Kwanini gesti?

Lizzy labda huko gesti anaona ndio kuna falagha ukute geto kwake kuna wageni wasio toa taarifa kila mara
 
Kisha mnajua kuwa hata mwanamke awe na chenji kiasi gani lakini asipopewa vijizawadi na mkaka huwa ana mind? Atasema sio kama ni materialist lakini ni a romantic. Kisha mwanamke huyu huyu ukampeleke kwako hakuna dari, nyumba ya kupanga chumba kimoja? Lazima akukimbie kwa ghafla :D

sioni/sijui kibatani cha senki kilipo ticha ila chukua tu hata hii;ze following yuza sei senkyu tu yu gaujin fo zis yuziful mtundiko!!ndo maana wanakuita mwalimu aise
 
Back
Top Bottom