Kwanini gesti?

Probably with time utazoea polepole..., siwezi mwanzo mwanzo nikaanza kwa kuonyesha weakness ukinikimbia tafanya nini mie??
hili ni neno mkuu, hasa kwa hii jinsia ya upinzani! unaweza ukapeleka mrembo nyumbani akaona umeanika bukta lako chafu kwenye microwave , yeye ikawa ndio sababu ya kukumwaga. bora mkamalizane gesti tu lawama zote anabeba meneja wa gesti
 
Ukumbuke kuwa watumiaji wakubwa wa Guest ni watu wa kipato cha chini (ukiondoa wale wa kuchakachua wake na waume za watu), na hilo linatokana na mazingira ya makazi yao yalivyo
 
Now I wont lie to you guys, for girls wenye kipato au elimu kidogo, atakwambia with conviction "I wont go to a guest house but if it's a fine hotel maybe". Na ikitokea hivyo akapewa offer ya hoteli moja kubwa, atatafuta sababu lukuki kwanini it was okay to go, kama jamaa alikuwa amekunywa so it's safe not to drive.
 
Alafu hapa kwanini tusijiulize kwanini dada asitake anipeleke kwake ili nipaone..., Je ni kwangu tu ambapo tunahitaji kupajua.., nadhani kwa busara, kama dada akinipeleka siku ya kwanza kwake atakuwa amenifunga na mimi nimpeleke kwangu soon or later.
 
Sasa hapa ndo nataka nijue...ina maana kupelekwa guest tu inaweza kua definition ya uhusiano wenu sio?

Uhusiano unakuwa defined hata kabla ya kwenda kitandani . . . .
Pia place ya kufanyia mapenzi sio definition ya mapenzi ya kweli au hadhi ya mtu, bali ni mtu mwenyewe alivyoji-tune ktk uhusiano husika . . . lol
 
Fikiria kwa uhalisia wa mambo
Na nnachotumia hapa ni huo huo uhalisia!Vitu kama nyumba isiyo na dari plus umeme wa mgao kusababisha joto bila feni haviwezi kutokea siku zote za uhusiano wenu!Na kuhusu uduni na woga wa kuonyesha mtu anapoishi kama anajaribu kujenga uhusiano madhubuti ni kosa ukijengwa kwa uongo!Again kama ni kuchezeana haijalishi ila kama kuna nia na malengo mjulishe mtu hali yako halisi achague kusuka au kunyoa!
 
hili ni neno mkuu, hasa kwa hii jinsia ya upinzani! unaweza ukapeleka mrembo nyumbani akaona umeanika bukta lako chafu kwenye microwave , yeye ikawa ndio sababu ya kukumwaga. bora mkamalizane gesti tu lawama zote anabeba meneja wa gesti

Bora hata wewe una Microwave, wengine hata mgeni akija inabidi nikachukue mkeka kwa jirani ili tuketi, kulala tunapeana zamu na mshikaji masaa matatu matatu.......
 
Probably with time utazoea polepole..., siwezi mwanzo mwanzo nikaanza kwa kuonyesha weakness ukinikimbia tafanya nini mie??
Sasa si bora nikukimbie mapema kuliko kutumia muda mwingi kunifanya nikukubali alafu nikimbie baadae?
 
Alafu hapa kwanini tusijiulize kwanini dada asitake anipeleke kwake ili nipaone..., Je ni kwangu tu ambapo tunahitaji kupajua.., nadhani kwa busara, kama dada akinipeleka siku ya kwanza kwake atakuwa amenifunga na mimi nimpeleke kwangu soon or later.
mkuu unamwaga ma point kuliko google. yaani hapa ndio unathibitisha kwamba wadada ni so demanding
 
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?

Na nnachotumia hapa ni huo huo uhalisia!Vitu kama nyumba isiyo na dari plus umeme wa mgao kusababisha joto bila feni haviwezi kutokea siku zote za uhusiano wenu!Na kuhusu uduni na woga wa kuonyesha mtu anapoishi kama anajaribu kujenga uhusiano madhubuti ni kosa ukijengwa kwa uongo!Again kama ni kuchezeana haijalishi ila kama kuna nia na malengo mjulishe mtu hali yako halisi achague kusuka au kunyoa!

Hoja sasa imeanza kubadilika naona .......

Mwanzo ulisema mwanamme kukupeleka guest tu, hukuzungumzia kuwa ndio suala la kila siku. Sisi tunavyochangia ni kupelekwa guest siku ya mwanzo au siku za mwanzo za uhusiano wenu.
 
Kusuka au kunyoa kunategemea negatives na positives, sasa pale unapoanza na negatives kumi kabla haujaingia ya kumi na moja tayari mtu ameshaingia mitini, lakini ukichanganya ukampa 5 positives, 5 negatives na tano positives anaweza akacompromise
 
Anataka kujifanya mjanja kuwa yeye tu ndo somo la mama yake la 'usikaribishe wanaume ovyo nyumbani' limemuingia :D

Alafu hapa kwanini tusijiulize kwanini dada asitake anipeleke kwake ili nipaone..., Je ni kwangu tu ambapo tunahitaji kupajua.., nadhani kwa busara, kama dada akinipeleka siku ya kwanza kwake atakuwa amenifunga na mimi nimpeleke kwangu soon or later.
 
Sasa si bora nikukimbie mapema kuliko kutumia muda mwingi kunifanya nikukubali alafu nikimbie baadae?

When you get to know me..? the inner me..? hapo materials things wont matter utakuwa tayari wote wawili tutafute hizo materials
 
Now I wont lie to you guys, for girls wenye kipato au elimu kidogo, atakwambia with conviction "I wont go to a guest house but if it's a fine hotel maybe". Na ikitokea hivyo akapewa offer ya hoteli moja kubwa, atatafuta sababu lukuki kwanini it was okay to go, kama jamaa alikuwa amekunywa so it's safe not to drive.
Mwalimu I told u tutafika tu kwenye mzizi wa hii kitu! Cjawai ckia shosti analamika kwa mashosti wake kua mi kila cku napelekwa kempisky, goleden tulip au sea clif! Sana sana itakua sifa ya kuwapiga bao mashustito!
 
Hoja sasa imeanza kubadilika naona .......

Mwanzo ulisema mwanamme kukupeleka guest tu, hukuzungumzia kuwa ndio suala la kila siku. Sisi tunavyochangia ni kupelekwa guest siku ya mwanzo au siku za mwanzo za uhusiano wenu.
Siku za mwanzo za uhusiano kwa wengine inaweza kua mwaka mzima..
 
Kisha mnajua kuwa hata mwanamke awe na chenji kiasi gani lakini asipopewa vijizawadi na mkaka huwa ana mind? Atasema sio kama ni materialist lakini ni a romantic. Kisha mwanamke huyu huyu ukampeleke kwako hakuna dari, nyumba ya kupanga chumba kimoja? Lazima akukimbie kwa ghafla :D

When you get to know me..? the inner me..? hapo materials things wont matter utakuwa tayari wote wawili tutafute hizo materials
 
Kusuka au kunyoa kunategemea negatives na positives, sasa pale unapoanza na negatives kumi kabla haujaingia ya kumi na moja tayari mtu ameshaingia mitini, lakini ukichanganya ukampa 5 positives, 5 negatives na tano positives anaweza akacompromise
Tatizo ni kwamba hizo negative 5 zinaweza kufunika zile positive za mwanzo..au hata moja tu!Kama mtu yupo kwa uzuri tu hata ubaya kidogo tu unaweza kuua uzuri wote!
 
Back
Top Bottom