Kwanini Salama Jabir hataki kwenda shule?

kwa jay z c kweli coz ana bachelor of commerce,msomi mzuri kwenye masuala ya biashara!!!

ACHA UONGO!
Jay-Z attended Eli Whitney High School in Brooklyn until the school closed. Then he attended George Westinghouse Career and Technical Education High School in downtown Brooklyn. Following that school Jay-Z end up attended Trenton Central High School in Trenton, New Jersey. Jay-Z did not complete his high school education or receive a degree.
Jay-Z's Education Background | Edu in Review Blog
 
Hapa unaejichanganya ni wewe unayeshindwa kutofautisha kati ya Elimu na vyeti, sijui kama Elimu unayoiongelea wewe ni hii ya hawahawa Degree holder wetu wa leo wanaoandikiwa Application letter na form Graduate? Hivi Bill Gates ana kipaji gani?

Msicomplicate sana maisha kila mtu ana style yake ya kutoka kimaisha, wewe unayejuwa umuhimu wa Elimu go ahead hujakatazwa maliza vyuo vyote hadi ukutane na chuo kilichoandikwa hapa mwisho.

ghalib bilal nasikia ni mkali wa nyuklia, hajawahi kuunda hata kibatari.
 
me nlidhan ht jina lake lingefanana ww km ulipata one jiulize imekupa nn ambacho yy na 4 hana live ur life mind ur own
 
ungeanza kuhamasisha ndugu zako kwanza ..acha wivu na husda.alikuwa uingereza ila sijui alikuwa anasomea nini,anaejua atuambie
 
there are two options: Education or Experience, when other things remain constant!
 
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba
mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.

Chuki binafsi amekataa kukusaga nini?
 
umeongea la maana sana

kuzwaliwa mwanamke tayari fomu six

ujue kuchagua bwana tu, hata hiyo mi V8, sijui ford utaendesha.

Hivi hawamwoni Salma, ana degree ngapi na barabarani tunampisha?

Kama kupishwa barabarani tu ingekuwa issue saaana...basi JK hasingepapatikia PhD za kulazimisha, si alikuwa tayari anatuwekaga barabarani hata saa lizima kabla ya hizo PhD!
 
Chuki binafsi kale kabinti kame kwenda shule kidogo bhana. Kamesha kwenda uingeleza glamorgan university kusoma na shule sio lazima uwe na digree....hapana what u ni elimu yakukusaidia ww ktk maisha yako! Salama she is doing gud na ninaamini yupo mbali hata zaid yako ww ulie andika hapo. Kunawatu wana madigree yao wapo mtaani. Keep it up Salama.... Sema we kabinti acha ku...ga!
 
we yanakuhusu nn?unamtaka?je watu wote wangeenda shule ingekuwaje,JF sio mahala pa majungu na umbea ni jamvi la magreat thinkers!.........acha umbea.....
 
Tunasoma ili iweje? (i) tuelimike tu? (ii) tupate mafanikio maishani(ngawila) ? (iii) i&ii?. ukishajijibu maswali hayo jiulize kuelimika,kufanikiwa ni kupitia formal education tu? then jiulize Salama kukosa formal education mpaka level ya degree imempunguzia nini au angekuwa na nini cha ziada ya sasa? Je hayo unayoona mapungufu kwa Salama wasomi wenye degree wanatofauti gani na salama ki tabia,mafanikio na uelewa?

Wakuu tuache kuzungumza elimu kama tulivyokaririshwa na wazee wetu na sisi pamoja na kuelimika tukashindwa kuwaelewa walimaanisha nini waliposema elimu ni ufunguo wa maisha!

Hatuwezi kupuuza elimu rasmi lakini lazima tujue mahali gani inafaa! Leo watangazaji wanaohitimu pale TSJ mbona wanafunikwa na vijana wenye vipaji tu?

Mwisho kazi ya Salama haina umri,umri wake unavyokwenda atabadili mienendo ya vipindi tu kwendana na umri wake,ndio maana leo Deo Rweyunga yule tuliyekuwa tunamuita Dj Mack D kule URS FM Arusha huwezi kumsikia kwenye DJ Show ila kwenye habari nyepesi nyepesi!
 
Bado kama ni form failure haitafutika milele
Watu bwana mnacomplicate maisha kishenzi!! Mimi namuheshimu zaidi form 4 Failure aliyeprove kwamba kupambana kwenye maisha hakutegemei zaidi makaratasi na akatoka from zero to hero,

Nakushauri hata kama humpendi Sugu nunuwa kitabu chake cha Muziki na Maisha, kutoka kitaa mpaka Mjengoni ndio utaelewa somo hili.
 
Salama ni kichwa...watu ambao class wanakuwa wa wastani waogope sana..ukifanya ata karesearch kako kadogo utagundua ndio wanaishi maisha ya ukweli kuliko ata kina "John Kisomo" na ndio wanaajiri wasomi..
 
Ukweli ni kuwa ni mbunifu, isipokuwa vipindi vyake ni vya kishenzi...na hasa anapohoji wageni wake...mfano kuna swali uwa anapenda kuuliza...umefanya ngono lini? Hivi lengo ya swali hili ni nini na litawasaidia nini watazamaji au wasikilizaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom