Wenzangu wa MMU,
Wengi wenu sikuwasikiliza lakini sikio la kufa .......... Nikawasikiliza wachache na nikajikuta nimejaribu kwa mke wa wa mtu,utamu nikaupata na sasa jamaa-mumewe amenijua na amesema nimchukue mke hamtaki tena kwa sababu kapata uja uzito wangu na hataki kusikia kitu amenipa deadline ya siku 30 nimlipe mahari yake ya ngombe 30 na riba mara 4 na mimi siwezi kuzilipa, nimehama nyumba mara 6 lakini amenifuata,mkiona sionekani tena ,basi jueni ndio jamaa katimizia azma yake,wake za watu mnatumaliza!
Kwaherini!