Kwanini wanaume wanajichongea?

kuna na mbinu ya kumtxt bibie kumwambia umepata tonsilitis au vidonda vya koo ukiwa njiani, ukifika home unajifanyaga ukiongea unaumia! hii inakuwa excuse ya kutokuulizwa maswali zembe for day or two. akishikilia kukuuliza unamwambia "honey jamani mbona mkatili lakini? huku bakteria wanalimaliza koo na wewe unanimaliza kisaikolojia,unajua honey mimi nakupenda kuliko nyerere anavyopenda AZIMIO LA ARUSHA"

N:B (dont try this if you are not ekspiriensed kwenye udanganyaji)
 
...au unamuangushia bonge la kilio, atakubembeleza mwenyewe!
 
kuna na mbinu ya kumtxt bibie kumwambia umepata tonsilitis au vidonda vya koo ukiwa njiani, ukifika home unajifanyaga ukiongea unaumia! hii inakuwa excuse ya kutokuulizwa maswali zembe for day or two. akishikilia kukuuliza unamwambia "honey jamani mbona mkatili lakini? huku bakteria wanalimaliza koo na wewe unanimaliza kisaikolojia,unajua honey mimi nakupenda kuliko nyerere anavyopenda AZIMIO LA ARUSHA"

N:B (dont try this if you are not ekspiriensed kwenye udanganyaji)

haaa balaa lingine hili...wewe klorokwini, nimecheka mpaka bac...
 
...tatizo hata mkijibiwa uongo au ukweli maswali hayaishi! Arrghhh, wengine sie mwenye haki ya kuniuliza "ulikuwa wapi?" na kujibiwa ukweli ni mama yangu mzazi tu, full stop.
ivi kumbe huwa tunadangwanywa sana eh?
 
ivi kumbe huwa tunadangwanywa sana eh?

...Loh, hapana Lady N, umeni quote vibaya hapo. Nilikuwa namaanisha haijalishi mkiambiwa Ukweli au uongo, kama hamtaki kuamini hamtaamini lolote litokalo mdomoni. :ranger:
 
Wanawake wengi wanajua kabisa wanapodanganywa lakini kwa kutumia busara zao hujifanya wajinga na kuacha lipite.
 
...na hiyo ndio ninayoita busara. Thanks kwa kina dada na kina mama wote waelewa kama WoS
Mtafanyaje sasa ilhali nyie ndio 'mama zetu na walezi?' mtoto wa mtu kizuka, akizuka zuka nae...hata akinyea kiganja 'hakikatwi!'
 
Back
Top Bottom