Kwa wanaume tu: unaonaje kuku wa kienyeji na wa kisasa yupi mwenye radha nzuri zaidi?

unafkiri wa kisasa tunawapenda? Sema wa kienyeji ni ghali na wagumu kuwapata in the sense that unaweza piga sound hata mwezi usimmpate au ukaambulia urafiki wa kalamu. Ila hawa wa kisasa any time anywhere hawana compkication ukitaka unapata kirahiiisi!
 
organic
 
harufu ya kemikali umemaanisha pafyumu?

Namaanisha kichwani kuna wigi, mikononi makucha ya bandia, makalio mchina, ngozi imepakwa ma cream yanayotoa harufu ya ajabu. Sasa usoni ndo balaa machoni wanja unaangalia juu kama shetani, lips zina rangi kama mavi ya kuku, ngozi ya uso hayo marangi wee acha tu.
 
Mmmhhhh, mzee kweli hapo hamu ya kumla kuku itatoka wapi? Labda uwe unakula lakini mawazo yawe kwenye kuku wa kienyeji. Hapo inawezekana ukamaliza hata katripu kamoja. Bila hivyo, kama ni mimi 'mzee' atagoma hata kutoa macho!
 
unafkiri wa kisasa tunawapenda? Sema wa kienyeji ni ghali na wagumu kuwapata in the sense that unaweza piga sound hata mwezi usimmpate au ukaambulia urafiki wa kalamu. Ila hawa wa kisasa any time anywhere hawana compkication ukitaka unapata kirahiiisi!
am free and available, check avatar yangu hapo, naqualify wa kidhungu au wakienyeji???
 
Jamani za weekend,

Wengi wenu mnajua kwamba kuku wa kienyeji ni mtamu zaidi kuliko wa kisasa. Basi mwenzenu sijaishia kwenye kuku tu. Hata kwa binadamu ndivyo ninavyopenda. Nikimpata mdada 'natural' 'asiyejikoboa', havai mawigi, kucha za bandia, wala kuweka maulembo ya ajabu ajabu mwilini, huwa napata nguvu sana kuliko anayefanya hivyo. Sijui wanaume wenzagu huwa inakuwaje kwa upande wenu?

Weekend njema.

kwa mimi napendelea wakisasa napata nguvu sana wakienyeji wengi hawajui kujishafisha vzr
 
Namaanisha kichwani kuna wigi, mikononi makucha ya bandia, makalio mchina, ngozi imepakwa ma cream yanayotoa harufu ya ajabu. Sasa usoni ndo balaa machoni wanja unaangalia juu kama shetani, lips zina rangi kama mavi ya kuku, ngozi ya uso hayo marangi wee acha tu.

hapo umenigusa sana mbona me ndo napendelea hivyo
 
Namaanisha kichwani kuna wigi, mikononi makucha ya bandia, makalio mchina, ngozi imepakwa ma cream yanayotoa harufu ya ajabu. Sasa usoni ndo balaa machoni wanja unaangalia juu kama shetani, lips zina rangi kama mavi ya kuku, ngozi ya uso hayo marangi wee acha tu.

mama weeee! Mchumba nishakosa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom