Kwa wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu la Mahusiano.

Baada ya kuwasikia Not Enough,Kokudo na Gbollin kama mdau wa jukwaa hili napendekeza wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu au wadau wa jukwaa hili wawe wamewakilisha madai yao kabla ya mwisho wa wiki hii ili wiki ijayo tuanze na mambo mapya na wenye madukuduku moyoni wawe wametatuliwa malalamiko yao.

Kwenye thread hii inaruhusiwa ku-chat,salimiana, na kutongozana.

Shikamoo Kaka. Ninapotaka mimi ni hapo tu X 2
 
Mi sijawahi kuanzisha ila mchangiaji mzuri sana nikianzisha thread yangu msipochangia nitawachapa wote
 
Back
Top Bottom