Kwanini Salama Jabir hataki kwenda shule?

Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.

"I didn't go to havard....but the people that work for me did" by 50Cent.
 
Hapa unaejichanganya ni wewe unayeshindwa kutofautisha kati ya Elimu na vyeti, sijui kama Elimu unayoiongelea wewe ni hii ya hawahawa Degree holder wetu wa leo wanaoandikiwa Application letter na form Graduate? Hivi Bill Gates ana kipaji gani?

Msicomplicate sana maisha kila mtu ana style yake ya kutoka kimaisha, wewe unayejuwa umuhimu wa Elimu go ahead hujakatazwa maliza vyuo vyote hadi ukutane na chuo kilichoandikwa hapa mwisho.

Kwanza kusoma sana ni uoga wa kuyakabili maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom