Kwanini gesti?

Wengine hao ni asilimia ngapi? Na hao walokuwa siku za mwanzo mwaka mzima wanapelekwa guest wao walikaribisha vijana majumbani mwao?

Siku za mwanzo za uhusiano kwa wengine inaweza kua mwaka mzima..
 
When you get to know me..? the inner me..? hapo materials things wont matter utakuwa tayari wote wawili tutafute hizo materials

Nah!Kama sababu ya kuvutiwa na kuwa na wewe haikuhusisha utu wako nikija kugundua ndicho pekee unachoweza kunipa ntakimbia!
 
Mwalimu I told u tutafika tu kwenye mzizi wa hii kitu! Cjawai ckia shosti analamika kwa mashosti wake kua mi kila cku napelekwa kempisky, goleden tulip au sea clif! Sana sana itakua sifa ya kuwapiga bao mashustito!
hii sredi kila ikiendelea ndio nazidi kujifunza kwamba kuwarizisha wadada lazima kuwe na mshiko mfukoni. kamanda kimey umeongea suala la mbolea sana. mdada ukimpeleka faifu star hotel hakatai na atajifanya " honey lakini mwenzio nimekumiss kama tairi za meli ujue" wizi mtupu.
hakyanani Mungu atatulipia
 
hahaha Mkuu tunahitaji katiba mpya
 
anachosema Lizy ni hakika ukiona umepelekwa guest ujue wewe ni kipozeo tu jamaa hana mpango na wewe. guest waachieni wanafunzi bwana sasa na nyie wenye hata vyumba mnakwenda guest. Kwa mapozeo saaafi kabisa lakini kwa ninayemheshimu sithubutu kabisaaaa.
 
hii sredi kila ikiendelea ndio nazidi kujifunza kwamba kuwarizisha wadada lazima kuwe na mshiko mfukoni. kamanda kimey umeongea suala la mbolea sana. mdada ukimpeleka faifu star hotel hakatai na atajifanya " honey lakini mwenzio nimekumiss kama tairi za meli ujue" wizi mtupu.
hakyanani Mungu atatulipia
Hahaha kamanda usitake kuvunja mbavu zangu wakati wajua kesho ni cku ya mkoloni! Dah tablet umenifanya nicheke kwa sauti hapa counter ya juu!
 
Nah!Kama sababu ya kuvutiwa na kuwa na wewe haikuhusisha utu wako nikija kugundua ndicho pekee unachoweza kunipa ntakimbia!

Hapana sio kweli tuseme umeanza kunijua leo, kabla haujajua upole wangu na ukarimu, na mipango yangu ya kufanya kazi kwa bidii ili nijenge nyumba, unagundua ninakaa kwenye nyumba ya mbavu za mbwa, sasa uoga wako wa maisha duni unakufanya ukimbie kabla haujajua mazuri yangu.

Pili una-assume kwamba mimi ni mzembe na mvivu, ndio maana nina maisha duni, lakini labda ungenijua polepole you could have known kwamba hiki ni kipindi cha mpito
 
Wengine hao ni asilimia ngapi? Na hao walokuwa siku za mwanzo mwaka mzima wanapelekwa guest wao walikaribisha vijana majumbani mwao?
Mwanzo hukutaka mada i-evolve ila mwenyewe unaongoza majeshi...asante!Nwyz ningekua nimefanya reaserch ningekuja na namba but i haven't ila wapo!Kuhusu wadada kuwakaribisha wakaka ipo lakini haijazoeleka sana!Na kiuhalisia zaidi wanaume wanapenda kuongoza...hivyo akianza yeye ndipo mdada atafuatia!
 
hii sredi kila ikiendelea ndio nazidi kujifunza kwamba kuwarizisha wadada lazima kuwe na mshiko mfukoni. kamanda kimey umeongea suala la mbolea sana. mdada ukimpeleka faifu star hotel hakatai na atajifanya " honey lakini mwenzio nimekumiss kama tairi za meli ujue" wizi mtupu.
hakyanani Mungu atatulipia
Mshiko hata binafsi unahitaji ili upate kula!Ila sio kigezo cha mahusiano kwa wote!
 
labda nibase kwenye point ya kamanda kimey na niulize suala hili la nyongeza , je ukipelekwa faifu star hotel utakuwa umezarauliwa pia au ni gesti za uswahilini tu ndio zinaapply kwenye hii golden rule?
 
ha ha ha mwalim bana! tena hiyo katiba tunaomba Lizzy mleta sredi asishirikishwe kuitayarisha. atatuwekea guu kwenye vigesti vyetu vya alfu moja kwa saa huyu.

Ntaweka giza ili wale wanaotaka mahusiano thabiti wakatae kupelekwa gesti!Ila kama anataka kipoozeo ruksa na kutumika kama kipoozeo!
 
Kuhusu wadada kuwakaribisha wakaka ipo lakini haijazoeleka sana!Na kiuhalisia zaidi wanaume wanapenda kuongoza...hivyo akianza yeye ndipo mdada atafuatia!

Wanawake mnalilia usawa wakati wote, lakini linapokuja suala la mapenzi au pesa mnamsukumia mwanamme kuwa 'aongoze'. Hiyo ndo inayojenga hisia ya kuwa 'umedharauliwa' kupelekwa guest kama vile wewe huna say yoyote kwenye 'zoezi' husika.

What if you take a guy to a hotel, itakuwa umemdharau? :D
 
Ntaweka giza ili wale wanaotaka mahusiano thabiti wakatae kupelekwa gesti!Ila kama anataka kipoozeo ruksa na kutumika kama kipoozeo!
ukiweka kauzibe sana nitareport abuse kwa invizibo ujue. lol
 
Wanawake mnalilia usawa wakati wote, lakini linapokuja suala la mapenzi au pesa mnamsukumia mwanamme kuwa 'aongoze'. Hiyo ndo inayojenga hisia ya kuwa 'umedharauliwa' kupelekwa guest kama vile wewe huna say yoyote kwenye 'zoezi' husika.

What if you take a guy to a hotel, itakuwa umemdharau? :D

Majukumu yanapelekwa kwa wanaume, interest kwao
 
VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?
 
labda nibase kwenye point ya kamanda kimey na niulize suala hili la nyongeza , je ukipelekwa faifu star hotel utakuwa umezarauliwa pia au ni gesti za uswahilini tu ndio zinaapply kwenye hii golden rule?
Kamanda taratibu utasababisha hii thread iwe moved! We need answers here!
Hahaha mdogomdogo tutafika tu! Where is my mwalimu! We need here the most!
 
Wanawake mnalilia usawa wakati wote, lakini linapokuja suala la mapenzi au pesa mnamsukumia mwanamme kuwa 'aongoze'. Hiyo ndo inayojenga hisia ya kuwa 'umedharauliwa' kupelekwa guest kama vile wewe huna say yoyote kwenye 'zoezi' husika.

What if you take a guy to a hotel, itakuwa umemdharau? :D
dah! mwalim naomba niicopy hii post yako halaf nikaiweke kwenye noticeboard kazini. yaani hili point hata google halipatikani. senks
 
Hata ukikataa dhamira ya kuwa alitaka kukupeleka guest ipo na haifutiki, kwa hiyo alikwisha kudharau ndani ya nafsi yake, umezuwia kukudharau kwa matendo tu.

Back
Top Bottom