazoezi?au hamhitaji?

avatar16123_22.gif
 
Jamani hao wenye vitambi wapo wengi hata hapa jf!niwataje..................?
 
jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

Halafu ukiwaambia wana vitambi huo ugomvi wake mpaka balozi aje kuwasuluisha ndio utaisha!

Wengine wanatumia kuzaa kama excuse, ukimwambia anasema ooh, umenichoka kwakuwa nimezaa.

Punguzeni kulakula kusikokuwa na ratiba!
 
Eeeeh kaka unaanzisha ugomvi huku wataka umsaidie undelee kuvutiwa naye teh:A S-alert1:
 
Back
Top Bottom