Kwa wanaotumia au waliotumiaTecno P5

Samsung Galaxy zile kubwa kama vile S4,S3, Note 2,Note 3 zinatumia Display ya hali ya juu (AMOLED). lakini hizi samsung na simu zingine za kawaida zinatumia TFT (Thin Transistor Film)

basi hapo ni kufanya uamuzi kulingana na uwezo wa mtu
 
Nyingine hiyo

wakuu hebu msaidieni huyu kaniuzi kuikandia tecno wakat mwenyew kaweka picha za photoshop anadai zimepigwa na sijui samsung.kuwa makin tecno wako vizur coz hata samsaung hawatengenez processor hivy hivy kwa tecno so najua kinachowauma watu humu ndan ni kuona m2 anatumia pesa kidogo anapata kitu kama chake, kingin ni ushamba,kufuata mkumbo NISHATUMIA CM NYING XIJAONA UTOFAUTI MKUBWA KWA TECNO labda kwa mambo ya kitoto na yasiyokuwa na tija kama air gesture ya samsung
 
Vp mkubwa kuhusu nokia lumia nataka nihamie huko au nichukue tecno m5 kwa sabab mmenifumbua macho kuhusu tecno.
 
Samsung Galaxy zile kubwa kama vile S4,S3, Note 2,Note 3 zinatumia Display ya hali ya juu (AMOLED). lakini hizi samsung na simu zingine za kawaida zinatumia TFT (Thin Transistor Film)

Vp mkuu kuhusu nokia lumia na app.yao ya window phone 8,na hii window si itakuwa kuapdate kwa garama tofaut na tecno?
 
wakuu hebu msaidieni huyu kaniuzi kuikandia tecno wakat mwenyew kaweka picha za photoshop anadai zimepigwa na sijui samsung.kuwa makin tecno wako vizur coz hata samsaung hawatengenez processor hivy hivy kwa tecno so najua kinachowauma watu humu ndan ni kuona m2 anatumia pesa kidogo anapata kitu kama chake, kingin ni ushamba,kufuata mkumbo NISHATUMIA CM NYING XIJAONA UTOFAUTI MKUBWA KWA TECNO labda kwa mambo ya kitoto na yasiyokuwa na tija kama air gesture ya samsung

Mkuu nani kaweka picha za Photoshop mkuu?
 
Nazani watu watakuwa wanafuata majina ila kuna simu nyingi ambazo zinaubora mzuri sana
 
jaman,tecno p5 ina viris kama 14 hivi; je nitawezaje kuwatoa hawa virus? msaada unahitagika wanajamii.

Usipende kudownload applications nje ya Google Play Store. Ingia Play Store download AVG Antivirus ni nzuri ina scan file zote na kukuonyesha yenye virus uiondoe
 
ymollel hii hivi techno p5 ni laini moja na inaenda kwa bei gani mjini dar? naitaka tecno au huawei ascend.

tecno Zote original ni double line, Tecno hawana single line kabisa. bei ya P5 ni kati ya TSHS 200,000 hadi 160,000/= kutegemea na duka
 
natumia m3 sijawai jutia kwani,hua na dowload app kupitia homogene ni bonge la downloading manager.
 
ymollel na @PRISCUS JR nataka simu ya laini moja tu,umesema tecno ni laini mbili sasa kati ya huawei na htc je nichukue ipi na bei gani kwa hiyo simu. nimechoka na BB kwa sasa.

Ahsante
 
Last edited by a moderator:

Kusema kweli HTC na HUAWEI nawaona nazo watu tu mi sijazitumia nadhani watumiaji watajitokeza
 
Last edited by a moderator:
ymollel na @PRISCUS JR nataka simu ya laini moja tu,umesema tecno ni laini mbili sasa kati ya huawei na htc je nichukue ipi na bei gani kwa hiyo simu. nimechoka na BB kwa sasa.

Ahsante

kama unataka htc epuka desire a8181. utakuwa unachaji three times per day hata kama sio mtu wa ku browse sana. ina 1400 mAh. Mimi yalinikuta kwa sasa afya yangu imerudi kwa p5. sijutii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom