Kwanini Salama Jabir hataki kwenda shule?

hahhahha sure in dis small world what matter is how yo' role with people,to hv Phd and so on doesn't coount friends!be you always!
 
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.
Huyo sio mpemba ni Mngazija huko zenja wangazija wapo wengi akiwemo aliyewahi kuwa presidaa wa huko Komandoo,je huko uingereza alienda fanya nini au alienda kupuliza sigara au kuonyesha swaga zake
 
wabongo banaa ..kwa kujifanya wanapenda shule wakati shule zenyewe haziwasaidii kwa sukari wala chumvi..uchuro mtupu...Huku majuu watu hawaulizi una degree ngapi bana..hata umeneja au udirector hawaaangalii shule...just ur performance to the job thats it..mambo ya shule huko kwenu na ma dr. maandazi teehteeh.
 
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.

wabongo mbona mna mawazo ya kimasikini hivyo? Aende shule ili iweje?
 
Hufahamu kama waznz na wapemba all likes wakienda Uningereza huwa hawataki kusoma, yawezekana wao na kusoma ni tofauti lakini kimaisha wanaouwezo wa kufanikiwa kwa kupitia biashara nk.
 
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.

HACHENI WIVU. Salama ameridhina hapo alipo.
-anao wanawake kibao wanaomshobokoa wakina Bijoux,
-Umaarufu wake unamtosha
-Hela anayo. Sasa atafute nini shule
Elimu siyo kila kitu. Mtu unaweza kupanchi kwa njia nyingi tu
 
something tells me that mtoa mada was dumped.. Mtoa mada sema tu kama salama alikupiga kibuti
 
Hapa unaejichanganya ni wewe unayeshindwa kutofautisha kati ya Elimu na vyeti, sijui kama Elimu unayoiongelea wewe ni hii ya hawahawa Degree holder wetu wa leo wanaoandikiwa Application letter na form Graduate? Hivi Bill Gates ana kipaji gani?

Msicomplicate sana maisha kila mtu ana style yake ya kutoka kimaisha, wewe unayejuwa umuhimu wa Elimu go ahead hujakatazwa maliza vyuo vyote hadi ukutane na chuo kilichoandikwa hapa mwisho.

Point hiyo
 
Salama ni kichwa...watu ambao class wanakuwa wa wastani waogope sana..ukifanya ata karesearch kako kadogo utagundua ndio wanaishi maisha ya ukweli kuliko ata kina "John Kisomo" na ndio wanaajiri wasomi..

nimegundua hilo ogopa sana watu wa aina hiyo.mimi mwenyewe mojawapo.
 
joseph kusaga hajasoma sema leo ni tajiri anayemiliki kampuni kubwa.mnakariri mnapata division 1 mnajiona vichwaaaaaaaa.ndo mana watu wengi wanaajiriwa uku uwezo mdogo sana.gardner hakusomea utangazaji kabla.millard ayo.marehemu amina chifupa.salama jabir.dullah.zembwela.hando.na wameendesha vipindi kwa mafanikio.
na ukitaka ujue kipindi kina mafanikio kaulizie bei ya tangazo kwenye iko kipindi.
 
kwa uchunguzi mdogo niliofanya 4m4 huwa wanatafakari sana maisha kuliko wenye degree waliojibweteka na vyeti vyao kwa matumaini ya kuajiriwa badala ya kutafuta opportunities za kujiajiri!

kwani umezaliwa ili usome au uishi na kufanikiwa maishani?
 
tmk wanapiga nini sigara nyota au kitu cha arachuga mkuu?
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.
 
Halafu kuna members humu wanadhani kusoma au kuwa na madegree ndo maisha..! Kumbe ndo wanakuwa wezi na mafisadi..! mcitudharau tusiosoma jamani.. Hekima zinakuwapo humu..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.

Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.

Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.
​Western Education is Haram.
 
Duh, huu uzi wa zamani, wako wapi kina mkuu kazikubwa? Vichwa vingi vimepotea humu jf. Kuna jokalamdimu, kibangaampiga mkoloni, malaria sugu na wengineo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom