Kwanini Salama Jabir hataki kwenda shule?

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.
 
Tukupe namba za Zantel za kina Madam Ritta ili ufikishe ujumbe?Inaezekana wao sio wadau hapa jukwaani!!
 
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?

Hao wana vipaji, usichanganye watu wewe kwakuishushia hadhi elimu na kwa taarifa yako hata kuanguka kwao kunakua kwa kasi kama walivyopanda. Diamond mkwanja anaoupata sasa angekuwa na knowledge angekuwa mbali zaidi ya alipo, kumbuka hata Mr. Nice na Feruzi walikuwa juu
 
kwa jay z c kweli coz ana bachelor of commerce,msomi mzuri kwenye masuala ya biashara!!!
 
Hao wana vipaji, usichanganye watu wewe kwakuishushia hadhi elimu na kwa taarifa yako hata kuanguka kwao kunakua kwa kasi kama walivyopanda. Diamond mkwanja anaoupata sasa angekuwa na knowledge angekuwa mbali zaidi ya alipo, kumbuka hata Mr. Nice na Feruzi walikuwa juu
Hapa unaejichanganya ni wewe unayeshindwa kutofautisha kati ya Elimu na vyeti, sijui kama Elimu unayoiongelea wewe ni hii ya hawahawa Degree holder wetu wa leo wanaoandikiwa Application letter na form Graduate? Hivi Bill Gates ana kipaji gani?

Msicomplicate sana maisha kila mtu ana style yake ya kutoka kimaisha, wewe unayejuwa umuhimu wa Elimu go ahead hujakatazwa maliza vyuo vyote hadi ukutane na chuo kilichoandikwa hapa mwisho.
 
kwani si alikuwa anasoma uingereza??

Asome nini tena?
kwani lazima? kwanza kila mwanamke anazaliwa na Degree yake zile za shuleni ni ziada tu ukipenda mwenyewe, au mnadhani na yeye anataka kuwa kama Asha Rose Migiro?
Hivi Degree ya Jokate ina thamani kwenda kukivulia chupi kile kitoto Diamond? (Msianiambie mapenzi hayabagui wala hayachagui)
 
umeongea la maana sana

kuzwaliwa mwanamke tayari fomu six

ujue kuchagua bwana tu, hata hiyo mi V8, sijui ford utaendesha.

Hivi hawamwoni Salma, ana degree ngapi na barabarani tunampisha?

kwani lazima? kwanza kila mwanamke anazaliwa na Degree yake zile za shuleni ni ziada tu ukipenda mwenyewe, au mnadhani na yeye anataka kuwa kama Asha Rose Migiro?
Hivi Degree ya Jokate ina thamani kwenda kukivulia chupi kile kitoto Diamond? (Msianiambie mapenzi hayabagui wala hayachagui)
 
Kama husukumwi na Chuki ...utakuwa una Upendo kweli na Salama...sina Hakika kama umeanza kuwasukuma familia yako kuhusu kusuma. charity begins at Home...basi sawa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.

una husda, kinyongo, wivu, chuki, ushambenga, ushankupe, wewe ni Kinyang'unya, mpana, mbea, mpashkuna, mfitini, mshakunaku, kishata mtaa...nk nk nk
 
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?

Bado kama ni form failure haitafutika milele
 
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?

Bila kumsahau george weah alikuwa no 2 most influential and respected people from africa behind nelson mandela kwa miaka kibao,

Elimu yake ya primary tu but alimpeleka mputa mputa msomi wa havard kwenye kinyanganyiro cha urais wa liberia mpaka mama akamwaga machozi na phd yake kwenye second round ya general election maana nchi nzima inamtaka weah, sometimes vipaji vina nguvu kuliko elimu
 
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?

Barack Obama,warren buffet,carlos slim helu,aliko dangote,james mwangi...etc etc
 
Kama husukumwi na Chuki ...utakuwa una Upendo kweli na Salama...sina Hakika kama umeanza kuwasukuma familia yako kuhusu kusuma. charity begins at Home...basi sawa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hahahahaaaaa!!!umenikumbusha ule msemo wa kwenye bible "ondoa kwanza boriti ..."hahahaaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom