Kwanini gesti?

Sasa kwanini wasisubiri mpaka waelewe ili wapelekane nyumbani?Yani hapo inaonyesha kitanda chake kina thamani zaidi ya mwili wake!

Sasa Lizzy kila mtu ana namna anavyoishi maisha yake....i think hiyo ni issue personal hasa ya mwanaume ambao mara nyingi ndo hu initiate sehemu ya kufanya mapenzi....na dada nae akikubali kulala popote ndo inakuwa hivyo.....ingekuwa watu wanaheshimu miili yao kiivyo au wanachukua muda kuelewana tusingekuwa na matatizo mengi.......japokuwa on the other hand,waweza chukua muda kumuelewa mtu na bado uhusionao usi-work...so its a personal issue inayotegemea mtu anamuonaje au kumchukuliaje yule anayeenda lala nae
 
Hapo sawa...ila yule anaeishi peke yake nini kinasababisha ukiacha kuwa na mpenzi wake?

Lizzy nionavyo kwa yule anayeishi peke yake kumpeleka mpenzi wake guest ni kutokutaka aonekane yale mazingira anayoishi eidha na jirani zake kutokana na kuwa labda si mwaminifu au pia inawezekana anahofia geto halijakaa sawa kwa hiyo anaweza kujishushia P kwa mpenzi hii inategemeana na wao wameanza vipi uhusiano wao hasa kwa mabraza men!sababu zaweza kuwa nyingi pia
 
na ma-first born wengi wa siku hizi mimba zinatungwa gesti ...
 
Kwa nini niache wakati unanipa maximum satsifaction? Raha yake ni kama Torres kuifunga liverpool leo!

Yaani mimi nasubiri maximum satisfaction pale Chelsea watakapofungwa leo......yaani ni zaidi ya kila kitu.....lol
 
Hehe nyie bado watoto!Pesa ya guest hamna..nyumba ya kuwapeleka hamna na hormone zinawazidi nguvu mpaka mnakimbilia vichakani!
Dah JF shule nimejifunza leo kua kama huna pesa we ni mtoto!
 
Dah JF shule nimejifunza leo kua kama huna pesa we ni mtoto!

Kwa karne hii mnapelekana kichakani kama sio tamaa na utoto ni nini?Mking'atwa na nyoka je?Nwyz kwani unalala kichakani?Mpeleke hapo unapolaza mgongo wako!
 
Kwa karne hii mnapelekana kichakani kama sio tamaa na utoto ni nini?Mking'atwa na nyoka je?Nwyz kwani unalala kichakani?Mpeleke hapo unapolaza mgongo wako!
Bado sijaelewa ishu hapa ni nyoka, guest au getto?
 
Michelle hapo kwenye wanavyomchukulia wanayempeleka ndo haswaa nnapotaka undani wake!Ila tukirudi kwenye swala la kuelewana kwani watu wakichukua muda kuelewana na baadae wakaamua kama wanaweza kua pamoja au la bila kupelekana gesti haiwezekani?Umuhimu unawekwa kwenye sex ndo maana mtu yuko radhi kuutoa mwili wake guest kwa mtu ambae hajaamua kama anamfaa au la badala ya kuvumilia kwa muda ili awe na mtu anaemkubali!
 
Utawajua tu kwa maneno yao! Hahaha baadae usinikimbie!!

Utakimbia wewe na Rev Masanilo.....nitahakikisha hamlali na JF hamuonekani wiki nzima.....jana kidogo nipate maximun satisfaction wolves walipofunga Man U....ila ile sare inaniuma sana.....leo nafikiri nitafika juu ya mlima......lol:laugh::laugh::laugh:
 
Sasa kukupata wewe si ndo special ocassion yake au?

Kuna wanaoamua kusherehekea hiyo special ocassion kwa kukupeleka Kempinsky na kuna wenye kutumia uwezo wao na kukufikisha Guest. :)

Besides the business is good for the economy

Unless ni special occasion baada ya kupelekana nyumbani hamna tofauti zaidi ya bei na uzuri wa chumba!
 
Utakimbia wewe na Rev Masanilo.....nitahakikisha hamlali na JF hamuonekani wiki nzima.....jana kidogo nipate maximun satisfaction wolves walipofunga Man U....ila ile sare inaniuma sana.....leo nafikiri nitafika juu ya mlima......lol:laugh::laugh::laugh:
Lizzy kumbe nawe washabikia tinejaz? Umesahau wahenga walisema ngoma ya watoto hailali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom