Kwanini wanaume wanajichongea?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,996
Unaweza kujikuta umeulizwa swali jepesi tu ambalo halihitaji majibu mengi wala ya kina.

"Mbona umechelewa" swali hilo.

Jibu lake linatakiwa liwe fupi na lisilo na mbwembwe. lakini hapana, mtu ataanza stori na katika hiyo stori atajikuta amefikia mahali pa kuanza kusema mambo ambayo hata hakuulizwa.

"Nikakutana na Jennifer, nilikuambia kuhusu Jennifer"..

Mara anaanza kujichongea.

Kwanini wanaume hatujui wakati wa kukaa kimya na kutumia haki yako ya "kutojichongea"?

Ukiona umeulizwa swali limekaa kimtego sema yafuatayo:

a. "I plead the Fifth" (ni haki ya kutojichongea kwa mujibu wa katiba ya US.. inadaiwa inatumika pote duniani! LOL) Haki hii ikishaitwa kina dada hamtakiwi kuendelea kulazimisha kupewa majibu.

b. Mwambie unatumia haki ya "Miranda" (nayo inadaiwa inatumika pote duniani) kuwa hutaki kusema kitu ambacho kitatumiwa dhidi yako chumbani a.k.a kunyimwa unyumba kwa sababu ya maneno yako.

c. Cheka, halafu mbusu.. likwepe swali kwa muda (kumbuka atakuamsha usiku wa manane kutaka majibu - you better have some).

Vinginevyo, usijichongee isipokuwa kama uko tayari kununiwa the rest of the day na kukumbusha jambo ambalo ulilisema ambalo huna hata chembe ya kumbukumbu nalo!!

Ni ushauri tu.
 
Lol...sikujua Miranda rights zinaweza kutumiwa hadi kwenye mambo haya.....

Najifunza mambo mapya kila siku....shukrani mkuu....
 
Mzee especially kama huko hapa US.. hiyo ni haki yako kabisa.. hujui ni mara ngapi imenisevu kama kuokolewa na kengele..
 
...aaarrgghh, ukiwa muongo asilia wala hubambwi. Unatuma sms ya 'mama chanja nitachelewa kidogo' dakika chache kabla hujafika nyumbani ku-test 'hali ya hewa!'...halafu ukifika home swali linajibiwa na swali, 'kwani hukupata txt?'
 
..km umeoa kilaza unaweza ukaplay game ka hii vngnevyo inakuwa ngumu kdg ata km kudanganya utadanganya bt kwa jasho na si kirahisi rahisi km iv.
-wengine wanaenda mpk polisi anaongea na afande chacha anampa elfu tano ili amweke ndani then ampigie sim mkewe that mumeo kakamatwa tangu jana usiku njoo umwone.basi akienda pale kesi inakuwa imeisha unamchukua mumeo kwa upendo na mabusi kibao pole mpz jaman awa polis pumbavu kweli yani wamekusingizia..ukifika hm unamwogesha unampa.ya pole kumbe mwenzako katoka kwa halima manyonyo mtaa wa 5 pale kalala uko afu akaptia polisi ili apoteze soo!!!
mmh awa viumbe awa noma yani km watoto vle ukichunguza fresh games zao
poa wajanja nyinyi :shock:
 
...aaarrgghh, ukiwa muongo asilia wala hubambwi. Unatuma sms ya 'mama chanja nitachelewa kidogo' dakika chache kabla hujafika nyumbani ku-test 'hali ya hewa!'...halafu ukifika home swali linajibiwa na swali, 'kwani hukupata txt?'

mhhh...
 
Mwanakijiji....nimeamini kumbe uchaguzi 2010 umeisha tayari........
 
Unaweza kujikuta umeulizwa swali jepesi tu ambalo halihitaji majibu mengi wala ya kina.

"Mbona umechelewa" swali hilo.

Jibu lake linatakiwa liwe fupi na lisilo na mbwembwe. lakini hapana, mtu ataanza stori na katika hiyo stori atajikuta amefikia mahali pa kuanza kusema mambo ambayo hata hakuulizwa.

"Nikakutana na Jennifer, nilikuambia kuhusu Jennifer"..

Mara anaanza kujichongea.

Kwanini wanaume hatujui wakati wa kukaa kimya na kutumia haki yako ya "kutojichongea"?

Ukiona umeulizwa swali limekaa kimtego sema yafuatayo:

a. "I plead the Fifth" (ni haki ya kutojichongea kwa mujibu wa katiba ya US.. inadaiwa inatumika pote duniani! LOL) Haki hii ikishaitwa kina dada hamtakiwi kuendelea kulazimisha kupewa majibu.

b. Mwambie unatumia haki ya "Miranda" (nayo inadaiwa inatumika pote duniani) kuwa hutaki kusema kitu ambacho kitatumiwa dhidi yako chumbani a.k.a kunyimwa unyumba kwa sababu ya maneno yako.

c. Cheka, halafu mbusu.. likwepe swali kwa muda (kumbuka atakuamsha usiku wa manane kutaka majibu - you better have some).

Vinginevyo, usijichongee isipokuwa kama uko tayari kununiwa the rest of the day na kukumbusha jambo ambalo ulilisema ambalo huna hata chembe ya kumbukumbu nalo!!

Ni ushauri tu.

kweli ute uzima dawa.... senks... jibu la CHEE inaanza kutumika leo leo...!!!:A S shade:
 
yaani sms tu halafu unanijia saa 6 ucku nisihoji?

...tatizo hata mkijibiwa uongo au ukweli maswali hayaishi! Arrghhh, wengine sie mwenye haki ya kuniuliza "ulikuwa wapi?" na kujibiwa ukweli ni mama yangu mzazi tu, full stop.
 
Unaweza kujikuta umeulizwa swali jepesi tu ambalo halihitaji majibu mengi wala ya kina.

"Mbona umechelewa" swali hilo.

c. Cheka, halafu mbusu.. likwepe swali kwa muda (kumbuka atakuamsha usiku wa manane kutaka majibu - you better have some).

Ni ushauri tu.

kweli ute uzima dawa.... senks... jibu la CHEE inaanza kutumika leo leo...!!!:A S shade:

...si mpaka awe anaelekea kupigwa busu, wengine mnh...! ukikoswa kofi, utasukumiliwa mbali!
 
..km umeoa kilaza unaweza ukaplay game ka hii vngnevyo inakuwa ngumu kdg ata km kudanganya utadanganya bt kwa jasho na si kirahisi rahisi km iv.
mmh awa viumbe awa noma yani km watoto vle ukichunguza fresh games zao
poa wajanja nyinyi :shock:

mkjj,it may not work for all women.ni bora ukatafuta tuition ya uongo smart na uwe consistent (usiwe unasahau). Manake ukinyamaza na mwenzio akaanza kutumia haki yake hiyo ya kunyamaza utakereka zaidi ya mwenzio.
 
Back
Top Bottom