Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,054
- 1,886
Habari wakuu... hili jambo nataka kujua kisayansi limekaaje, ipo hivi katika Magari yanayobeba Mafuta kama Kerosene (IK) katika lile Tank juu kuna mifuniko miwili mmoja mkubwa na wa pili mdogo.
Sasa ni hivi kuna siku Mafuta wakati yanatakiwa kushushwa niliambiwa nifungulie Koki nikafungua... sasa wakati yanashuka nikapanda juu ya Tank nikasikia mvumo wa upepo kama unataka kutoka nje nikamuuliza Dereva ni nini hiki akajibu fungua mfuniko mmoja nikafungua...
Ikaingia hewa katika Tank kwa kasi sana, swali langu ni hili nilitegemea hewa itoke katika Tank kwenda nje kupitia lile tundu dogo ambalo nililifungua lakini mbona hewa ilikua inatoka nje inaingia ndani ya Tank wakati yanashushwa yale mafuta????