Kwa wanaume tu: unaonaje kuku wa kienyeji na wa kisasa yupi mwenye radha nzuri zaidi?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Jamani za weekend,

Wengi wenu mnajua kwamba kuku wa kienyeji ni mtamu zaidi kuliko wa kisasa. Basi mwenzenu sijaishia kwenye kuku tu. Hata kwa binadamu ndivyo ninavyopenda. Nikimpata mdada 'natural' 'asiyejikoboa', havai mawigi, kucha za bandia, wala kuweka maulembo ya ajabu ajabu mwilini, huwa napata nguvu sana kuliko anayefanya hivyo. Sijui wanaume wenzagu huwa inakuwaje kwa upande wenu?

Weekend njema.
 
Kama kawaida kuku wa kienyeji bwana unaruhusiwa hata kutafuna mifupa lakini wa kizungu hutakiwi.
 
Wa kienyeji ana radha nzuri sana na analeta hamu kumla. Unaweza kula 'kila kitu' kwa raha zako tofauti na wa kisasa ambaye ana masharti kibao.
 
he! kumbe sitakiwi humu ndani, ngoja nitoke ndukiiiiii!!, tukaanzishe na thread yetu ya wanawake tu ss
 
he! kumbe sitakiwi humu ndani, ngoja nitoke ndukiiiiii!!, tukaanzishe na thread yetu ya wanawake tu ss

twende mpenzi, tukaanzishe Mabeberu ya kienyeji na Mabeberu ya kisasa yapi matamu.
 
Wa kienyeji unaweza kula hadi mavi yake.,..oops, nilisahau jinsia yangu kidogo.
 
Itabaki ukweli kuku wa kienyeji anapendwa sana, lakini tunaishia kula wa kizungu tu ni bei poa na rahisi kuwapata
 
Sory kumbe wanaume tu ndo wanapaswa kuchangia haya mie nimepita kusalimu hamjambo wanaume woteee????
 
Mwanamke natural harufu anayotoa ni natural ukinusa kikwapa unapata harufu yenyewe hali kadhalika pale "palipoanzia miguu" ndo usiseme. Halafu wana nguvu hawachoki haraka. Sasa njoo kwa hawa artificial utajuta kila unaponusa ni harufu ya chemikali tu. ptuuuu
 
harufu ya kemikali umemaanisha pafyumu?
 
Wakienyeji ana mvuto endelevu unaotia hamasa, tatizo wanaadimika cku had cku kwa kuukimbilia ukisasa.
 
Wakienyeji ana mvuto endelevu unaotia hamasa, tatizo wanaadimika cku had cku kwa kuukimbilia ukisasa.

Wangejua tunavyopenda harufu natural za vikwapa, wasingejisumbua kujipulizia makemikali kibao. Halafu wigi jamani linaniuuuuuuudhi, yaani basi tu.
 
Wa kienyeji sawa, lakini jaribu wa kisasa aliye weka vitu vyenye viwango. expensive perfumes, wigs, body creams etc.. aliyepangiliwa mpaka misosi kufuatana na body yake.. Hawa kuku hata mapishi/viungo vinachangia usirudie tena..
 
oooopppsssss wrong way ..

lakini ningependa ku sagest
machanganyiko wa waki sasa na kienyeji ....

now im out ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom