Baada ya kuwasikia Not Enough,Kokudo na Gbollin kama mdau wa jukwaa hili napendekeza wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu au wadau wa jukwaa hili wawe wamewakilisha madai yao kabla ya mwisho wa wiki hii ili wiki ijayo tuanze na mambo mapya na wenye madukuduku moyoni wawe wametatuliwa malalamiko yao.
Kwenye thread hii inaruhusiwa ku-chat,salimiana, na kutongozana.
Kwenye thread hii inaruhusiwa ku-chat,salimiana, na kutongozana.